Juuchini
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 1,644
- 2,300
😂😂😂😂😂😂Inabidi atumie Busta
1. Kusomba watu kwenye mafuso, malori, matipa, matela ya trekta na pawatila, mabasi n.k
2. Kutumia wanafunzi waliovaa nguo za nyumbani na waalimu
3. Kutumia wasanii wakubwa na watu maarufu, watoe shoo za bure.
Bitozo bila busta, atahutubia msafara wake, machawa, wakereketwa wa chama na wale mabibi waliopewa vitenge.
NB. Wataiba kura watashinda