Miaka 5 ya Magufuli ukitaka kupiga hela chafu uwe mganga wa Kienyeji.

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
890
Reaction score
700
Eidha ukubali au ukatae hiyo ni juu yako na hakuna atakaekuladhimisha juu ya hilo, ila kimsingi maisha mtaani tangia utawala huu wa hawamu ya 5 uingie ni sawa na kukamua jiwe ukitegeme jiwe hilo litatoa maji.

Maisha ni magumu na ni magumu zaidi kwa wale wanaokaa jobless Conner (kijiweni), kwa sisi tunaojishughulisha maisha si rahisi je wewe uliyepo kijiweni?.

Biashara haziendi kabisa, manung'uniko juu ya kufa kwa biashara ni kila kona ya nchi hii, saloon zinafungwa maduka yanafungwa, meza za biashara ya dagaa zinafungwa mama lishe wanalalama, bodaboda wamevimba pua dereva tax ndio usiseme, na wale Dada zetu wa kubinua mido ya juu ukiwasalimia kipindi kile cha utawala wa hawamu ya 4 sasa hivi ukiwa na tsh.3500/= unajipigia hadi majogoo.

Lakini cha ajabu hali ni tofauti kabisa kwa hawa kaluma nzira(wanasayansi wa tz), hawa jamaa wanapiga hela chafu mbaya, na kama kuna watu wanaemuombea Magufuli atawale zaidi ya miaka iliyoainishwa kwenye Katiba basi ni pamoja na hawa waganga wa kienyeji.

Iko hivi, watu walio wengi hawataki kuamini eidha kwa makusudi au kwa kutokujua kuwa hali hii ngumu imesababishwa na huu utawala wa hawamu ya 5 na badala yake wanaamini kuwa biashara zao zimerogwa ndiomana zipo goigoi ama kufa kabisa na kwa mantiki hiyo, wengi wao hujikuta kimbilio lao ni kwa waganga wa kienyeji na hapo ndipo hawa jamaa kaluma nzila wanapotengeneza mkwanja wa maana daily.

Nimalizie kwa kusema, miaka 5 ya Magufuli ukitaka kupiga hela chafu uwe Manyaunyau.(mwanasayansi wa tz).
 
Umetisha TzComedy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Peleka kwenye vituko..hili sio jukwaa la masihara tunajadili ishu za msingi
 
Ndg unakunywa soda gani? Leo nimeandika kuwa waganga wa kienyeji na Manabii wajipange kutoa huduma. Kwani hali ni tete.
 
Back
Top Bottom