Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

na kama anafanya kwa machale
bado haiwezekani?
 
Maisha hayana formula ndugu..kila mtu na alivyoamua kuishi.
 

Waafrika tuna safari ndefu saana kiuelewa. Unahisi kuwa na legacy ni kupata watoto wengi? Hakika ni hapana!!

Leo hii Mwl Nyerere ameacha legacy sio kwa kuwa na watoto wengi akina Makongoro!? La hasha!! Legacy ya Mwl Nyerere imetokana na kutukomboa Watanganyika na si watoto wake.

Hivyo katika maisha cha muhimu ni kufanya jambo zuri na la thamani ili legacy iwe ya kutukuka na sio kutuletea watoto wengi ambao ni kariba ya Le mutuz.

Imbecillic!!
 
Mkuu maisha ya sasa ni mafupi sana,kuchelewa kuzaa utakuja umuache mtoto yatima,nyie ndio mnaacha watoto yatima kabisa
 
Mkuu mimi sijasoma international school ila waliosoma international school tulionana wote pale Udsm chuo na wote tunafanya kazi na wengine nimewazidi maisha kabisa
Endelea kukariri, peleka wanao shule ya kata. Hongera kwa kusoma udsm. Afu inaonekana unafatilia sana maisha ya watu, ndio maana unasema ishu za kuzaa kisa unaangalia watu wengine wanaishije,umejuaje umewazidi kimaisha?
 
Nadhani huelewi unachokisema ndugu kila mtu ana maisha yake na plan zake .Let me tell i have one of my friend kazaa two kids on her 40 and she has money analea bila stress mana ashavuna na vya wajukuu so watoto wanakua kilain hata akisepa.You cant gurantee life only God.
 
Maneno kuntu kabisa
 
Kwa hiyo we hutumii kinga eeh
 
Kuolewa au kuoa ni sheria lkn kuzaa ni majaliwa na mipango ya mungu
 
Usimpangie mtu maisha, ndo nyie kwako kuna njaa bhas unatangaza mtaani mwaka huu kuna njaa shame on you
 
Kweli we mjinga unafikiri wenzako wanazaa ovyo ovyo tu,kuzaa sio tatizo tatizo kulea,watoto baadae wanakuja kuishi maisha magumu kwa sababu ya kusikiliza ujinga wako au unafikiri wewe kuwa na mtoto kila mtu lazima awe nae wengine wana matatizo ya asili. pia kuna watu wamezaa watoto wengi na baadae wakafa wote akabaki mwenyewe na mkewe tu!!piga magoti muombe mungu akusamehe kwa upuuzi wako ulioongea, dunia hujaielewa vizuri nakupa pole sana tena muombe mungu sana maishani mwako
 
Kweli kabisa 110%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…