Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu,yaan hii hali naona imeniathiri sana na naendelea kujipa tabu pasi na sababu!Psychologically kinacho kusumbua ni Hali ya kuwa wewe ulikuwa mtoto wa masikini na yeye mtoto wa DC...
Umempa nguvu Sana kisaikolojia kuwa ukimpata yeye utakuwa "umeweza kufanya kitu kikuubwa"...
Big achievement....umepanda classs...
Hiko ndo kinakusumbua.......
Nashauri ungetafuta mwanasaikolojia mmoja akusaidie ...au mtafute tena huyo msichana hata Kwa Siri halafu Anza kum observe upya.... mostly likely ataongea kitu au atafanya kitu kitakufanya ufikie conclusion "AHH kumbe WA kawaida Tu kama wale wengine" utaweza Ku move on...
Jaribu kumtafuta mumewe pia umchunguze unaweza Baki mdomo wazi....yaani huyu namuona special kumbe mumewe ndo hili pumbavu??
Jaribu hilo....
The boss umeandika kitu kikubwa sana aisee. Halafu utakuta huyo DC wa enzi za Nuhu kwa sasa kafulia yuko yuko tu. Mtu unatakiwa ujipe thamani. Kuzaliwa familia maskini ni njia tu ila sio lazima uendelee kuwa maskini. Halafu huyu jomba akubali kuwa kuna kukataliwa na mademu. Binafsi nilikuwaga na hiyo shida ya kutokukubaliana na hali lakini nikaja kugundua nilikuwa tu mpuuzi kwasababu kila binadamu ana maamuzi yake.Psychologically kinacho kusumbua ni Hali ya kuwa wewe ulikuwa mtoto wa masikini na yeye mtoto wa DC...
Umempa nguvu Sana kisaikolojia kuwa ukimpata yeye utakuwa "umeweza kufanya kitu kikuubwa"...
Big achievement....umepanda classs...
Hiko ndo kinakusumbua.......
Nashauri ungetafuta mwanasaikolojia mmoja akusaidie ...au mtafute tena huyo msichana hata Kwa Siri halafu Anza kum observe upya.... mostly likely ataongea kitu au atafanya kitu kitakufanya ufikie conclusion "AHH kumbe WA kawaida Tu kama wale wengine" utaweza Ku move on...
Jaribu kumtafuta mumewe pia umchunguze unaweza Baki mdomo wazi....yaani huyu namuona special kumbe mumewe ndo hili pumbavu??
Jaribu hilo....
Mkuu ni kweli unayosema ila sasa nshakuwa mtu mzima na nina maisha yangu najiweza, ila ninachoshangaa kwanini hii hali haitaki kuniachia!The boss umeandika kitu kikubwa sana aisee. Halafu utakuta huyo DC wa enzi za Nuhu kwa sasa kafulia yuko yuko tu. Mtu unatakiwa ujipe thamani. Kuzaliwa familia maskini ni njia tu ila sio lazima uendelee kuwa maskini. Halafu huyu jomba akubali kuwa kuna kukataliwa na mademu. Binafsi nilikuwaga na hiyo shida ya kutokukubaliana na hali lakini nikaja kugundua nilikuwa tu mpuuzi kwasababu kila binadamu ana maamuzi yake.
Kwakweli haozi😄Unakipaji cha pekee mkuu.....😊 huo ndio upendo wa agape, yaani kufa kuzikana na hata ukizikwa hauozi....😜
Mkuu kama 2003 ulikuwa sekondari ina maana kuna uwezekano mkubwa ushaoa kwa sasa na hata kama hujaoa utakuwa na uhusiano na mwanamke/wanawake. Nadhani focus na ulicho nacho kwa sasa. Haya mambo ya kupoteza muda kufikiria miaka 20 iliyopita ni mabaya. Mshukuru Mungu hujawahi kuwa mpenzi wake wala hujawahi kumtendea vibaya. Ingekuaje angekuwa mwanamke ambaye ulimpenda ila ukamuumiza na kumuacha aende halafu ile kushtuka demu ndo akawa kasha-move on hataki chochote? Mwisho kabisa huyo mwanamke kama yupo hai basi 90% atakuwa ni mke wa mtu. Kwahiyo acha kuwaza mke wa mtu.Mkuu ni kweli unayosema ila sasa nshakuwa mtu mzima na nina maisha yangu najiweza, ila ninachoshangaa kwanini hii hali haitaki kuniachia!
Unajua kuna muda ukiwa hoehae kuna zile insecurities lazima zikuandame,unawaza umekataliwa kwakuwa huna hiki na kile kumbe mwisho wa siku kila mtu anakataliwa vizuri tu.