Miaka 50 imetimia Tangu Dunia Isimame kushuhudia Pambano Kubwa La Ngumi Kutokea

Naikumb7kq ei
Naikumbuka siku hiyo kama jana. Kweli dunia ilisimama.

Hata waliokuwa hawampendi Muhammad Ali baada ya mchezo huo wakampenda sana.

. George Foreman haisahau siku hiyo na anamheshimu Muhammad Ali sana kuanzia siku hiyo.
 
Daaaaaaah umenifurahusha saaana muhenga mwenzangu kwa style ya uandishi wako, zamani ngumi round 15, ngumi zinapigwa sio siku hzi bondia kukimbia kimbia muda wooote ila ndo anakuwa bingwa wa mabingwa
 
Naikumb7kq ei

Naikumbuka siku hiyo kama jana. Kweli dunia ilisimama.

Hata waliokuwa hawampendi Muhammad Ali baada ya mchezo huo wakampenda sana.

. George Foreman haisahau siku hiyo na anamheshimu Muhammad Ali sana kuanzia siku hiyo.
Yap tukio lake la kubadili dini mwaka 1964 lilichangia hali hii. Ali alibadili dini na kua sunni Islam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…