Habari zenu,
Miaka 3 iliyo pita nilifanikiwa kuitwa baba nikiwa na umri wa miaka 22 ambapo nilipata mabinti zangu mapacha kutoka kwa Binti wa kijerumani Greta Friedrich
Mimi na Greta tulikutana mwaka 2021 mwishoni nchini Italy nilipo kuwa mapumzikoni na tulianza mahusiano mimi nikiwa na umri wa miaka 20 na yeye akiwa na umri wa miaka 21
Mwaka 2022 alikuja tanzania na kukaa kwa miezi minne na bahati nzuri akiondoka na ujazito wa mabinti zangu Leonie na Luisa
Na mwaka huu kaolewa kwahiyo siwezi kuwa nae Tena sababu tayari kishakuwa mke wa mtu na mimi natamani sana kuingia kwenye ndoa na familia tayari imenichagulia mabinti wa nne ambapo mi ndo natakiwa nichague Binti mmoja wa kuoa
Na mabinti hao ni Fatma awadh huyu anatoka familia ya fuad awadh - azania group
Najma self huyu ni familia ya seif Ali seif - super group
Sarah jonhnson huyu ni Binti wa mwekezaji kutoka USA
Anita karmali ni Binti wa familia ya karmali -kamal group
Naombeni ushauri wenu wakubwa zangu hapo nichague Binti gani au Kuna changamoto huko kwenye ndoa mnazopitia hamtaki mdogo wenu nipitie
Pesa ipo ya kutosha hivi sasa nipo kwenye hatua za mwisho wa ujenzi wa kiwanda changu pia kuhusu nyumba ninazo nne bahari beach, mikocheni, msasani na oyster bey na viwanja masaki, mbezi beach, mbweni na bahari beach
Ushauri wenu ndo mafanikio yangu