Miaka 3 tangu kufariki kwa CPWAA, unamkumbuka kwa wimbo gani?

Miaka 3 tangu kufariki kwa CPWAA, unamkumbuka kwa wimbo gani?

Problem dude la maana,nna wanangu walikua wanadai kile kidada cheupe kwenye problem kilimtaka mwamba aagize na mafuta wakayatumie kudinyana..nilikua nakiangalia sana
Yule mdada video queen wa video ya cpwaa problem, Instagram anatumia jina gani? inamankusweke
 
Bongo crank ndo mziki gan?
Aina flani ya muziki ulitamba sana hususani mid 2000s hadi mwanzoni mwa 2010s. kamsikilize Tpain utauelewa

Ila bongo Cpwaa ndio alikuwa king wake, na kuna vipindi watu kama Quick Racka walikuja vizuri ila baada ya ule muziki kupotea
 
The luckiest dude yuko wapi huyu jamaa sikuhizi????
Niliona kipindi flani alikuwa Shujaaz ya Kenya na kwa Tz alikuwa Tai. Naona jamaa bado anafanya kazi za kibunifu kama consultant ila ukitaka kujichanganya nae online, yupo active sana Twitter "X"
 

Huyu ndio ameimba ule wimbo wa maisha na muziki wacha maneno leta muziki?
Ndio huyo huyo mkuu na kwenye kiitikio alimshirikisha bwana benard paulo..unaonekana una kapenda sana hako ka wimbo.
 
Back
Top Bottom