Punguza dharau. Jeshi la SADC lilikuwa chini ya ulinzi kwa mwezi mzima mpaka walipokubali kuondoka Tena kupitia Rwanda. Kumbuka walikuwepo South Africa , Malawi, Tanzania, DRC na Burundi ila walimshindwa Rwanda. Walipanga kuivamia ila walichokipata hawatasahau. Endelea na dharau zakohizo picha za AI za nini?
alafu video za mkutano wa watotona raisi kwa nini hujaweka video za field?????????????????
hicho kijiji unakiita nchi alafu hiyo chekechea una waita watoto wao kuwa watakuwa na uimara afrika mashariki ni ugoro au ni nini?
Kwahiyo hizi picha ndio zinaonyesha ubora wa jeshi?Weka pembeni kabisa stori za mwaka jana kuhusu jinsi majeshi ya M23 walivyowakimbiza wanajeshi wa Afrika Kusini, Tanzania, na hata wale mamluki wa kulipwa mpaka wakaachiwa njia salama (safe passage) kuelekea Rwanda. Kiukweli, hawa jamaa uwezo wao wa kijeshi unazidi kuongezeka kwa kasi sana.
Rwanda,
View attachment 3697755
View attachment 3697782
Uganda
View attachment 3697777
View attachment 3697758
Kwa Sasa ndio wenye jeshi Bora ukanda wa maziwa Makuu.Weka pembeni kabisa stori za mwaka jana kuhusu jinsi majeshi ya M23 walivyowakimbiza wanajeshi wa Afrika Kusini, Tanzania, na hata wale mamluki wa kulipwa mpaka wakaachiwa njia salama (safe passage) kuelekea Rwanda. Kiukweli, hawa jamaa uwezo wao wa kijeshi unazidi kuongezeka kwa kasi sana.
Rwanda,
View attachment 3697755
View attachment 3697782
Uganda
View attachment 3697777
View attachment 3697758
Sahihi kabisaPunguza dharau. Jeshi la SADC lilikuwa chini ya ulinzi kwa mwezi mzima mpaka walipokubali kuondoka Tena kupitia Rwanda. Kumbuka walikuwepo South Africa , Malawi, Tanzania, DRC na Burundi ila walimshindwa Rwanda. Walipanga kuivamia ila walichokipata hawatasahau. Endelea na dharau zako
hicho kijiji?Punguza dharau. Jeshi la SADC lilikuwa chini ya ulinzi kwa mwezi mzima mpaka walipokubali kuondoka Tena kupitia Rwanda. Kumbuka walikuwepo South Africa , Malawi, Tanzania, DRC na Burundi ila walimshindwa Rwanda. Walipanga kuivamia ila walichokipata hawatasahau. Endelea na dharau zako
kwako labdaHao jamaa akili kubwa
et mkuuKwahiyo kwakua wamepiga picha hapo ndio litakuja kuwa jeshi hatari eti?
et mkuuKwahiyo hizi picha ndio zinaonyesha ubora wa jeshi?
labda jeshi la nyumbani kwenu na maziwa ya kijijini kwenuKwa Sasa ndio wenye jeshi Bora ukanda wa maziwa Makuu.
wapi??????????????????kumbe hujui kilichotokeaSahihi kabisa
Hilo jeshi la SADC lililazimishwa kuondoka Drc baada ya kushindwa na M23.
hamna jeshi hapo
kwani nini kilichojiri mkuu? Maana ninkama kweli tuliona wajeda wetu wakisachiwa? Au ilikua AI?wapi??????????????????kumbe hujui kilichotokea
Hicho ni KIJIJIkwani nini kilichojiri mkuu? Maana ninkama kweli tuliona wajeda wetu wakisachiwa? Au ilikua AI?
Tuelezee kilichotokeaga maana suala lankuwa kijiji sio ishu. Hata israel ni kijiji ila mabalaa yake ni ya dunia nzimaHicho ni KIJIJI