Miaka 20 ya JF: JamiiForums irudishe heshima yake ya Jukwaa La Great Thinkers

Miaka 20 ya JF: JamiiForums irudishe heshima yake ya Jukwaa La Great Thinkers

Kuwa G.T ni kuwa na pesa na maisha mazuri hayo mambo ya maandiko hayafanyi kazi katika Dunia ya sasa
Hiyo ni tafsiri unavyoichukulia wewe.
"Kuwa na pesa" siyo sawa na kuwa na maisha mazuri kwa yeyote.
Lakini niseme wazi kwamba tafsiri hii yako inaendana vizuri sana na jina lako.
 
Sijasema kila ninachokisoma kinaniburudisha katika jukwaa la siasa. Hata hivyo burudani hutofautiana kati ya mtu na mtu.
Na bado unapata taabu sana kueleza "burudani" kwako ni nini!
Na wala huoni kuwa sijaandika popote kuwa "kila unachosoma kinakuburudisha"; lakini uanaona ni bora unisakazie hivyo.
 
Griti sinka🤣
Sasa hapo Nini hujaelewa au uko kwenye Hilo kundi la wasomaji

Unashindwaje kuelewa nguvu ya serikali inatoka Kwa wananchi wanaolipa Kodi zao Kwa serikali

Endelea kuwa msomaji na kujifunza
 
Kiongozi hii itakuwa ni monopolization and it will be against freedom of speech that thing you preach always

Acha watu waandike mambo yao.Kama kweli wapo hao GT kitakuwa kipimo sahihi kwao.Hao ma-GT watakuwa na uwezo wa kubaini vitu vya hovyo na kutoa vitu safi.

Unadhani wakibaki GT peke yao pumba na mchele tutatofautisha vipi sisi walaji?
Ndo maana nikashauri wengine waendelee kusoma na kujifunza mkuu Hadi wawe Gt

Ili kulipa jukwaa heshima
 
Hii ni biashara mkuu, biashara watu,ukiona hapakufai achana napo,binafsi kwa wiki naweza ingia mara mbili,naona kabisa baada ya miezi sita ntakua nimeachana na jf
Wewe ndo unachukulia kama biashara kumbe
Ndo maana nasema tubaki na GT TU haswa hili jukwaa la siasa
Siasa sio biashara inagusa Maisha ya watu Kwa ujumla wake
 
Ujinga ni pale great thinker wa jf anapimwa kwa kuipinga serikali, eti mzalendo ni yule anaeipiga serikali, eti ili uwe msomi lazima uipinge serikali kwa kila kitu..

Tusipangiane jinsi ya kuwa msomi, gt au mzalendo...
Embu rudia Tena kusoma nilichoandika Kwa umakini kama Kuna hayo maneno

Gt anaelewa kwanza ndo anajibu sio anasoma Ili ajibu
 
Sasa hapo Nini hujaelewa au uko kwenye Hilo kundi la wasomaji

Unashindwaje kuelewa nguvu ya serikali inatoka Kwa wananchi wanaolipa Kodi zao Kwa serikali

Endelea kuwa msomaji na kujifunza
Nimewwka record sawa kwamba huna u great thinker wowote.
 
Na bado unapata taabu sana kueleza "burudani" kwako ni nini!
Na wala huoni kuwa sijaandika popote kuwa "kila unachosoma kinakuburudisha"; lakini uanaona ni bora unisakazie hivyo.

Kwangu burudani ni shughuli au jambo linalonipa furaha, starehe, na mapumziko ya akili au mwili.

Wewe mwenyewe umenisakizia kuwa naburudika kwa kusoma nyuzi za machawa wa CCM, akina tlaatlaa.
 
Wewe mwenyewe umenisakizia kuwa naburudika kwa kusoma nyuzi za machawa wa CCM, akina tlaatlaa.
Ni wapi niliposema hivi?
Huwezi kutofautisha "pendekezo la mfano" na kuambiwa kinagaubaga kuwa wewe upo hivyo?
Kwangu burudani ni shughuli au jambo linalonipa furaha, starehe, na mapumziko ya akili au mwili.
sasa nieleze ni kipi katika jukwaa hili kinachofurahisha na "kukupa mapumziko ya akili au mwili"; jukwaa ambalo michango yake mingi ni kunyimwa haki kwa waTanzania, kuuliwa, kutekwa, kupotezwa au kufanywa ufisadi na watu waovu
Haya yote wewe ndiyo yanayokupa mapumziko ya akili na mwili, kweli?
 
Ni wapi niliposema hivi?
Huwezi kutofautisha "pendekezo la mfano" na kuambiwa kinagaubaga kuwa wewe upo hivyo?
Ok,  kwanza kwa nini umeamua kutoa hilo pendekezo la mfano? Kwba umeniona chawa?
sasa nieleze ni kipi katika jukwaa hili kinachofurahisha na "kukupa mapumziko ya akili au mwili"; jukwaa ambalo michango yake mingi ni kunyimwa haki kwa waTanzania, kuuliwa, kutekwa, kupotezwa au kufanywa ufisadi na watu waovu
Haya yote wewe ndiyo yanayokupa mapumziko ya akili na mwili, kweli?
Hapo umesema jukwaa la siasa michango yake 'mingi', 'maana yake si michango yote'. Sasa Mimi huwa naburudika nikiona baadhi ya nyuzi katika jukwaa hili, kwa mfano, ule Uzi ambao uliletwa na Mwingulu akijaribu kujitetea kuwa yeye hakusoma kwa kutumia jina la mtu. Alikuwa anatoa historia ya jina lake.
 
EEEEeeenHEEEeeeeh!
Hii ndiyo "burudani" inayotuliza akili na mwili wako, au siyo?

Sawa. Burudika mkuu 'Secretarybird'.
 
Wapo wa kupuuzwa, na wapo ambao hawastahili kupuuzwa.

Kuna njia kadhaa za kushughulika nao, na usifikiri hayawaingii kichwani wanayoambiwa humu.
Wengine kweli wakishmbuliwa wanatokomea, wengine, kama wawili hivi, wamekuwa Sugu, na ndio wanaoleta sana kero.
 
Sema niku save vp kwenye list
 
Attachments

  • FB_IMG_1783907457169.jpg
    FB_IMG_1783907457169.jpg
    26.4 KB · Views: 14
Wewe ndo unachukulia kama biashara kumbe
Ndo maana nasema tubaki na GT TU haswa hili jukwaa la siasa
Siasa sio biashara inagusa Maisha ya watu Kwa ujumla wake
Unafikiri mello anachukulia kama unavyochukulia wewe?..kuna ofisi na wafanyakazi,Kodi na mishahara
 
Back
Top Bottom