Miaka 5 ya Magufuli kukimbizana na Chadema na kuacha hoja yake kuu iliyokuwa ni UFISADI

Kina Pasco wamepewa pipi, wanashangilia eti upinzani utakufa 2020.
 
Ameacha jukumu la msingi alilochaguliwa nalo la kupambana na shida za watz badala yake akaivest kupambana na mbowe aliyemkuta na atamuacha.Hizo gharama alizotumia kupambana na upinzani kwa miaka 5 laiti kama angewekeza kutatua shida ya ajira angalau lingepungua.Awamu hii ndio yaongoza kwa upigaji wanapiga wachache parefu haswaa, uhujumu uchumi wanapewa wasio na chapa au wadokozi wadogo ndo wamejaa jela.Mapapa maadamu yanakuwa yamenawa macho yamewekwa tinted.
 
Kuna bashite,mnyeti,sabaya hawa wanachapa pia wanafanya kazi nzuri ya kumfurahisha mkuu wa malaika kwa kuwashughulikia wapinzani uhujumu uchumi utumbuzi wao wanausikia kwa jirani tu
 
 
Tulishasema mpenda ligi si kwamba anapambana na ufisadi bali utumia fimbo ya ufisadi kuwachapia wasio na chapa yaani wapinzani wake.Wengine tena wenye ushahidi wa wazi wamekutwa na ngozi sababu wanayo chapa miwani ya mbao ndio uvaliwa
 
Serikali hii ilijitoa kwenye mpango wa open governance, ukazima bunge, ukazima vyombo vya habari,ukafunga mikutano ya vyama vya siasa,ikanyamanzisha wakosoaji wote.Mnadhani juhudi zote za kuirudisha nchi yetu gizani lengo lake lilikuwa Nini? Yaliyoachwa yanaweza kuwauwa kabisa kwa pressure
 
Hivi ile mahakama imeishia wapi.mbwembwe nyingi za mafisadi.yaani kesi ya nyani aisimamie tumbili.nita shaangaa ccm kama wakimpa tena miaka mitano.
 
Nilipoona amejitoa kwenye open gvt,huku huku wasaidizi wa kupambana na ufisadi mfn CAG Assad,upinzani,media,vikishughulikiwa kama mbwa Koko nikajua hamna kitu hapo.Huwezi ukasema unapenda mwanga huku unapenda giza.Plus kuanzisha miradi mingi mipya na kuiacha ya zamani iliyokuwa haina 10%
 
Huwezipata bikira ccm
 
Nioneshe Mwanaccm hasiye Fisadi
Na mimi nitakuonesha Twiga mwenye shingo fupi kama mbuzi
 

Duh 🙄
 
Historia haionyeshi kama amewahi shinda chochote zaidi ya kubebwa
 
Hizo ripoti zimeeditiwa angalau zisiii umbue serikali, nakumpa credit CAG aliyepita Pfof. Asad sisi tuliobahatika kuona original version ni hatari tupu, kuna ufisadi wa kutisha
Magufuli alianza kwa kukwapua M4P ya Chadema wakati wa kampeni indicating kwamba kukwapua ni sehemu ya maisha yake
 
Huwezipata bikira ccm shamba ni lile lile.Wanyama ndo ubadilika akitoka nguruwe anaingi sokwe,nyani,tumbili,nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…