kada maarufu
Senior Member
- Jun 14, 2017
- 149
- 82
Na ndomana chama kinamuamin ,sababu ni kwamba anawalaza macho wapinzani, sio msemaji wenu inakuaje mnamlalamikia hajui majukumu yake? Kwamba ninyi mnajali zaid ubora wa viongozi wa ccm kuliko wenu,hatari hiiHuwezi kuamini Polepole huwa anajifanya kijana lakini sura yake imefanana na roho yake. Halafu huyo Polepole ni dogo mwenye tabia za kujipendekeza ile mbaya. Pia huyo dogo hawezi siasa za ushindani, hivo hii tabia ya mwenyekiti wake kuhakikisha vyama havifanyi siasa zake kama sheria inavyotaka anaiunga mkono ile mbaya. Mkulu amemuita kwani huyo dogo anaunga mkono kila jamaa anachosema tena katika hali ya kujipendekeza huku akijifanya mnyenyekevu.