Miaka 20 Baada ya Kutwaa Kombe la Dunia, Unamkumbuka Nani Hapa?

lizarazu,lilian thuram,christopher dugary lionel chabbonier ,laurent blanc,zidane, frank lebouf,mercel desail,christian karembeu,benard lama
 
Hapa ni baadhi ya wachezaji wa Ufaransa waliobeba Kombe la Dunia katika ardhi ya nyumbani mwaka 1998. Je ndugu yangu mhenga unamkumbuka nani hapo kwenye picha?
View attachment 964337
Namuona straika Guivach, alikuwa ndio namba 9 yao wakati wanabeba ndoo lakini hakufunga goli hata moja. Hana tofauto na Giroud walivyotwaa mwaka huu nae hakufunga goli hata moja.
 
Maisha bhana! Muda si mrefu Messi na Ronaldo wataitwa wastaafu japo wataacha kumbukumbu nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…