Miaka 20 sasa imepita bado anaitesa akili yangu?

Kwa hyo mkuu mpk Leo umekosaa wakuziba pengo lake....ujaanzishaa mahusiano yyt miaka yt hyo au ndio Ile unaanziasha mahusiano mapya unajikuta moyo Bado unamuitaji huyo X wako ...
 
Psychologically kinacho kusumbua ni Hali ya kuwa wewe ulikuwa mtoto wa masikini na yeye mtoto wa DC...

Umempa nguvu Sana kisaikolojia kuwa ukimpata yeye utakuwa "umeweza kufanya kitu kikuubwa"...

Big achievement....umepanda classs...

Hiko ndo kinakusumbua.......

Nashauri ungetafuta mwanasaikolojia mmoja akusaidie ...au mtafute tena huyo msichana hata Kwa Siri halafu Anza kum observe upya.... mostly likely ataongea kitu au atafanya kitu kitakufanya ufikie conclusion "AHH kumbe WA kawaida Tu kama wale wengine" utaweza Ku move on...

Jaribu kumtafuta mumewe pia umchunguze unaweza Baki mdomo wazi....yaani huyu namuona special kumbe mumewe ndo hili pumbavu??

Jaribu hilo....
 
Shukrani mkuu,yaan hii hali naona imeniathiri sana na naendelea kujipa tabu pasi na sababu!
 
Psychologically kinacho kusumbua ni Hali ya kuwa wewe ulikuwa mtoto wa masikini na yeye mtoto wa DC...

Umempa nguvu Sana kisaikolojia kuwa ukimpata yeye utakuwa "umeweza kufanya kitu kikuubwa"...

Big achievement....umepanda classs...

Hiko ndo kinakusumbua.......

Nashauri ungetafuta mwanasaikolojia mmoja akusaidie ...au mtafute tena huyo msichana hata Kwa Siri halafu Anza kum observe upya.... mostly likely ataongea kitu au atafanya kitu kitakufanya ufikie conclusion "AHH kumbe WA kawaida Tu kama wale wengine" utaweza Ku move on...

Jaribu kumtafuta mumewe pia umchunguze unaweza Baki mdomo wazi....yaani huyu namuona special kumbe mumewe ndo hili pumbavu??

Jaribu hilo....
The boss umeandika kitu kikubwa sana aisee. Halafu utakuta huyo DC wa enzi za Nuhu kwa sasa kafulia yuko yuko tu. Mtu unatakiwa ujipe thamani. Kuzaliwa familia maskini ni njia tu ila sio lazima uendelee kuwa maskini. Halafu huyu jomba akubali kuwa kuna kukataliwa na mademu. Binafsi nilikuwaga na hiyo shida ya kutokukubaliana na hali lakini nikaja kugundua nilikuwa tu mpuuzi kwasababu kila binadamu ana maamuzi yake.
 
Mkuu ni kweli unayosema ila sasa nshakuwa mtu mzima na nina maisha yangu najiweza, ila ninachoshangaa kwanini hii hali haitaki kuniachia!
Unajua kuna muda ukiwa hoehae kuna zile insecurities lazima zikuandame,unawaza umekataliwa kwakuwa huna hiki na kile kumbe mwisho wa siku kila mtu anakataliwa vizuri tu.
 
Mkuu kama 2003 ulikuwa sekondari ina maana kuna uwezekano mkubwa ushaoa kwa sasa na hata kama hujaoa utakuwa na uhusiano na mwanamke/wanawake. Nadhani focus na ulicho nacho kwa sasa. Haya mambo ya kupoteza muda kufikiria miaka 20 iliyopita ni mabaya. Mshukuru Mungu hujawahi kuwa mpenzi wake wala hujawahi kumtendea vibaya. Ingekuaje angekuwa mwanamke ambaye ulimpenda ila ukamuumiza na kumuacha aende halafu ile kushtuka demu ndo akawa kasha-move on hataki chochote? Mwisho kabisa huyo mwanamke kama yupo hai basi 90% atakuwa ni mke wa mtu. Kwahiyo acha kuwaza mke wa mtu.
 
"Nauchukia sana umasikini" ni mlevi alisikika huko nje akiongea twende kwenye mada
Mkuu kinachokusumbua wewe sio mapenzi ya dhati kwake bali ni ile hali uliyokuwa nayo wewe mtoto wa masikini nae ni mtoto wa tajiri tena DC uliijenga akili yako kuwa alikuwa special sana kwako kitu ambacho sio kweli ni kamtu tu ka kawaida tena anaweza kuzidiwa hata wale ulokuwa unawaona wa kawaida kipindi hicho na mbaya zaid unaweza kuta ni kabaya jina tu la baba yake ndo lilikufanya usiyaone hayo mkuu 😀

Ushauri wangu jaribu kama unaweza sawa sisemi usimfikirie ila unaweza mfikiria kwa namna nyingne mfano mchukulie tu yeye nae ni kama wale ulokuwa unaona silolote pale shulen pia kaone tu kalikuwa kajitu ka kawaida usiendelee kumpa vyeo asivyostahili maisha haya yalivyo kama baba yake alikuwa DC miaka ile bas unaweza kuta now yale maisha ulokuwa unamuona nayo hayako vile maisha yana mengi maajabu

Ngoja nikalale
 
Ingia club mara moja moja hivi, unaweza kumuona kama alikuwa kichomi tu
 
Kuna manzi mmoja mimi ndio nilimtoa bikra lakini katika kuachana alinitesa sana, ila siku niliyoamua kumove on hakuamini mpaka leo kama dada angu vile sina hata hisia nae.
 
Back
Top Bottom