Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Vipi km Maisha yakakushinda... hutozaa. Maana si Wote wanaosema wanajipanga wanafanikiwa...
 
Mi sijaona Tatizo la Mleta mada ingawa watu wanamshambulia sanaa... Kuna watu wakifikisha 25 wameshafanikiwa kuliko anayesema 30 ...

Sisi wengine mbn tumesoma shule za Kupeleka mbolea na majembe ... Ila Wazazi baadae ndo maisha yamekuwa mazuri tunasoma Vyuo vya Private.. na Mdogo wangu ambaye nimemzidi miaka 10 ndo Anafaidi Kuliko hata Sie Wawili ...

Ila Kuna Msemo Mmoja Alishaniambia Mtoto wa Ba Mkubwa.. Ukiwa na Familia Baraka Mungu Ndo Anazinwaga... Ingawa Si wote Tutaweza Pata Watoto ila Kwa Uweza Wake Mungu
 
Una uhakika wa kufika hiyo miaka 40
Hata Mi Nashangaa Mtu ana Uwezo Wote Hapo anasema Anataka kuendesha Gari aina Zote Halafu Anakuambia Mwishoni Ada Ni Million sasa Kama Anauwezo wa kuendesha Gari la Mil 20 anashindwaj kusomesha... Tena Elimu siku Hizi Bure.. Mtoto unampeleka Shule Ila Unamtafutia na Tution za kutosha

Huyo anataka miaka 40 ndo awe na Mtoto

[emoji820]Mtoto mpk Aanze Shule Yeye Ana Miaka -47
[emoji820]Mtoto Akimaliza La Saba Yeye ana Miaka 54
[emoji820]Mtoto Akimaliza Secondary yeye ana 58
[emoji820]Mtoto akimaliza A level yeye ana 60
Akifika chuo Kwa Kozi za Miaka 3-5 yeye ana 63-65

Life Span ya watanzania Haifiki Huko...

[emoji818]Hapo Mtoto Hajarudia Shule wala Kufeli Au Kuresiti
 
Aiseee nimekupenda, u r the great thinker, i real like that. Blessed
 
Umeamua kunisema mi nina kazi lakini nina kipato cha kati but mke wa kuoa nimekosa nitazaa na Nani?
 
Mbona mi Nina miaka36 mwanangu ana mwaka Na miezi saba
 
Jamani nahisi ndiyo maana sisi huwaga maskini sana,wazungu wenzetu utakuta Mzee Ila mtoto wake wdoogo
 
Ukumbuke Pia,Mzee Huyo alipata watoto wawili wakubwa kabisa na mkewe was ndoa.Mmoja marehemu.binti ana umri zaidi ya miaka 30
 
Mkuu suala la mtoto halihitaji kujipanga,we una ubinafsi unahisi ukiwa na mtt atapunguza pesa zako,si ajabu huna chochote
Nyie mnaozaa bila ya kujipanga mnafanya watoto wa mitaani kuzidi na omba omba wengi sana sana kwa ndugu, na ndio maana watoto wanakua mashoga baadae koz hamuwez kuwahudumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…