Uchaguzi 2020 Miaka 3 hayupo nchini, tuna imani gani na mlowezi huyu?

Uchaguzi 2020 Miaka 3 hayupo nchini, tuna imani gani na mlowezi huyu?

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
Mgombea urais kupitia CHADEMA nakumbuka hakuwepo hapa nchini toka 2017 baada ya kupigwa na wenzake wasiojulikana, amepona akabaki huko kama 2yrs hivi.

Mwaka huu uchaguzi umekaribia tunamwona anarudi tena, ubaya anatangaza nia ya kuongoza taifa hili teule la Tanzania.

Kumbuka ana miaka 2 au 3 ivi hayupo, yupo kwa mabeberu, je ameongea nini na mabeberu??

Kama ameweza kuishi nje ya nchi kwa 3yrs, Je tukimpa nchi sio rahisi kwake kutuacha kama alivyokuwa amefanya??

Je, hakuna mpango nyuma ya pazia juu ya ugombea wa mtu huyu?

Je, baada ya uchaguzi, Tanzania tutadumu katika amani yetu??

Nina wasiwasi mkubwa na woga juu ya beberu huyu mpya.

Lissu mi nakukubali sana kama mtanzania mwenzangu, but kwasasa sina imani na wewe, may be 2025 nione mwenendo wako kama hujaagizwa na mabeberu eg r.amsterdam

#Nina imani ujumbe huu utaupata, hata kama si kama ulivyo hivi lakini hata kwa namna yoyote ile, coz JF ni wider sana kwa watu makini.

Wasaalam

#magema jr
 
Ondosheni balozi zenu zote kutoka nchi za mabeberu
 
Kama kweli Mungu yupo na anaamua kwa haki hatakuacha bure wewe na wenye mawazo Kama haya namna mlivyomtenda Lissu na mnayommsema nayo kwasasa inahuzunisha Sana Yani mmetaka kumuua kaenda akiwa nusu maiti kutibiwa Leo mnasema mlowezi? Na Kama alishambuliwa na chadema wenzake ndani ya makazi ya viongozi basi hatuna jeshi Kuna siku atapinduliwa rais ikulu pale chamwino au magogoni kea uzembe huo mkubwa wa walinzi walioruhusu chadema kumshambuli Lissu kwenye makazi ya viongozi.
 
Unajua maana ya neno “mlowezi” kasome kwanza maana ya neno kabla ya kulitumia
Mlowezi kwa tafsiri nyepesi any one who move frome his or her country bcoz of various reason, finding 4 fittest or whatever, mfano mabeberu waliopo south africa ni miongon mwa walowez, naamini nimejitahidi; magema jr
 
mlowezi kwa tafsiri nyepesi=any one who move frome his or her country bcoz of various reason, finding 4 fittest or whatever,,mfano mabeberu waliopo south africa ni miongon mwa walowez,,naamini nimejitahidi;magema jr

Mkuu, hakuna neno la kiingereza linaitwa fittest, ila tukirudi kwenye mada yetu,mlowezi ni mtu aliyeenda nchi ya mbali na kwake kwa lengo la kuishi huko kwa sababu kama kutafuta hali nzuri ya maisha nk

Lissu hawezi kuitwa mlowezi kwa sababu hakuondoka Tz ila alipelekwa nje ili kuokoa uhai wake, Lissu hakupenda kwenda Ulaya ila ilimbidi tu kutokana na hali ya Afya, halafu mlowezi huenda huko mazima lakini Lissu karudu hivo basi mleta mada ameandika kwa kukurupuka au anamsukumo wa kisiasa maji taka
 
mkuu,hakuna neno la kiingereza linaitwa fittest,ila tukirudi kwenye mada yetu,mlowezi ni mtu aliyeenda nchi ya mbali na kwake kwa lengo la kuishi huko kwa sababu kama kutafuta hali nzuri ya maisha nk
Lissu hawezi kuitwa mlowezi kwa sababu hakuondoka Tz ila alipelekwa nje ili kuokoa uhai wake,Lissu hakupenda kwenda Ulaya ila ilimbidi tu kutokana na hali ya Afya,alafu mlowezi huenda huko mazima lakini Lissu karudu hivo basi mleta mada ameandika kwa kukurupuka au anamsukumo wa kisiasa maji taka
Kuhusu neno mlowezi umefanya kufafanua kwa lugha yetu but de same content, then kuhusu huyu mtanzania mwenzetu ndugu Lissu, utakuja unambie hapahapa, kuwa baada ya uchaguzi what will happen, tutaona wote mimi nakuambia kamanda
 
unajua maana ya neno “mlowezi” kasome kwanza maana ya neno kabla ya kulitumia
Mkuu,
Mijitu mingine ni kuiga tu nalo lionekane linachangia lakini bora ulete kondoo atachangie kuliko jitu kama hilo.
Linasema tutaaminije sijui linamjumuisha nani wakati Mtu hupiga take mwenyewe na kuitumbukiza ndani ya box mwenyewe.
 
Mkuu,
Mijitu mingine ni kuiga tu nalo lionekane linachangia lakini bora ulete kondoo atachangie kuliko jitu kama hilo.
Linasema tutaaminije sijui linamjumuisha nani wakati Mtu hupiga take mwenyewe na kuitumbukiza ndani ya box mwenyewe.

mleta mada ana shida kubwa sana mkuu,hana tofauti na wanaompenda jiwe kisa anaongea kisukuma
 
When you are the incumbent seeking re-election you don’t run on new promises, but run on your past record” Politics 121.

Meko has nothing to present so far.
 
...miaka 3 hayupo nchini but muda wote huo amekuwa mioyoni mwa Watanzania na ataendelea kubaki mioyoni mwa Watanzania!
 
Back
Top Bottom