Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

...Mkuu, Usizae tu eti uonekane kuwa una mtoto kabla ya miaka 27!
Ni medali ya Dhabu!

Jitizame kwanza. Hao Malaika unawaingiza daniani una Cha Kuwalisha? Una cha Kuwavalisha? Una Makazi ya Kuwaweka?
Usilete tu Watoto Duniani eti uonekane tu kwamba Umezaa mtoto kabla miaka 27, halafu unaishia kutujazia Chokoraa mitaani!!
Anyway, Why not kabla ya 31, if it is just choosing numbers? Why not Kabla ya 41? Or even 25? [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…