juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
- Thread starter
-
- #201
Huna mipango wewe,ukiwa peke yako mungu hakupi ridhiki kamwe.lazima uwe na mtu anayekutegemea ndio utaelewa ninachomaanisha hapa.Mkuu sidhani kama kukimbilia kuoa au kuzaa kisa umri umenda ni dili ila kinacho matter hapo una plan gani kichwani wengine tuna waza kuwa na familia pale unaona ntaweza kuipa mahitaji yake muhimu ikiwemo watoto wasome vizuri sio wasome tu wasome vizuri, wale na kulala mahala pana eleweka sio una miaka 27 una kimbizana na nyumba za kupanga watoto umezaa watatu kodi tu mwisho wa mwezi ina kutoa jasho je hiyo ada ya watatu utaweza? so kuwa na mipango nadhani ndio jambo la kuangalia zaidi
Mkuu ndio naskia kwako leo eti ukiwa mwenyewe Mungu hakupi riziki mimi na amini riziki hupatikana popote pale Mungu atakapo amua kukufungulia baraka zake so kuwa na mtu au watu wana kutegemea haimaanishi ndio utapata koz kama ipo ipo tu ila unapo kuwa una watu wana kutegemea jitihada za kazi huongezeka na unaweza ukawa mwenyewe pia ukapata vile vile so kuwa makini katika uchambuzi wako kwa hiliHuna mipango wewe,ukiwa peke yako mungu hakupi ridhiki kamwe.lazima uwe na mtu anayekutegemea ndio utaelewa ninachomaanisha hapa.
FafanuaNashkuru hiki hakinuhusu..
Siongei na waoga wa maishaMkuu ndio naskia kwako leo eti ukiwa mwenyewe Mungu hakupi riziki mimi na amini riziki hupatikana popote pale Mungu atakapo amua kukufungulia baraka zake so kuwa na mtu au watu wana kutegemea haimaanishi ndio utapata koz kama ipo ipo tu ila unapo kuwa una watu wana kutegemea jitihada za kazi huongezeka na unaweza ukawa mwenyewe pia ukapata vile vile so kuwa makini katika uchambuzi wako kwa hili
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hahahaha ntakuchosha tu mkuFafanua
Hahahaha noma sanaTatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.
Acha kujifanya unajua sana maishaUngesema mpaka kufika 27 yrs tuwe tayari life linaeleweka, hapo ningekupa dole la LIKE na kama kitufe kisingekuepo, ningekupa dole la kati.
Wewe itakuwa hii topic imekugusa,huzaiIQ ya watanzania, habari ya kuzaa habar ya umri basi tu hayo yaliwekwa kwa kuangalia afya za watanzania ila kwa nchi zenye uchumi mzuri watu wanaweza ku afford maisha yao kwa needs zote za kila siku wao wanashauri kuzaa wakati umri ukiwa umeenda kwa kuw wao uishi mda mrefu xo mleta mada acha kukalili shida na logic za darasa la pili b za kwenye nchi masikini
Wewe mwenye ujasiri wa kupambana nayo ni maendeleo gani binafsi na kwa taifa lako unayo ya kutamanika nakuinspire wengine kukuiga au unaleta ubishi usio kuwa na tija!! Koz unajikuta una shuka na uzi na maneno yako ya kejeli afu ukute ndio walewale wa kula kwa shikamoo. hapa tupo kushare life experiences na ideas ambazo ni constructive sio kubisha tuSiongei na waoga wa maisha
Ndio maana mnazaa watoto wanaishia kuzagaa mitaani na mkiwapeleka shule basi zile za kidumu mkononi,1st born wangu nilikua na 30 years nilikua na uhakika wa kumlea katika njia sahihi ingawa wadogo zangu walinitangulia ila niliweka malengo mtoto aje anikute nimefanya ABC's sio nisake mtoto kisa umri.
Pata mtoto ukiwa na miaka 18 na mimi 30 ila muhimu wapate malezi bora sioni sababu ya kukimbizana kama wataishia mtaani tu,kwa wale ambao wanahisi wamechelewa fanyeni vitu kwa mipango siku hizi hakuna zile za mtoto kulelewa na babu na bibi au ba'mdogo lazima tujipange hakuna haja ya kuwasikiliza haw wanaowaaminisha eti lazima mtoto aje ukiwa umri fulani.
Kaa hivohivoWewe mwenye ujasiri wa kupambana nayo ni maendeleo gani binafsi na kwa taifa lako unayo ya kutamanika nakuinspire wengine kukuiga au unaleta ubishi usio kuwa na tija!! Koz unajikuta una shuka na uzi na maneno yako ya kejeli afu ukute ndio walewale wa kula kwa shikamoo. hapa tupo kushare life experiences na ideas ambazo ni constructive sio kubisha tu
Weka yako yenye akili basi,,unless otherwise shut up ur mouthThread ya kijinga mno.
Make me .Weka yako yenye akili basi,,unless otherwise shut up ur mouth