Pre GE2025 Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka.

Kwa mwaka 2021 kulisajiliwa Miradi 256 ya uwekezaji yenye mtaji wa Dola bilioni 3.79.

Kwa mwaka 2022 kulisajiliwa Miradi 293 ya uwekezaji yenye thamani ya Mtaji wa Dola bilioni 4.53.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwaka 2023 ikasajiliwa Miradi 526 ya uwekezaji yenye Mtaji wa Dola bilioni 5.72.

Kwa mwaka 2024 kulisajiliwa Miradi 901 ya uwekezaji yenye mtaji wa Dola bilioni 9.31 za Marekani ambapo zilizalishwa Jumla ya ajira 523,891.

Your browser is not able to display this video.

 
Huo uwekezaji wa hayo matrillioni umeenda sector gani ya uzalishaji.

Viwanda gani vipya unaweza taja, vina shughuli gani na vimeajiri watu wangapi,

Tuanzie hapo,

Uwezi jibu hayo maswali mepesi miaka 800.

Sio kila mtu humu taahira kama mlivyo kwenye mikutano yenu ya UVCCM.

Mkishaambizana ujinga huko kwenye vikao vyenu. huo ujinga wenu mkalale nao wenyewe,

NasubirI majibu ya maswali yangu ambayo nina uhakika huna.

Like Ally Happy, Jokate, Makonda, Mavunde, FA na takataka zingine ndio safu ya uongozi wa kesho ni kukubali tu ujali nchi yako.

My god jinsi hao watu walivyo na uwezo mdogo,

Ni kama huyu taahira hawezi justify ujinga aliopost hiyo ndio safu ya uongozi wa CCM ya kesho.

Gof forbid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…