Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Pasco, pambana nao mwenyewe Mohamed Said ajaleta mtu JF wala ana uwezo wowote wakutoa amri, kejeli zako na matusi yako kwetu unadhani sisi wajinga, kwanza huyo Mohamed Said umemvunjia heshima kumwambia ulipokuwa RTD umefanya sana ngono na dada zetu gerezani, hata kama umefanya hayo kulikuwa kuna haja gani kuyaleta humu au ndiyo uonekane mjanja, basi tulizana watu hatuwezi kuacha kukujibu.
 
Tunatofauti kubwa miongoni mwa jamii zetu, wengine wakiwa provoked kwa dada zao kuguswa, wengine wakifurahia mashemeji! Wengine wakiwa proveked kwa dada zao kutoa takrima kwa kuwakirimu watu walio sio, huku wengine wakifurahia divesification. Wakati sisi tukitaka sasa dada zetu wende, wenzetu wakitamani sana kuwazui ikibidi kuoana wao kwa wao!. Nilisoma pahala hata mtoto wa mkeo aliyezaa na mwanamume mwengine kwa wengine ni ruksa, mtu kumuoa mtoto wa mjomba au shangazi kwetu ni incest kwa wenzetu ruksa!. Hili la dada zenu yule wa kule Kiarabu kule Zanzibar, hata kufunuliwa hijab tuu kuona nyele sikubahatika!. Hao wa Gerezani ni wakati nikija pale kwa Jabali la Muziki, Marijani Rajab, na kwenye msiba nilikuwepo na ndipo nikafahamiana na kina Sheikh Komerean, kina Sheikh Nuridin, Sheik Jabir na wengine wa mitaa hiyo!, hao dada zenu sio katika hayo udhaniayo ni machukizo!.
Sasa tuufunge huu mjadala wa yasiofaa hapa twendeni kwenye hoja za msingi, vinginevyo tiifunge mnakasha nianze sehemu ya pili.
Pasco
 


Wewe huna lolote,,mweupe tuh kichwan.

Chukua zato time Mchovu wa maisha tuh na muongopea vijiwe,,,,
 


Ufuunge Mnakasha kivipi??

Uufunge mnakasha huku ukidhalilika na ukimbilie ufungue mwingine nani kakuambia ana muda mchafu wa kuendelea kukufuatilia wewe baada ya udhalili kama huu ulioupata kwenye uzi huu??

Yan wewe ni mtu wa kufungua uzi kisha iwe kila mwenye fikra zake awe anafanya kukufuata fuata??sisi tunakemea upotoshaji na kukupa shule,na sio kuja kukaa kitako na wewe,huna cha ku-offer kwetu,

YANI WEWE NI KANJANJA TUH,KAA UKLIJUA HILO
 
Anybody with a link to Zanzibar vision 2030 kindly post it here. Mega projects that will surely define the future are abound in the region Bagamoyo 20 million container port, Kigamboni bridge and city, Thika super highway, Konza city, standard gauge Mombasa Kigali railway, to name a few. Sadly nothing worth mentioning for Zanzibar. In my moments of silence i ask ceaselesly how did it come to this? Is it me?
Is it we?
Is it the leadership(or rather lack of leadership)?
Zanzibar at 50 nothing to write home about.
 
Sasa huu upuuzi uliyoandika hapa watu wakikujibu kama ulivyoandika unaomba msaada kwa Mohamed Said, ebu nikuulize swali Salim A Salim ni mswahili au muarabu?
 
Hapa unawatukana wenye kiswahili chao kwa maneno ya kiswahili wakikujibu unakimbilia kwa Mohamed Said.
 
Na wewe uondoe pale ulipo bold kama kweli umemaanisha ulichokiomba. Huo ndio uungwana.
Nikumbushe wapi?. Nitaondoa!. Mimi muungwana na nitajitahidi kuwa mstaarabu kama mwarabu!.
Pasco
 
Pasco, acha upumbavu wewe unamtukana Mohamed Said halafu unaomba msaada kwake, sasa wakati upo RTD ngono ulizokuwa unafanya hapo gerezani zimekusaidia nini? Kumbe mshamba sana wewe bado unajisifu kwa ngono eti walikuwa wanakuja wenyewe.
 
Nilianza napata ILMU lakini naona tumepotea kabisa, udini umetawala, matusi na kashfa, ngono na misifa imejitokeza..ushauri wangu kwa Pasco...omba mods waufunge na naomba tuzidi kuvumiliana na kuheshimiana na kusameheana tulikokwaruza...
 
Pasco, acha upumbavu wewe unamtukana Mohamed Said halafu unaomba msaada kwake, sasa wakati upo RTD ngono ulizokuwa unafanya hapo gerezani zimekusaidia nini? Kumbe mshamba sana wewe bado unajisifu kwa ngono eti walikuwa wanakuja wenyewe.


Then,

Anaambiwa alichokise anakimbiliakurusha ngumi hewan,

Pumba.vu sana hili jamaa
 
Weka ushahidi basi haya uliyoandika.
 
Pasco kwa hiyo unataka wana JF wajue kuwa ulifanya sana zinaa Mitaa ya Gerezani na Zanzibar ulipokuwa RTD hongera sana bingwa wa ngono.
 
mimi sijaja hapa kwa ajili ya kumsafisha mtu yeyote bali nimekuja kupata elimu na ufumbuzi zaidi
 
Pasco mpaka sasa hujanijibu !
Nimesubiri weeee mpaka nimechoka.

Iweje IMANI yako ihalalishe kunajisi watoto wa kike wadogo?

Halafu wewe jumapili unavaa tai na suti kwenda kumuabudu yule aliyeamrisha uchafu huu!

Au tuseme hilo andiko limechakachuliwa??

Manake kama hilo andiko ni la kweli!
Sasa yule mwenye wale watoto atajiskia vipi??

Au tutoe mfano kwako wewe!
Ungejiskia vipi kama mmoja wa wale watoto wa kike ambao YEHOVA (au kwa imani yako, mungu yesu) aliruhusu wafanywe watakavyo na wale wayahudi!
Kweli ungeenda kanisani na kumuimbia zile rusha roho zenu?

Nasubiri jibu lako!
 
Last edited by a moderator:
Nilianza napata ILMU lakini naona tumepotea kabisa, udini umetawala, matusi na kashfa, ngono na misifa imejitokeza..ushauri wangu kwa Pasco...omba mods waufunge na naomba tuzidi kuvumiliana na kuheshimiana na kusameheana tulikokwaruza...

Ben Mugashe
Naonba uondoshe maneno yako ya kumwambia Pasco awaombe mods kufunga huu Uzi,
Badali yake mwaleze yeye ndo aondoshe maneno yake ya kifidhuli na kibaradhuli ili huu uzi tulokuwa tukiufuatilia tupatejua ukweli wake.

Kwa kumtaka ati mods waufunge si kutibia tatizo, kwani aezafungua tena huo mwengine auitao wa pili na akafanya ujuha kama huu huu ama wewe mwenzetu uishaijua dhamiri yake?

Pasco
Waeza azima ustaarabu japo kwa mjda ili tuzidie kuchimbuliwa LULU zilizo fichwa kwa yakriiban miaka 50 hadi sasa au bado lengo lako hujalipata?
 
Pasco, ungekuja kwa lugha ya kiungwana kwenye huu uzi wako wa Mapinduzi wala kulikuwa hakuna tatizo, sasa wewe umekuja na matusi na kejeli watu wanakuonya bado unaleta ujeuri basi vumilia kwa yote.
 

Wabara mkuu! Nia ya Pasco ilikuwa njema kama ukisoma bandiko mwanzoni ila taabu ilikuja pale waty walipoacha kumjibu Pasco wakamshambulia ati katoa historia ya uongo..majibu ya maswali yake hayajapatikana na moja ni KITI cha Zanzibar UN..kwavile woote wameingia kwenye mtego wa matusi kuanzia Pasco na akina maalim, busara itumike kufunga au kuufuta kabisa mjadala..
AHSANTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…