Alifika Ruai Police Station akiwa na sahani ya wali na nyama kwa ajili ya marafiki zake watatu waliokuwa rumande.
Lakini polisi walipopekua chakula hicho, walidai kupata kitu kingine chini yake: pliers na shears.
Hivyo ndivyo Christine Njoki Gitau, 18, alivyojikuta naye akiwa chini ya ulinzi wa polisi Septemba 15, akituhumiwa kujaribu kuingiza vifaa ambavyo DCI inaamini vilikusudiwa kusaidia washukiwa kutoroka.
Wanaume watatu waliokuwa amekwenda kuwaona wanashikiliwa kuhusiana na tuhuma nzito za robbery with violence na gang rape. DCI inadai walitumia anonymous TikTok account kuwalaghai wanawake vijana wakutane nao kabla ya kuwashambulia na kuwaibia. Tuhuma hizo bado zinahitaji kuthibitishwa mahakamani.
Lakini kukamatwa kwa Christine kunaibua swali jingine.
Je, alikuwa anajua kabisa kilichokuwa ndani ya chakula hicho? Nani alipack chakula? Nani alipata vifaa hivyo? Na je, kulikuwa na watu wengine nyuma ya mpango huo?
Hayo ni maswali ambayo uchunguzi unapaswa kujibu—si assumptions.
Kwa sababu akiwa na miaka 18, Christine ni mtu mzima kisheria. Lakini kuwa adult hakumaanishi vijana wa umri huo hawawezi kushawishiwa kupitia loyalty, mahusiano, pressure au manipulation.
Na hilo linafungua mjadala mpana zaidi.
Criminal networks hazihitaji kila mara mastermind mwenyewe kubeba evidence au kuchukua risk. Wakati mwingine, mtu aliye karibu nao ndiye anayeweza kutumwa kufanya kazi hatari zaidi.
Kwa hiyo, wakati polisi wakichunguza alleged jailbreak plot, wanapaswa pia kufuatilia chain nzima ya mpango huo.