Hiyo ni tafsiri unavyoichukulia wewe.Kuwa G.T ni kuwa na pesa na maisha mazuri hayo mambo ya maandiko hayafanyi kazi katika Dunia ya sasa
Na bado unapata taabu sana kueleza "burudani" kwako ni nini!Sijasema kila ninachokisoma kinaniburudisha katika jukwaa la siasa. Hata hivyo burudani hutofautiana kati ya mtu na mtu.
Unaweza kupima mwenyewe kama na wewe ni Gt utaelewaKwahiyo wewe ni G.T au ni MTU unayetamani kuwa G.T?
Sasa hapo Nini hujaelewa au uko kwenye Hilo kundi la wasomajiGriti sinka🤣
Wakuu heshima kwenu
Naomba nielezee mada yangu kwa maneno machache Sana naamini inaeleweka
Kwanza nikiri kwamba serikali Ina mchango wake kidogo Sana katika mafanikio ya MTU binafsi. Ila sehemu kubwa ya mchango wa mafanikio ya MTU inategemea MTU mwenyewe alivyo.
Sina Nia mbaya kumsema Mkt Mbowe Wala sipo kutetea maeneo ambayo serikali inashindwa kutimiza wajibu wake
Ila nasikitika Mkt Mbowe kutokueleza vijana ukweli kwamba serikali Ina mchango mdogo Sana katika mafanikio yao binafsi. Mfano ni yeye mwenyewe pamoja na historia ya utajiri wa familia lakini Mbowe ameonyesha uwezo mkubwa...
- Gift mzalendo
- Replies: 37
- Forum: Jukwaa la Siasa
Ndo maana nikashauri wengine waendelee kusoma na kujifunza mkuu Hadi wawe GtKiongozi hii itakuwa ni monopolization and it will be against freedom of speech that thing you preach always
Acha watu waandike mambo yao.Kama kweli wapo hao GT kitakuwa kipimo sahihi kwao.Hao ma-GT watakuwa na uwezo wa kubaini vitu vya hovyo na kutoa vitu safi.
Unadhani wakibaki GT peke yao pumba na mchele tutatofautisha vipi sisi walaji?
Wewe ndo unachukulia kama biashara kumbeHii ni biashara mkuu, biashara watu,ukiona hapakufai achana napo,binafsi kwa wiki naweza ingia mara mbili,naona kabisa baada ya miezi sita ntakua nimeachana na jf
Embu rudia Tena kusoma nilichoandika Kwa umakini kama Kuna hayo manenoUjinga ni pale great thinker wa jf anapimwa kwa kuipinga serikali, eti mzalendo ni yule anaeipiga serikali, eti ili uwe msomi lazima uipinge serikali kwa kila kitu..
Tusipangiane jinsi ya kuwa msomi, gt au mzalendo...
Nimewwka record sawa kwamba huna u great thinker wowote.Sasa hapo Nini hujaelewa au uko kwenye Hilo kundi la wasomaji
Unashindwaje kuelewa nguvu ya serikali inatoka Kwa wananchi wanaolipa Kodi zao Kwa serikali
Endelea kuwa msomaji na kujifunza
Na bado unapata taabu sana kueleza "burudani" kwako ni nini!
Na wala huoni kuwa sijaandika popote kuwa "kila unachosoma kinakuburudisha"; lakini uanaona ni bora unisakazie hivyo.
Ni wapi niliposema hivi?Wewe mwenyewe umenisakizia kuwa naburudika kwa kusoma nyuzi za machawa wa CCM, akina tlaatlaa.
sasa nieleze ni kipi katika jukwaa hili kinachofurahisha na "kukupa mapumziko ya akili au mwili"; jukwaa ambalo michango yake mingi ni kunyimwa haki kwa waTanzania, kuuliwa, kutekwa, kupotezwa au kufanywa ufisadi na watu waovuKwangu burudani ni shughuli au jambo linalonipa furaha, starehe, na mapumziko ya akili au mwili.
Ok, kwanza kwa nini umeamua kutoa hilo pendekezo la mfano? Kwba umeniona chawa?Ni wapi niliposema hivi?
Huwezi kutofautisha "pendekezo la mfano" na kuambiwa kinagaubaga kuwa wewe upo hivyo?
Hapo umesema jukwaa la siasa michango yake 'mingi', 'maana yake si michango yote'. Sasa Mimi huwa naburudika nikiona baadhi ya nyuzi katika jukwaa hili, kwa mfano, ule Uzi ambao uliletwa na Mwingulu akijaribu kujitetea kuwa yeye hakusoma kwa kutumia jina la mtu. Alikuwa anatoa historia ya jina lake.sasa nieleze ni kipi katika jukwaa hili kinachofurahisha na "kukupa mapumziko ya akili au mwili"; jukwaa ambalo michango yake mingi ni kunyimwa haki kwa waTanzania, kuuliwa, kutekwa, kupotezwa au kufanywa ufisadi na watu waovu
Haya yote wewe ndiyo yanayokupa mapumziko ya akili na mwili, kweli?
EEEEeeenHEEEeeeeh!Hapo umesema jukwaa la siasa michango yake 'mingi', 'maana yake si michango yote'. Sasa Mimi huwa naburudika nikiona baadhi ya nyuzi katika jukwaa hili, kwa mfano, ule Uzi ambao uliletwa na Mwingulu akijaribu kujitetea kuwa yeye hakusoma kwa kutumia jina la mtu. Alikuwa anatoa historia ya jina lake.
Najua Hawa machawa wanakukera, lakini wapuuze maana wakigundua nyuzi zao zinachukiwa ndo wanazidi kuzileta ili tukereke zaidi.EEEEeeenHEEEeeeeh!
Hii ndiyo "burudani" inayotuliza akili na mwili wako, au siyo?
Sawa. Burudika mkuu 'Secretarybird'.
Wapo wa kupuuzwa, na wapo ambao hawastahili kupuuzwa.Najua Hawa machawa wanakukera, lakini wapuuze maana wakigundua nyuzi zao zinachukiwa ndo wanazidi kuzileta ili tukereke zaidi.
Wengine kweli wakishmbuliwa wanatokomea, wengine, kama wawili hivi, wamekuwa Sugu, na ndio wanaoleta sana kero.Wapo wa kupuuzwa, na wapo ambao hawastahili kupuuzwa.
Kuna njia kadhaa za kushughulika nao, na usifikiri hayawaingii kichwani wanayoambiwa humu.
Hata mafisadi Wana Hela na wauza madawa ya kulevyaKuwa G.T ni kuwa na pesa na maisha mazuri hayo mambo ya maandiko hayafanyi kazi katika Dunia ya sasa
Unafikiri mello anachukulia kama unavyochukulia wewe?..kuna ofisi na wafanyakazi,Kodi na mishaharaWewe ndo unachukulia kama biashara kumbe
Ndo maana nasema tubaki na GT TU haswa hili jukwaa la siasa
Siasa sio biashara inagusa Maisha ya watu Kwa ujumla wake