juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
- Thread starter
-
- #261
Angalia hao wazee wanavozaa bila uzazi wa mpango,sasa mtu uwe ma miaka 40 mwanao wa kwanza awe na miaka 8,kweli? HaaahJamani nahisi ndiyo maana sisi huwaga maskini sana,wazungu wenzetu utakuta Mzee Ila mtoto wake wdoogo
Wewe suala la ushoga ni tabia ya mtu tu,na hata watoto wa mtaani ni tabia ya mtoto tu,mifano tunayo mingi sana tumeona kwa macho yetu.tangu umeanza kujipanga una kiasi gani mkuu? Kwani mtt anakula mabilioni?maneno ya mkosaji hayo.hata sisi wazazi wetu wangesubiri kujipanga basi leo hii tusingezaliwaNyie mnaozaa bila ya kujipanga mnafanya watoto wa mitaani kuzidi na omba omba wengi sana sana kwa ndugu, na ndio maana watoto wanakua mashoga baadae koz hamuwez kuwahudumia
..Kwani kuzaa ni Formular kwamba Pai=22/7?Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.
Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza[emoji3] [emoji3] [emoji3]
..Asante sana mkuu nimekuelewa.Type ya mtoa uzi hapo juu ndo wanaolalamika mtoto akikosa Mkopo wa magu sababu hakuwa na succession plan katika maisha.Anakurupuka tu.Ndio maana mnazaa watoto wanaishia kuzagaa mitaani na mkiwapeleka shule basi zile za kidumu mkononi,1st born wangu nilikua na 30 years nilikua na uhakika wa kumlea katika njia sahihi ingawa wadogo zangu walinitangulia ila niliweka malengo mtoto aje anikute nimefanya ABC's sio nisake mtoto kisa umri.
Pata mtoto ukiwa na miaka 18 na mimi 30 ila muhimu wapate malezi bora sioni sababu ya kukimbizana kama wataishia mtaani tu,kwa wale ambao wanahisi wamechelewa fanyeni vitu kwa mipango siku hizi hakuna zile za mtoto kulelewa na babu na bibi au ba'mdogo lazima tujipange hakuna haja ya kuwasikiliza haw wanaowaaminisha eti lazima mtoto aje ukiwa umri fulani.
...Natumia Condom bro..Na ndio maana nimesema ujichunguze? Huenda una matatizo yabkizazi,,mbona nyie watu ni wagumu sana kuelewa?? Msisome kwa mihemko
We jamaa acha porojo,umri unakutupa mkono huo..Asante sana mkuu nimekuelewa.Type ya mtoa uzi hapo juu ndo wanaolalamika mtoto akikosa Mkopo wa magu sababu hakuwa na succession plan katika maisha.Anakurupuka tu.
Aaah,kwenda zako acha uongo,uzushi na unafiki.hutumii condom...Natumia Condom bro..
..huyu atakuwa amevunja ungoKutokana na hii post yako nimegundua yafuatayo:
(1) Wewe utakuwa bado mtoto (ndio kwanza umebalehe/umevunja ungo) au;
(2) Huna uzoefu na kitu kiitwacho MAISHA au;
(3) Umekariri maana ya maisha na hivyo huelewi maana yake halisi!
NB:
Jitahidi usome au kuchunguza maisha ya watu walio karne 2 mbele yetu, utagundua kuwa kuoa/kuolewa, kuzaa ni almost NEGLIGIBLE, ndio maana kwa sasa hasa nchi za kimagharibi zina program za ku-import wafanyakazi toka oversees, eg Green Card (USA). Watu wanaojua maana ya maisha wana tabia ya kutanguliza furaha binafsi mbele na sio cjui mtoto, mume/mke, ndugu, nk!
..anazani kuwa na RAV4 ndo kawazidi maisha,..Endelea kukariri, peleka wanao shule ya kata. Hongera kwa kusoma udsm. Afu inaonekana unafatilia sana maisha ya watu, ndio maana unasema ishu za kuzaa kisa unaangalia watu wengine wanaishije,umejuaje umewazidi kimaisha?
..tatizo unaishi kwa kubahatisha,..Nijuavyo maisha si hoja!! Ukiishaoa riziki itakuja tu. Otomatical
Ukisema unasubiri maisha yawe mazuri utasubiri saaana
Lakini pia ukiachana na hayo baba na mama yako angelisema asubiri mambo yawe supa ungekuwapo hapa Duniani?
Sasa ni muda wako Sasa kuwalipa wazazi wako wajukuu!!
..mimi alinizaa akiwana 32+Usiseme wazazi wetu sema mzazi wako... Mimi baba yangu alinizaa akiwa na 30+
..najua unataka upate wachangiaji wengi,..kwangu masters ndio 1st priority then Ndoa mwisho mtoto..Aaah,kwenda zako acha uongo,uzushi na unafiki.hutumii condom
Suala la Majaliwa lipo, yaani hapo nakubali bila kipingamizi.Mi sijaona Tatizo la Mleta mada ingawa watu wanamshambulia sanaa... Kuna watu wakifikisha 25 wameshafanikiwa kuliko anayesema 30 ...
Sisi wengine mbn tumesoma shule za Kupeleka mbolea na majembe ... Ila Wazazi baadae ndo maisha yamekuwa mazuri tunasoma Vyuo vya Private.. na Mdogo wangu ambaye nimemzidi miaka 10 ndo Anafaidi Kuliko hata Sie Wawili ...
Ila Kuna Msemo Mmoja Alishaniambia Mtoto wa Ba Mkubwa.. Ukiwa na Familia Baraka Mungu Ndo Anazinwaga... Ingawa Si wote Tutaweza Pata Watoto ila Kwa Uweza Wake Mungu
Huyo jamaa hawezi furahia Mtoto wake.kuna jammaa kapata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 42 kaulize elimu yake degree 2 masters 2 diploma 1 certificate 2 phd 1
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.
Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Pole sana Kiongozi.Tatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.