Miaka 40 ya World Vision Tanzania - Hotuba ya Kaimu Mwenyekiti wa Bodi

Kwahiyo wewe unamfuatilia Huyo dada Makamu mwenyekiti? Tunajua kwa sababu alikuwa boss wako na alikufukuza kazi? Ndugu acha kufuatilia mambo ya mtu hadi unakuwa obsessive. Tuwekee video tuone! Watu waaamue; vinginevyo acha wivu.
 
Labda muda Ulikuwa hautoshi; usipende kum- judge mtu bila kupata taarifa. Kwani Yeye ni Mtendaji mkuu? Takwimu za nini ? Wewe inaonekana Una tatizo binafsi na huyo mama wa Kipare! Tangaza maslahi mapema tujue
 
Hv kwann hii hii kampuni inaongiza kuwa nawatu wanaotoa matangazo na ni fake sanaaa
 
Ukifanya kazi world vision jiandae kuwa maskini mtarajiwa.
 
Aisee!
 
Ndio maana hata Makamu Mwenyekiti wa Bodi Victoria alipata ujumbe wa Bodi ya World Vission kwa connection wakati kichwani hamna kitu ni upepo tu!!!
dada maarufu kwa robbing, hana lolote....ni mtu wa njama njama sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…