Miaka 20 sasa imepita bado anaitesa akili yangu?


Mkuu, unasubiri hali ikuache badala ya wewe kuiacha na kusonga na mambo mengine?!

Mbona umeachana na suala la uyatima na unasonga?

Mbona umeachana na umasikini na unasonga?

Kifungo chako ni more mental ndio maana unazurura nacho over 20+years, the choice is yours… ujiweke huru ama uendelee kujifunga.

20+years maana yake we ni mtu mzima around 40yrs, sasa kama unatatizwa na jambo dogo hivi nadhani unahitaji kujitazama namna unavyo perceive mambo.
 
Mkuu miaka 20 bado unamuwaza mtu ambae ukute kwenye kumbukumbu zake alishakusahau kitambo sana wala hana time na wewe, toka hapo ulipo anza maisha mapya kwanza kwa muda huu ilitakiwa uwe na mke na watoto wako, move on acha kuwaza vitu visivyofikilika kazi kwako
 
This is not love, it's a cocktail of infatuation, obsession and trauma. She's on your mind because your fragile ego got bruised, and you're subconscious finds hard to accept defeat.

Human beings tend to remember people who abuse and hurt them more. It's called Trauma, and it really is a weird paradox.

Believe me, this is Ego Tripping. Ukimshampata manzi wa hivi kesho tu unamchoka na humtaki tena kwasababu ubongo wako utakuwa umeshajiridhisha na ushindi.

Ila ukweli ni kwamba maisha ya watoto wa kiume ni magumu sana. Vibuti vya kipindi cha balehe huwa vinauma kinoma, sema tunazoea kuishi navyo tu.
 
Hii imeenda..
 
Unapoteza muda wako nadhani huna kazi ya kufanya
 
Aisee we utakuwa mwana saikolojia, maana umeongea point sijawahi ona.
 

Nadhani katika MAISHA Kila mtu kaandikiwa wake
Lakini pia MOYO hupenda kweli kabisa mara Moja tu katika MAISHA yetu yote wanaofuata unajaribu kupenda
This FUCKING shit wazungu wanaita FIRST LOVE
Nia miaka 33 imepita sijui huyu demu YUPO hai amekufa ama vipi alihama Shure wakahamia mkoani tukiwa darasa la pili since then sijawahi kumsahu mpaka Leo nakumbuka jina lake ni SALAMA alikuwa ni Desk mate wangu dawati Moja tulikuwa tunakaa watu wanne
Hvyo siwezi kushangaa Hilo najua wengi hawawezi kuelewa ila nakuelewa sana 7bu hata mimi mzimi wa SALAMA haujawahi kunitoka
 
Salama Jabir nini?
Btw mlisoma Morogoro SUA primary?
 
Salama Jabir nini?
Btw mlisoma Morogoro SUA primary?
Hapana sio tulisoma Shule Moja maarufu sana hapa DAR ES SALAAM mtu yoyote aliye na Miaka 30+ lazima aijuie hiyo PRIMARY ama azijue habari zake
But angekuwa SALAMA jabri SI ningemshamlukia
Miaka 33 sijui kama YUPO hai ama amekufa au vipi
Ila babaake alihamishwa KIKAZI then akabai na mamaake baada ya muda wakahamia mtwara namamaake unajua zamani kusoma na watoto wa mahakimu au Madc ama watoto wa wakuu wa mikoa wakuu wa police majeshi nk katika shule za serikali lilikuwa jambo la kawaida sana na ukifika zile shule maarufu za secondary kama TAMBAZA AZANIA FORODHANI nk huko ndo unakutana nao wengi sana sana
Huyu mamaake alikuwa karani wa mahakama kinondoni na babaake alikuwa alikuwa askari mpelelezi au afisa kipenyo alikuwa ni mtu wa kusafiri safiri nilikuwa nikisikia tu wakiongea watu huyu mzee mtu hatari
naona alivyohamia huko mzee wake mtwara na mamaake akamfata ndo wakahamia mazima huko mtwara walikuwa na MAISHA Bora kiasi mana hata pale school alionekana wakishua kiasi SI wajua miaka 80s 90s ukiwa na begi la shule katika hizo shule za kayumba basi nyumbani kidogo ALHAMDULILLAH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…