Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

Pesa ndiyo Sabuni ya Roho..

Aliimba Mwanamuziki mmoja Marijani Rajabu (R.I.P)..
 
Ukipendwa wala hutajua kama amekuzidi umri wala nini mzee ameamua kutulia na Jacky na mpenda sana sana, kwa nini wasijiachie mitandaoni? Mengi kafika jamaa muacheni ale hata kama kwa kidole karidhika..Vijana wengi wanaoa wanashindwa kutunza wanachakaza mabinti wa watu halafu wanahangaika na michepuko, kumfurahisha mwanamke na kumtunza hakuhitaji hela kama ya Mengi hiyo kidogo itumie vyema na mpenzi wako au mkeo, mnashangaa kutakiana heri mitandaoni? Kalagabaho...mta wish kuwa kama Mengi wakati mamaliza vihela vichache na michepuko mtapata taabu sana.
 
Huyu dada ana upeo mdogo wa kufikiri sana ,nani mjinga wa kutojua hapo mengi hayupo 90% ,hayo mavazi kavalishwa tu wala hayapendi ,hayo maujumbe huyo dada anajiandikia mwenyewe ,mengi ni mkax hajui hizo,afu hata kama ni yawezekana dada anampenda kikweli ,Jamii haitakaa iamini so ayaishi maisha yake bila mapicha picha ,ashalamba dume mgao wake wa mali hauongezwi na kupendwa sana na mengi ,mgao upo kisheria tu na kwa watoto wawili kashatoboa ,akoleze heshima na mapenzibasi.

Mfano leo mimi nipendwe na Rihana ,ni wazi ntakubali nivune hela ila sitakaa nimpende kuliko hawa mademu wa bongo,ila kamwe sitakubali kuuza sura maana najua jamii inajua am digging gold.
 
Huyu dada angekua ameolewa na Mzee Akilimali,wala asingefahamika na wala asingejadiliwa
Hapo ndio ujue umaskini ni laana kabisa
Wakuu tuendeleeni tu kuzitafuta pesa[emoji1321]‍♂️
 
Wakati Mengi anasomesha watoto wake yeye anamuuliza bushoke "mbona wanitazama kisha waanza kulia"

Sasa hivi yeye analia huku anatazamwa
 
Back
Top Bottom