Miaka 24 still strong barabarani, Yamaha 4gl-90

Pikipiki za wapi watumia?


  • Total voters
    6
  • Poll closed .

Mr DIY

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2016
Posts
1,188
Reaction score
2,553
Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya shughuli za posta huko japan.


Leo huyu mnyama ana miaka 24, production ya 1997, mpaka leo sijui kapita mikono ya watu wangapi cha msingi bado anadunda tu.

Changamoto kubwa ni spare za hawa jamaa, wafanya biashara huuza spea ambazo ni rahisi kuuzika au zinatoka mapema, hivi vi pikipiki spare zake ukifunga umefunga.
 
Mkuu nina Honda 110 na MB90 napata wapi spare unipe link ya simu
 
Mkuu wapi naweza pata kabureta ya hiki chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…