Uchaguzi 2020 Miaka 3 hayupo nchini, tuna imani gani na mlowezi huyu?

Wacha kuonyesha UJUHA wako hadharani wewe!!! Kwani hiyo miaka mitatu aliyokuwa nje ya Nchi unadhani yeye alipenda?

Umeliona hilo la yeye kutokuwa Nchini lakini hukutaka kuiona dhuluma kubwa aliyofanyiwa na aliyetaka KUMUUA, kisha akamnyima haki yake ya mamilioni ya pesa za matibabu na kisha kumpora Ubunge wake.

SHAME ON YOU!


 
Kama miaka 4 hayupo nchini mbona anawajambisha sana
 
Si mlikuwa mnadai hamjui alipo ? Leo unasema miaka mitatu alikuwa wapi vile ? Kijani kibichi ni hamnazo .
 
[emoji856][emoji856]
Herode
Mzee wa Mifadhaiko alipoona mhanga wa Risasi ni mzima yuko Nairobi akatuma watu(kina Samia)
Mhanga yule akarudi, wakaanza kuweweseka, imekuwaje risasi 16 zishindwe wakati 3 huwa zinamaliza kila kitu?
 
Unakalia toa sababu za yeye kutokuepo kwa miaka 3 nchini mbona mwajifanyanya kama hamna akili? Na kati kila kitu kiko wazi? Achen kutanguliza maslahi binafsi
 
Niambie kimoja tu;
Nani aliyeiteuwa Tanzania kuwa Taifa Teule?
 
Mi tamchagua Mtanzania mwenzangu awamu hii siwezi tena kutawaliwa n mgeni
 
Ngoja nikuulize swali dogo wee mpuuzi.

Huko ulowezin alienda kufatia nini?

Na kwa kujua kilichompeleka , ulitaka akae muda gani arudi?

Jibu hayo maswali ndio utagundua wewe ni kilaza tu kama walivo vilaza wengine.
 
Amekuja kutimiza matakwa ya mabwana (zake) wakubwa mabeberu, atakaposhindwa kwenye uchaguzi utamwona anatimuka tena kwenda ulaya kwa kisingizio cha kuhofia usalama wake.
 
Punguza kulewa ulanzi na common asubuhi

Mlowezi kivipi wakati alikuwa kwenye matibabu baada ya kumbutua risasi 16

Angekuwa mjomba au Baba yako ungesema haya
Lissu anawaumiza akili
 
Yoyote yule aliyepitishwa na tume ya uchaguzi anatufaa kuwa rais wa nchi hii, maamuzi ni ya wananchi nimtume nani kati ya hao, ukisema hawafai basi tume ndio hawafai kuwepo pale kwa kutuletea watu wabovu, vilevile aliyeiteua tume naye hafai kwanin inatuletea tume mbovu ambayo haiwezi kuona kuwa huyu mtu ni kibaraka wa mabeberu?
 
Tumekusikia ndugu mtekaji na muuaji
 

Mtakuwa mnahesabu hasara kubwa sana kwa kutofanikiwa kumwua Lissu.

Ndiyo maana chamia anahesabu kwa maumivu hata risasi ambazo bila shaka nazo mnazijutia kama hasara mliyopata.

Akheri ya mchawi kuliko nyinyi!

Kama haya ndiyo majibu mliyohamasishwa na bashiri, mkamwambie: kama tume ya uchaguzi hatendi haki, safari hii tumedhamiria.

Tutaelewana tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…