Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

Kinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Samia na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.
 
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Samia na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.
Mabeberu na mafisadi yameanza kumpigia Rais samia magoti. Tuliwaonya Samia hajaribiwi.
 
Hahaaaa,kwa hiyo una maanisha kuwa kuwa vita yoyote ile tutakayopigana na jirani au adui tutapigwa vibaya Sana,maana wasoma rada ni wengi[emoji1][emoji3]

Hayo yote ni mfumo mbovu ndani ya ccm,acha tu yaendelee mbeleni huko akili itatushtuka tukishaumizwa sana na watu kuamua kufanya kile wanachokiamini kuwa iwe jua au mvua lazima kieleweke
 
Unapenda sana kuwataja taja CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…