hapana sio huyo mkuu, Maisha na muziki ameimba darassa na nimzima wa afya
Huyu ndio ameimba ule wimbo wa maisha na muziki wacha maneno leta muziki?
Huu uliimbwa na Darasa.
Huyu ndio ameimba ule wimbo wa maisha na muziki wacha maneno leta muziki?
Alitushika mno jamaa, alitupa maujanja mengi.Cpwaaaa, kipenzi cha wanafunzi enzi zile
Problem ulikua sekondari!!..we mchumba zuchu tu kumbe!?.. problem nimemaliza chuo kitambo,maisha yananionesha kwamba elimu si lolote,msoto wa maanaKwanza nilianza kumuelewa kwenye Nafasi nyingine akiwa na wenzie Parklane.
Pili Problems, ulikuwa na kichupa kikali sana enzi hizo niko sekondari full kuiga ya mule, lol
Tatu Action, sihitaji kusema zaidi...
Jamaa alikuwa mnyama, RIP!
Huyo Suma LeeMambo ya Amina nenda kamwambie aisha,Mwambie aisha aaaaaje......kama hataki usimbembeleza baaaasi mwambie asiiiiiiije....parklane walijua kutuliwaza
View attachment 2874344
Leo Januari 17, 2024 imetimia miaka 3 tangu kutokea kwa kifo cha Rapa Ilunga Khalifa maarufu kama CP aka Crazy Power a.k.a CPWAA au Mfalme wa Bongo Crunk aliyefariki Januari 17, 2021
Wakati wa uhai wake, CPWAA alifanya vizuri na ngoma nyingi zikiwemo 6 In The Morning, Problem, Pwaa na Action. Pia, alikuwa mmoja kati ya Wasanii waliounda kundi la Park Lane akiwa na Suma Lee ambaye kwasasa ameachana na Muziki
Unamkumbuka kwa ngoma gani mkali huyu wa Bongo Flava?
Soma TANZIA - Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili
Sio mbele tu ya muda, jamaa alikua anaimba mziki wa kijanja sana. Angekua USA ingekua story nyingineJamaa katika nyimbo zake alikuwa sana mbele ya muda kwa kipindi kile nilikawa najua labda jamaa wa nje nini.
Nikamwona nikamwita nikamweleze navyopenda.
R.I.P C pwair