K Mwita
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 356
- 314
Kufikia October Rais Samia na JPM walifikia 98% ya ushindi wao hata kabla ya upigaji wa kura kuanzaMbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufikia October Rais Samia na JPM walifikia 98% ya ushindi wao hata kabla ya upigaji wa kura kuanzaMbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi wote
Mbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na SamiaKufikia October Rais Samia na JPM walifikia 98% ya ushindi wao hata kabla ya upigaji wa kura kuanza
Tunamsubiri Malikia wa Uingereza naye aje kumsalimia Rais Samia na WatanzaniaMbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na Samia
Usimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazunguTunamsubiri Malikia wa Uingereza naye aje kumsalimia Rais Samia na Watanzania
CHADEMA Kila la kheri kwenu leteni mgombea atakayempokonya Samia hata asilimia tano ya kura 2025 kama nyie wanaume kweliUsimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazungu
Lissu Afanye kazi yeyote ila sisi hatumuhitaji,Rais Samia anatoshaCHADEMA Kila la kheri kwenu leteni mgombea atakayempokonya Samia hata asilimia tano ya kura 2025 kama nyie wanaume kweli
Ndivyo alivyokufundisha babayo Nyerere?Sikusoma habari ndefu, ila najibu kichwa cha habari.
Kwa nini unaliita "Home grown"?
Sisi ni Nani ?? au mliomweka madarakani?Lissu Afanye kazi yeyote ila sisi hatumuhitaji,Rais Samia anatosha
Chadema si visoda Kama wewe Na CCM yenuCHADEMA Kila la kheri kwenu leteni mgombea atakayempokonya Samia hata asilimia tano ya kura 2025 kama nyie wanaume kweli
Hiyo definition alikufundisha babayo Nyerere?Siyo siku hizi mkuu.
Utawalaumu sana wazazi bure. Influence ya nje ya nyumbani ni kubwa mno kiasi kwamba huwezi kuwafungia wanano isiwaguse.
BTW, sijasahau ile 'definition' uliyoniomba, lakini siko kwenye mood wa kujibu hilo sasa hivi.
Dander-head!Ndivyo alivyokufundisha babayo Nyerere?
Misogynist!Hiyo definition alikufundisha babayo Nyerere?
Msamehe tu huyo mpuuziMisogynist!
Ungemkalia tu kimya huyoDander-head!
Unanijua mimi ni nani?Sisi ni Nani ?? au mliomweka madarakani?
La babayo Nyerere?Dander-head!
Ya babayo Nyerere?Misogynist!
Kwani hilo jina la mimmah2 ni la Baba yenu Nyerere?au mjomba wenu mwendazake?Unanijua mimi ni nani?
Kuliko wewe CCM?Msamehe tu huyo mpuuzi
Slim likerLa babayo Nyerere?