Swadaktaa, hilo linafahamika.Wengine hawana vizazi.. siyo makusudi yao..
Mnasumbuliwa na Uoga.Kila mtu na mipango yake
Suala sio Kugongewa LIKES.Kuna vitu vya kutafutia 'likes' ila kwa hili achana nalo
Mipango ya Mungu hatukatai, uko sawa, tena sanaKwanza kuna mpango wa Mungu
Hapo kwenye mipangilio ndipo mnapokoseana pili ni mpangilio wa maisha binafsi ya mtu
Suala sio kuaminishana, wala kulazimishana.Mkuu lazima ufahamu kwamba kila mtu has gotten his own perspective juu ya maisha, na through hiyo perspective ndipo anapoendesha maisha yake.
Hiyo moja, lakini pili unachoamini wewe kuwa ndio purpose of human life na source of happiness to human life sio lazima na wengine waamini hivyo
Hawa wenye matatizo ya kizazi inaeleweka, na wala si walengwa kwenye hii madaTatu, kuna issue ya being endowed naturally, kwa maana ya kwamba kuna baadhi ya watu hukosa vizazi, je nao wayachukie maisha kwa sababu wanashindwa kuzaa kipindi watakacho wao?
Ha wapi.KUNA WATU WANGAPI WAMEZAA MAPEMA, LAKINI BADO WAKO NA MISERABLE LIFE,
Kuna kitu wanakikosa ila wewe huwezi jua yaliyomo moyoni mwao.LAKINI HAPO HAPO WAPO WATU NI AGED NA HAWANA HAO WATOTO/WANAO KATIKA UMRI MKUBWA STILL WAKO HAPPY WITH THEIR LIFE?
Watu wana mawazo ya hovyo sana,eti kujipanga,sijajua wanajipanga nini.Hapa nimepitia Maoni karibia yote, na nitaanza tena ukurasa wa kwanza mpaka mwisho.
Kwa kweli nimegundua jambo.
Mleta UZI Ahsante sana
Uoga wenu tu,mbona mi nilizaa nikiwa sina kazi na mtt nilimlea vizuri na anasoma international school?.na sasa watoto watatu na wote wanaishi kwa raha,baba yao bado ningali kijana kabisa hadi raha nikiwa nao,na sijaajiliwa bali nimejiajili na pesa za kujiajili nilizipata after kuwa na watoto.mnajipanga kitu gani kwani?.maana sielewi,Hatukurupuki kijana watch out your [emoji105].!
Mkuu sio kila mtu anafanikiwa kusoma.kuna watu hawajasoma na wana maisha safi.kwa hiyo ninachokwambia achana na mambo ya darasa.hapa nazungumzia umri,maana maisha ni mafupi.watu wenyewe wanywa soda,chipsi mayai,n.k huwezi kuishi miaka mingi.zaeni mapemaHapo unazungumzia walio maliza darasa la saba au vyuo vikuu? Kwa nini mnapenda penda sana kuwatisha watu, mbona wanawake wengine wanaweza kuendelea kuwa fertile mpaka umri wa miaka 55. Kumbuka kupanga ni kuchagua.
Hao wenye masters asilimia 99 wana familia.sasa wewe sijui unaongelea nini hapa.zaa wewe acha uoga wa maishA..najua unataka upate wachangiaji wengi,..kwangu masters ndio 1st priority then Ndoa mwisho mtoto..
Mkuu sio kila mtu anafanikiwa kusoma.kuna watu hawajasoma na wana maisha safi.kwa hiyo ninachokwambia achana na mambo ya darasa.hapa nazungumzia umri,maana maisha ni mafupi.watu wenyewe wanywa soda,chipsi mayai,n.k huwezi kuishi miaka mingi.zaeni mapema
Miaka 38 acha Utani wewe....... Yaani Mimi Nikiangalia Mtaani kwangu hapa.. Nikianza na Baba yangu Mpk Nyumba Kumi Na na Kidogo hakuna Amabyw Hana Mtoto wa Nje
Ni kujiendekeza tu, kupanga ni kuchagua. Nafurahi kumwona mwanangu akiwa 20yrs wakati mi niko 40+ yrs.Tatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.
Mkuu si kila mtu anasoma,,mbona pia ninao malafiki zangu ambao walipata watoto wakiwa vyuo? Na walisoma hizo kozi unazozisema wewe? Hapa tunaangalia umri na wala si elimu,eboooNi hivi: Msichana au Mvulana mpaka amalize shahada yake ya kwanza wanakuwa na Umri gani (average) tuchukulie wanao somea Engineering na Udkitari - labda tuanzie hapo.
Mkuu si kila mtu anasoma,,mbona pia ninao malafiki zangu ambao walipata watoto wakiwa vyuo? Na walisoma hizo kozi unazozisema wewe? Hapa tunaangalia umri na wala si elimu,ebooo
Kweli haya mawazo ya uswahilini......uswahili wao wanasemaga tommorrow will save for itself,mwisho wa siku watt wanaishia kuimba singeli na viduku.Zaa wewe acha uoga,utaitwa babu na wanao,mtu una miaka 40 mtoto wa kwanza ndio ana miaka mitano,ujinga na uoga wa maisha huo,hata wazazi wetu wangesubiri kujipanga basi tusingezaliwa