juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
- Thread starter
-
- #381
Hana uwezo huyu,ndio maana anahahaMkuu wewe umepanga kumpata ukiwa na mingapi,maana umeongea kwa uchungu mkubwa,mtoa mada kakugusa hadi kwenye sakafu ya moyo wako,Lol!
Ndipo hapo inaposhangaza.Yaani wanaposema mipango,utadhani sie wenye watoto basi hatuna mipango.
Kusema ukweli, Mleta mada kapiga IKULU.Mkuu wewe umepanga kumpata ukiwa na mingapi,maana umeongea kwa uchungu mkubwa,mtoa mada kakugusa hadi kwenye sakafu ya moyo wako,Lol!
Wewe yanakuhusu nin?? Hawataacha legacy... hao walioacha nani anawakumbuka. Alafu ukikumbukwa.. kaburi lako linakuwa bar???
Sasa una maana gani kusema jambo kusikitisha kama hili then at last unacheka,kama umejaaliwa watoto mshukuru mola wako na usifurahie matatizo ya wenzako,kuna wengine watasoma haya ulioandika huku unacheka,How do they feel??Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.
Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nawacheka wale ambao mungu kawapa uwezo wa kuzaa ila wao hawataki kwa kisingizio cha kujipanga,na ndio maana nawaambia wao wataanza kuzaa wakati wenzao wanaacha.wasubiri tu kuitwa bibi/babu na watoto zao,sasa kimfano una miaka 45? harafu mwanao wa kwanza ana miaka mitano,hivi si atakuita bibi/babu badala ya baba/mama?[emoji15]Sasa una maana gani kusema jambo kusikitisha kama hili then at last unacheka,kama umejaaliwa watoto mshukuru mola wako na usifurahie matatizo ya wenzako,kuna wengine watasoma haya ulioandika huku unacheka,How do they feel??
kuna ubaya gan kuitwa babu/bibi ilihali mtoto n wa kwako. ???Nawacheka wale ambao mungu kawapa uwezo wa kuzaa ila wao hawataki kwa kisingizio cha kujipanga,na ndio maana nawaambia wao wataanza kuzaa wakati wenzao wanaacha.wasubiri tu kuitwa bibi/babu na watoto zao,sasa kimfano una miaka 45? harafu mwanao wa kwanza ana miaka mitano,hivi si atakuita bibi/babu badala ya baba/mama?[emoji15]
Teh teh teh! Siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu.Ni kautani tu.
Nikiwa na maana,
Kuna Njemba inafukuzia.
Na kama ujuavyo kwenye kufukuzia, Mtoto/Mrembo lazima anase/aingie kwenye anga zako
Mkuu mtoto yeyote ni wa halali.haijalishi ni nje au ndani ya ndoa,mtoto ni mpango wa Mungu ,maana anasema nalikujua kabla hujazaliwaMipango yangu hairuhusu kufanya hivyo so kila napozini naangalia kalenda yake na kama kimeo condom lazma
Miaka 27 hiyo yawez3kana ni mtoto nje ya ndoa kabisaaaa na sijawaza kuwa na mtoto nje ya ndoa nahtaj ndoa ya kikristo na watoto wataatifu
Ubaya upo,maana ukizaa umri umeenda pia haileti rahakuna ubaya gan kuitwa babu/bibi ilihali mtoto n wa kwako. ???
Ni hii mipira ya makaratasi anacheza?Nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na 24yrs old. Thank you God, now this year anamaliza std 7 then nampeleka kwa kipingu akapige soka maana ni mwanasoka na tangu last year alikua timu ya Shule na mwaka huu pia yupo timu ya Shule.
Italeta raha kama umejpanga ila nowdayz watu wanatafta mtonyo kwanza kuzaa badae. Na hii itapunguza street children.Ubaya upo,maana ukizaa umri umeenda pia haileti raha
Mkuu hata ukizaa kabla ya mtonyo mbona watoto wanasoma na kula na kuvaa vizuri tu? Ishu ya watoto wa mtaani huwa ni mtoto tu na akili yake,kuna watoto wengi tu ambao wazazi wao wanajiweza na hawataki kukaa makwao.na nikuhakikishie tu kwamba wengi wa wale wasio na watoto ndio wasio na helaItaleta raha kama umejpanga ila nowdayz watu wanatafta mtonyo kwanza kuzaa badae. Na hii itapunguza street children.
Ukijichunguza utajua matatizo yako,na hapo ndio pa kuhangaikaSasa Nikijichunguza ndio mtoto anapatikana?
Cha ajabu kwa hivi sasa unazini, halafu utakapoOa unataka Mtoto Mtakatifu.Mipango yangu hairuhusu kufanya hivyo so kila napozini naangalia kalenda yake na kama kimeo condom lazma
Miaka 27 hiyo yawez3kana ni mtoto nje ya ndoa kabisaaaa na sijawaza kuwa na mtoto nje ya ndoa nahtaj ndoa ya kikristo na watoto wataatifu
Simply.. Kama umekusudia Ujumbe uwalenge vijana wote hapo haupo sahihiUkijichunguza utajua matatizo yako,na hapo ndio pa kuhangaika