Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,188
- 2,553
Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya shughuli za posta huko japan.
Leo huyu mnyama ana miaka 24, production ya 1997, mpaka leo sijui kapita mikono ya watu wangapi cha msingi bado anadunda tu.
Changamoto kubwa ni spare za hawa jamaa, wafanya biashara huuza spea ambazo ni rahisi kuuzika au zinatoka mapema, hivi vi pikipiki spare zake ukifunga umefunga.