BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Wacha kuonyesha UJUHA wako hadharani wewe!!! Kwani hiyo miaka mitatu aliyokuwa nje ya Nchi unadhani yeye alipenda?
Umeliona hilo la yeye kutokuwa Nchini lakini hukutaka kuiona dhuluma kubwa aliyofanyiwa na aliyetaka KUMUUA, kisha akamnyima haki yake ya mamilioni ya pesa za matibabu na kisha kumpora Ubunge wake.
SHAME ON YOU!
Umeliona hilo la yeye kutokuwa Nchini lakini hukutaka kuiona dhuluma kubwa aliyofanyiwa na aliyetaka KUMUUA, kisha akamnyima haki yake ya mamilioni ya pesa za matibabu na kisha kumpora Ubunge wake.
SHAME ON YOU!
Mgombea urais kupitia CHADEMA nakumbuka hakuwepo hapa nchini toka 2017 baada ya kupigwa na wenzake wasiojulikana, amepona akabaki huko kama 2yrs hivi.
Mwaka huu uchaguzi umekaribia tunamwona anarudi tena, ubaya anatangaza nia ya kuongoza taifa hili teule la Tanzania.
Kumbuka ana miaka 2 au 3 ivi hayupo, yupo kwa mabeberu, je ameongea nini na mabeberu??
Kama ameweza kuishi nje ya nchi kwa 3yrs, Je tukimpa nchi sio rahisi kwake kutuacha kama alivyokuwa amefanya??
Je, hakuna mpango nyuma ya pazia juu ya ugombea wa mtu huyu?
Je, baada ya uchaguzi, Tanzania tutadumu katika amani yetu??
Nina wasiwasi mkubwa na woga juu ya beberu huyu mpya.
Lissu mi nakukubali sana kama mtanzania mwenzangu, but kwasasa sina imani na wewe, may be 2025 nione mwenendo wako kama hujaagizwa na mabeberu eg r.amsterdam
#Nina imani ujumbe huu utaupata, hata kama si kama ulivyo hivi lakini hata kwa namna yoyote ile, coz JF ni wider sana kwa watu makini.
Wasaalam
#magema jr