Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Kajirita. Unadhihirisha ujinga wako. Hujui kuwa Zanzibar ktk nchi za Africa Mashariki ndo wa kwanza kuwa na umeme majumbani na mabomba ya maji. Usafiri wa treni, fedha zake, kituo cha radio nk nk. Hivi nyie mbona mu watupu hivyo?
 
[h=3]Matthew 7:20[/h]King James Version (KJV)

Wherefore by their fruits ye shall know them.
 

Naomba urejee mada tafadhali....

Hivi huwa najiuliza,mbona kazi zilizofanywa na waingereza na wajerumani mpaka sasa bado zinaonekana kama vile mashule ,mahospitali,mahakama,barabara ,reli,vyuo vikuu,meli n.k.

Hivi hawa waarabu kazi yao ilikuwa ni nini hasa?Hivi ni kweli kuwa kazi yao kubwa ilikuwa ni kuuza watumwa tu,kubaka dada zetu na kuwaachia machotara wa kiarabu tu?

......Hivi hapa kuna neno msikiti,kanisa,padre,ustaadhi,maalim au neno lolote linalohusiana na imani ya mtu?Mbona mnakuwa wepesi kurukia kwenye imani muarabu akitajwa sehemu?Hivi hakuna waarabu wakristo?

Au ndio tuseme ujumbe umewaingia?Acheni longolongo jibuni hoja!Au kama mmeshindwa nambieni nianzishe thread yangu inayohusu hiyo mada!

Ahsanta sana!
 

Hahaha sasa naona unamchokoza kahtaan na Gavana. Kazi kwako.
 
Last edited by a moderator:
Kajirita. Unadhihirisha ujinga wako. Hujui kuwa Zanzibar ktk nchi za Africa Mashariki ndo wa kwanza kuwa na umeme majumbani na mabomba ya maji. Usafiri wa treni, fedha zake, kituo cha radio nk nk. Hivi nyie mbona mu watupu hivyo?

Asante mkuu kwa majibu murua!

Japo sijajua hizo treni na hayo yote yalipoteaje mpaka Zanzibar ikawa nyuma hivyo kimaendeleo!
 
Mkuu, usiniwekee mimi weka kwa ajili ya wana JF.
 
Zijana za madrasa zimechefushwa,

Sasa vijidagaa na pweza leo mtaliwa mnaona,

Papa zimechanua pezi, gusa uchanwe,

Cheza na Madrasa wewe....!

Teh teh teh... usichopoke Pasco uliyataka mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
tusiwe watumwa wa history jamani, let us make our own history
 
Wewe lazima unafikiri kwa kutumia MAlawi, TAnzania na KOrea
 
Pasco, nilikuonya kuhusu kuamsha mizimu, unaona sasa? Mizimu imepanda! Ghadhabu, chuki, hasira...yaani mioyo ya watu ishawekwa rehani kwa shetwani! Na bado. Pamoja na yote, historia kwa maana yake halisi haibadiliki na hata pale inapojaribu kupindishwa haitakubali.
 
Ngoja nitoke hapa naona jamvi limechafuka mijitusi mizito hakuna hoja tena! Jibu nililosubiri hapa sitapata tena, Mkuu Pasco kama una majibu hebu tujuze.
 
Zanzibar, ilikuwa na maendeleo makubwa saana, kwa jinsi weusi walivyokuwa wanateswa na kubaguliwa na waarabu??? Du kweli tuna safari ndefu kujikomboa katika mawazo na fikira zetu. Imerudi nyuma mtu mweusi kuwa na heshima kwenye nchi yake?
 
Mwenzio anajifu kwa ngono kafanya sana ngono mpaka kataja na majina aliofanya nao ngono, hivi mpaka sasa hivi kuna watu wanajisifu kwa ngono.

Teh teh teh
 
Hizi ndio dalili za laana!.
Hiyo number ya mke wangu ulionayo uiweke jamvini ili iweje?!. Tena hiyo ni ya mke yupi?, Aliyeko DC, aliyeko Toronto?, Aliyoko Zanzibar au huyu wa bara?!. Weka tuu number ya mke wangu yeyote iliyonayo kama unadhani itakupunguzia laana ya kusingizia al marhum!.
Pasco
 
Namtamani ndugu yangu Yericko Nyerere achangie kwenye mnakasha huu. Huyu mzee Mohamed sikuzote hupindisha ukweli huja na vipicha vyake vya kuokoteza vichochoroni.
 
Mkuu gombesugu, si nimekuuliza mke wangu yupi?, yule wa DC, wa Toronto, wa Zanzibar au huyu wa Dar?,
Ahasanta!
Pasco
 

Pasco.
Hao wake wote utapata wapi wewe si fundi saa unaangalia kwa jicho moja hayo mambo tuachie vidume tulioruhusiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…