Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Umeshawahi kucheza game ya God of War ? ☣️
Miaka 20 iliyopita Game pendwa ulimwenguni iliyokuwa inaongoza kuharibu Pad 😃, God of War iliweza kuachiwa.
God of War ni. Game la mapigano la Action Adventure ambayo iliundwa na kampuni ya SantaMonicaStudio kwa kushirikiana na kampuni ya Ma games ulimwenguni Sony. Mara ya kwanza iliweza kuachiwa kwa watumiaji wa Playstation 2.
Ilikua Machi 22, 2005, Kampuni hiyo ya Santa wanasherekea miaka 20 ya God of War toka kuachiwa kwake mpaka leo hii. Umeshawahi kucheza hii Game ? Je Game Gani ya God of War unaipenda ? Tuachie maoni yako?
#GodofWar #gameshow #playstation #ps2 #ps2games #santamonicastudio #bongotech255 #gamestore #teknoloji #HABARI