Italeta raha kama umejpanga ila nowdayz watu wanatafta mtonyo kwanza kuzaa badae.
Na hii itapunguza street children.
Nice question, hatokujibu,,na tumuulize hadi leo account yake inasoma shilingi ngapi? Si ajabu sisi wenye watoto tuna hela kuliko yeyeKiongozi,
Naomba nikuulize swali:-
Kwenye kutafuta kuna mawili, nikiwa na maana kuna kupata na kuna kukosa.
Swali ....
Je ikiwa Mtonyo unaoutaka haujapatikana na Umri unazidi kukutupa mkono ina maana utazidi kuendelea kusubiri?
Mbona asilimia kubwa Familia zetu tunazotoka Maisha ni ya kawaida sana, na tumelelewa hivyohivyo kwa kuunga unga mpaka tunakua, na kuanza kujitegemea wenyewe.
Mbona hatujawa Watoto wa mitaani!
Umeona hapo?Nice question, hatokujibu,,na tumuulize hadi leo account yake inasoma shilingi ngapi? Si ajabu sisi wenye watoto tuna hela kuliko yeye
Kuna vitu vya kutafutia 'likes' ila kwa hili achana nalo
Kwanza kuna mpango wa Mungu na pili ni mpangilio wa maisha binafsi ya mtu
hahahaha..... nimebaki nastaajabu hapa....narudia tena
SiO LAZIMA KILA MTU AZAE.......SIO LAZIMA KILA MTU AWE NA MTOTO.
kila mtu ana plan zake kwenye maisha YAKE!
mkuuuu upo sahihi kabisa nakutamkia baraka mwakwni muda kama huu utakuwa kwenye mchakatoTatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.
Hahahahahahah!BILA SHAKA WEWE NI MCHAWI!
NA HAKUNA WA KUBISHA HATA MMOJA HUMU!
Unalia nini shoo?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Una uhakika na unachokiongea?Ila waliowahi kuanza majukumu wengi wao maisha yao ni magumu sana
UpuuziKama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.
Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.
Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kama ni kijana ametokea kwenye familia yenye kipato kizuri akitokea akikwama yupo dada au kaka au mjomba wa kumsaidia huyu hawezi kuteteleka swala la kuwai kuanzia familia na familia huwa na furaha siku zoteUna uhakika na unachokiongea?
Kwahiyo unataka kuniambia waliochelewa majukumu ndio wanaopeta!
Jiangalie wewe.
Wapo wengi wanaoyaogopa majukumu na mpaka kufikia usawa huu, si Simba wala Yanga.
Siri ya kuwahi majukumu kaa ukijua spidi ya utafutaji inaongezeka sana
hahahaWewe ndiye ulopost mada "Kuanzia leo situmii tena condom"?
Kama uko tayari kupata malezi yake uzae kama bado ignore what people are saying?Wewe ndiye ulopost mada "Kuanzia leo situmii tena condom"?
Majuzi nilikuwa na mashoga zangu wawili wote wanawatoto....mie nilibeba mikoba yao,kuna sehermu tulipita walikaa wakaka wengi,wakaanza kuSema...ooooh wenzio wamebeba watoto wewe umebeba mikoba....utabeba mikoba ya wenzio hadi lini??...wewe utazaa lini???Unalia nini shoo?
Hakuna kama kujipanga hapo, jilipue mambo mengine yatafuata.Kama ni kijana ametokea kwenye familia yenye kipato kizuri akitokea akikwama yupo dada au kaka au mjomba wa kumsaidia huyu hawezi kuteteleka swala la kuwai kuanzia familia na familia huwa na furaha siku zote
Tofauti na kijana ambaye kamaliza chuo Ana miaka 24 hana connection hana ndugu mwenye uwezo ndio mana nimesema hivyo hawezi Fanya lolote ikiwa atawai kuanzisha familia mapema nauhakika nachoongea wengi wao huwa wanakosa muelekeo wanaachana na mzazi mwenzie anaenda kuzalisha mwanamke mwingine watoto wanabaki kulelewa na bibi hapo bado hana mpango wakuwa na kiwanja
ni vyema kujipang kwanza mtoa mada angesema atleast miaka 30 ningemuelewa mana ukianza majukumu mapema utazeeka utakosa ata pesa ya kununua panado