Weka pembeni kabisa stori za mwaka jana kuhusu jinsi majeshi ya M23 walivyowakimbiza wanajeshi wa Afrika Kusini, Tanzania, na hata wale mamluki wa kulipwa mpaka wakaachiwa njia salama (safe passage) kuelekea Rwanda. Kiukweli, hawa jamaa uwezo wao wa kijeshi unazidi kuongezeka kwa kasi sana.
Rwanda,
Uganda
Rwanda,
Uganda