Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

hahahaha..... nimebaki nastaajabu hapa....narudia tena

SiO LAZIMA KILA MTU AZAE.......SIO LAZIMA KILA MTU AWE NA MTOTO.

kila mtu ana plan zake kwenye maisha YAKE!
 
Huna plan zozote wewe nakujua
 
hahahah huwa nawaza pia naogopa hata mimba ya kisingizio sijawahi, duh i should consult my gyno sasa.... no ila bado nikifika 27 ntaanza kujiuliza kikubwa
 
Kumbe 27 bado hujafika?
Una mingapi? Nataka tuongee kiutu uzima.
 
mmmh..! lakini kuzaa mtoto bila ya kumjengea future ya kueleweka iv sasa ni janga kubwa kwa taifa pia"
Hakuna kitu kama hicho.

Wewe uoga unakusumbua.

Ujue kuna kitu kimoja,

Maisha unayoishi kwa hivi sasa, hesabu hayo ndio Maisha yako.

Mambo mengine ni matokeo huko mbeleni.

Unaweza kuwa na mipango mingi, halafu baadae inakuja kuwa mipango hewa
 
hahahaha..... nimebaki nastaajabu hapa....narudia tena

SiO LAZIMA KILA MTU AZAE.......SIO LAZIMA KILA MTU AWE NA MTOTO.

kila mtu ana plan zake kwenye maisha YAKE!
Ni lazima.

Kwasababu ni sehemu ya Maisha.

Kwani huwezi kuwa na Mtoto na mipango ikapangika?

Mnavyosema hivyo, utafikiri sie wenye Watoto hatuna mipango
 
Hapo sasa,,mbona wengine tuna watoto watatu na mambo yanaenda fresh tuu.kila binadamu ana future na mipango pia
 
hahahah huwa nawaza pia naogopa hata mimba ya kisingizio sijawahi, duh i should consult my gyno sasa.... no ila bado nikifika 27 ntaanza kujiuliza kikubwa
Ukifika 27ukajiulize mkuu,maana haiwezekani umri huo mtu kusiwe na matokeo yoyote iwapo unafanya ngono tena bila zana
 
Ni lazima.

Kwasababu ni sehemu ya Maisha.

Kwani huwezi kuwa na Mtoto na mipango ikapangika?

Mnavyosema hivyo, utafikiri sie wenye Watoto hatuna mipango
kheeeeee ! kwaio kua na mtoto ni lazma hahahahaha....unaumwa ww...

kua na mtoto ni CHAGUO LA MTU....sio lazma.....kila mtu ana mipango yake kwenye maisha....

we kama mpango wako kuzaa....zaa, ila huo sio mpango wangu...usilazimishe...
 
Hapo sasa,,mbona wengine tuna watoto watatu na mambo yanaenda fresh tuu.kila binadamu ana future na mipango pia
wengine hatuna interest hio sasa....msilazimishe hobby...

kuwa na mtoto na kulea ni Hobby ya mtu....
 
Tumia akili bro, badala ya mk+#du
 
well organized facts brother!! thanks for your time[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…