THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Mzee wa night shift majiti yametosha naona wamshindilia jamaa mpaka anashindwa aanze kuchomoa jiti lipi kwanza
Hatari sana..!!!
Ngoma haichezek moja kwa moja kwa jamaa,analia na kusaga meno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa night shift majiti yametosha naona wamshindilia jamaa mpaka anashindwa aanze kuchomoa jiti lipi kwanza
Tunatofauti kubwa miongoni mwa jamii zetu, wengine wakiwa provoked kwa dada zao kuguswa, wengine wakifurahia mashemeji! Wengine wakiwa proveked kwa dada zao kutoa takrima kwa kuwakirimu watu walio sio, huku wengine wakifurahia divesification. Wakati sisi tukitaka sasa dada zetu wende, wenzetu wakitamani sana kuwazui ikibidi kuoana wao kwa wao!. Nilisoma pahala hata mtoto wa mkeo aliyezaa na mwanamume mwengine kwa wengine ni ruksa, mtu kumuoa mtoto wa mjomba au shangazi kwetu ni incest kwa wenzetu ruksa!. Hili la dada zenu yule wa kule Kiarabu kule Zanzibar, hata kufunuliwa hijab tuu kuona nyele sikubahatika!. Hao wa Gerezani ni wakati nikija pale kwa Jabali la Muziki, Marijani Rajab, na kwenye msiba nilikuwepo na ndipo nikafahamiana na kina Sheikh Komerean, kina Sheikh Nuridin, Sheik Jabir na wengine wa mitaa hiyo!, hao dada zenu sio katika hayo udhaniayo ni machukizo!.Ukiufunga ukifunguwa mwingine, sisi tupo hapa. Labda uje kwa staha na si kutufanyia mzaha na kejeli za kireja-reja. Hii lugha wewe pengine ni ya pili kwako, ya nyumbani ni nyingine, wengine tumezaliwa na Kiswahili, Unafikiri unapotukejeli kireja reja hatuoni? au bado tu haija ku click ni watu wa aina ipi unaoongea nao humu? Tukianza na sisi kuweka list ya dada na mama zako utapaona pachungu hapa, tena kwa picha.
Ndio maana ukaambiwa wewe intellect yako ni nil. Hata neno "ustaarabu" basi halikustuwi mishipa yako ya fahamu ukatanabahi limetokana na nini mpaka ufafanuliwe na wazee wako? amma kweli, huyu ndie mwandishi wa Kitanzania.
Na ulipowataja mabinti wa gerezani ulipokuwa RTD nayo ilikuwa si kuvunjia watu heshima kireja-reja huko?
Na uliposifia watu kubakwa na kuwa ni moja ya "utukufu" uuonao wewe, yote hiyo ulikuwa hujui kuwa umeanza ku provoke watu kwa makusudi kabisa?
.
Mkuu The Big Show!, nikweli nilikuja Mtwara!, ila sikuja na Msafara wa Waziri Mkuu!, Nilikuja kivyangu na PM alikuja na msafara wake wakanikuta Mtwara, na walipomaliza shughuli yao, waliniacha Mtwara nikiendelea na yangu.
Kumbe ulishangaa kuniona mchovu?, mwanzo ulinidhaniaje kabla hujaniona?, hivyo ulivyoniona ndivyo nilivyo, mimi Pasco wa jf ni mtu mchovu sana!.
La mwandishi wa kujitegemea, sio najiita, ni kweli mimi ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, sijaajiriwa na yoyote, siwajibiki kwa yoyote, siandikii chombo chochote maalum, wala simtegemei yoyote!. Wengi wa waandishi wa kujitegema yaani freelance journalist, wanaandikia chombo maalum ambacho huwalipa kila wapoandika!, mimi ni wa kujitegea kwa kujitolea, yaani silipwi na media yoyote, nikiandika natoa story bure, bila kihitaji malipo yoyote!.
Hili la kujigamba eti sichukui bahasha!, ila kutokana na uchovu ulioniona nao, basi unaamini nitakuwa nachukua bahasha!. Ukweli sio kujigamba kuwa sichukui bahasha!, la hasha!. Bahasha nimeishazichukua sana wakati ule nikifanya newsroom. Kwa sasa hizo bahasha!, mimi ndio msambaza!. Kama nimekuambia siandikii media yoyote rasmi, nichukue bahasha ya mtu ili iweje?..
Hili la waandishi na bahasha, nimelihalalisha siku nyingi, hadi kuna watu humu wamenipachika jina la "mzee wa vijibahasha!", na nimeliandikia rasmi hapa unaweza kunisoma Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa .
Pasco
Tunatofauti kubwa miongoni mwa jamii zetu, wengine wakiwa provoked kwa dada zao kuguswa, wengine wakifurahia mashemeji! Wengine wakiwa proveked kwa dada zao kutoa takrima kwa kuwakirimu watu walio sio, huku wengine wakifurahia divesification. Wakati sisi tukitaka sasa dada zetu wende, wenzetu wakitamani sana kuwazui ikibidi kuoana wao kwa wao!. Nilisoma pahala hata mtoto wa mkeo aliyezaa na mwanamume mwengine kwa wengine ni ruksa, mtu kumuoa mtoto wa mjomba au shangazi kwetu ni incest kwa wenzetu ruksa!. Hili la dada zenu yule wa kule Kiarabu kule Zanzibar, hata kufunuliwa hijab tuu kuona nyele sikubahatika!. Hao wa Gerezani ni wakati nikija pale kwa Jabali la Muziki, Marijani Rajab, na kwenye msiba nilikuwepo na ndipo nikafahamiana na kina Sheikh Komerean, kina Sheikh Nuridin, Sheik Jabir na wengine wa mitaa hiyo!, hao dada zenu sio katika hayo udhaniayo ni machukizo!.
Sasa tuufunge huu mjadala wa yasiofaa hapa twendeni kwenye hoja za msingi, vinginevyo tiifunge mnakasha nianze sehemu ya pili.
Pasco
Sasa huu upuuzi uliyoandika hapa watu wakikujibu kama ulivyoandika unaomba msaada kwa Mohamed Said, ebu nikuulize swali Salim A Salim ni mswahili au muarabu?Mkuu Ritz, unamjua Shamte au unamsikia tuu?!.
Jee unajuwa kuwa Shamte alikuwa ASP!, unazijua sababu zilizomfanya kujiengua ASP na kuunda ZPPP?!.
Baada ya ASP kushinda uchaguzi wa mwanzo, Shante aliutamani Uwaziri Mkuu, kwa vile Karume ndio alikuwa Kinara wa ASP, Mohamed Shante akijiengua kutoka ASP na kuunda chama cha ZPPP ili kujiunga na wabaya wa ASP kuunda serikali ya mseto
Katika uchaguzi wa Julai 1961, ASP kilipata asilimia 49.9 ya kura zote, ZNP kilipata asilimia 35 na ZPPP asilimia 13.7. Hata hivyo, pamoja na ushindi wa kura ASP, kilishindwa kutamba katika viti vya bunge (LEGCO) kilipopata viti 10, ZNP 10 na ZPPP vitatu.
Uchaguzi huo ambao haukupata mshindi na ilibidi urudiwe Julai, 1963, matokeo ni muungano wa ZNP/ZPPP viti 18 na ASP viti 13. Shamte alishauriwa aunde Serikali ya mseto kati ya ZNP/ZPPP na ASP ili kulinda umoja wa kitaifa, lakini aligoma kata kata kwa kiburi na jeuri ya kuogopa ASP isije kumoutshine!. Kitendo cha Shamte aliyekuwa ASP na kujitoa kwa tamaa ya uiongozi, kisha kukataa kata kata kushirikiana na ASP ambao ndio Waswahili wenzake na badala yake kujiunga na ZNP ambacho ni cha Waarabu, hapa ndipo ukibaraka wake ulipolalia!.
Pasco.
Hapa unawatukana wenye kiswahili chao kwa maneno ya kiswahili wakikujibu unakimbilia kwa Mohamed Said.Zanzibar nimekuwa nakuja tangu mtoto nikisoma primary tukiwa na marafiki wa kizenji shuleni kwetu tukisoma nao bara, wakati wa likizo tukija kwao Zenzi wana hoteli kubwa enzi hizo!.
Nipongia uandishi tukaja ziara rasmi Zenzi tukapokelewa kwa kelele za kuitwa machogo!, tango hapo nimefanya zaidi ya sarri 100 Zanzibar!, nimeishalala Mwembe Madema!, nimeishaondolewa Zenj under escort na kupigwa marufuku nisikanyage tena!. Baadaye ban ikaondolewa!. Enzi za ujana pia nilishiriki sana na ndugu zetu sisi si ni dugu moja!.
Wiki ijayo nakuja kukaa siku 10 Zanzibar kushherekea Mapinduzi Matukufu na mimi ni wale Chapa Ng'ombe wa Kanda ya Ziwa, ugonjwa wetu unajulikana!. Wengi wa wabara sasa wakija Zenji ni kuja kuponda maraha, huu uzi unakoelekea siko, nikona vipi, nitaumalizia baada ya kutoka huko, sije endelea sana nikajikuta vile vichupa vya tindikali ndivyo vinanisubiri!. Hapo Zenj mpaka nina nyumba ya kufikia, anytime, nikiamua kulala hoteli ni kwa raha zangu tuu!. Zanzibar kwangu, Waarabu wangu, Wahadimu wangu, Watumbatu pia wangu!, na nyinyi bara yenu!.
Tunajenga nyumba moja Tanzania, kwa nini mnataka tugombee fito?. Kiukweli tukiona vipi, tunaamua tuu Nchi Moja, Serikali Moja!.
Pasco.
Nikumbushe wapi?. Nitaondoa!. Mimi muungwana na nitajitahidi kuwa mstaarabu kama mwarabu!.Na wewe uondoe pale ulipo bold kama kweli umemaanisha ulichokiomba. Huo ndio uungwana.
Pasco, acha upumbavu wewe unamtukana Mohamed Said halafu unaomba msaada kwake, sasa wakati upo RTD ngono ulizokuwa unafanya hapo gerezani zimekusaidia nini? Kumbe mshamba sana wewe bado unajisifu kwa ngono eti walikuwa wanakuja wenyewe.La ushemeji, si nimesema ninge!, au hasira na kumbadili dini mtu?!. Mbona wabara wengi wamesilimishwa kwa ajili hiyo!. Bara Zanzibar dugu moja!. Hata mitaa yako hapo Gerezani, tumepita sana tuu, wakati huo nikiwa RTD, walikuwa wanakuja wenyewe!. Ujana nao una ushetani wake, basi tuu saa hizi ungekuta labda niliishasilimishwa zamani nikiitwa Mkwe!. Basi tuu!.
Pasco.
Pasco, acha upumbavu wewe unamtukana Mohamed Said halafu unaomba msaada kwake, sasa wakati upo RTD ngono ulizokuwa unafanya hapo gerezani zimekusaidia nini? Kumbe mshamba sana wewe bado unajisifu kwa ngono eti walikuwa wanakuja wenyewe.
Weka ushahidi basi haya uliyoandika.Kuna watu wanadhani Mwarabu alipokuja Zanzibar, kuna wenyeji aliwakuta!, la hasha!. Hao wamatumbi mnao waona leo, na masalia ya watumwa walikosa soko!. Waarabu walikuwa ndio mabwana na Matumbi ni watwana, Mapinduzi yamewafanya watwana kugeuka ndio mabwana na waliokuwa mabwana wakawa watwana!. Leo hata wingi wa machotara na Mapinduzi kuwezesha mtwana kujitwalia binti wa Kiarabu na kumfanya mke!. Wabwana wa Mkongwe walichinjwa kwa jambia, leo Alhamdidulahi, watwana nao wanaishi ghorofani!, zamani wali wakiishi Kibanda Maiti, Mchambawima, Mchafukoge etc. Huu sii utukufu wa mapinduzi?!.
Pamoja na harakati zote, muungano utadumu, Mapinduzi Daima!.
Pasco
mimi sijaja hapa kwa ajili ya kumsafisha mtu yeyote bali nimekuja kupata elimu na ufumbuzi zaidiKama umekuja as a reinforcement kumsaidia Pasco basi msaidie kutuza heshima ya kazi yake halafu umnasihi afanye uchambuzi yakinifu kabla hajaleta hoja zake.
Pasco kama haja yake ni kuitoa na kisafishia doa Tanganyika katika kile anachokiita scape goat yaani role ya Tanganyika katika mapinduzi na yaMuungano katika kuyalinda na kutetea mapinduzi anayoyaita matukufu basi anayo kazi kubwa kwanza ya kujifunza kuhusu Zanzibar.
Ikiwa Mwalimu alitamani kuikokota Zanzibar to the middle of the Indian Ocean mwaka mmoja tu baada ya Muungano basi Pasco ajitayarishe na kuelemewa na hisyoria halisi ya Zanzibar asiyoijuwa.
Nilianza napata ILMU lakini naona tumepotea kabisa, udini umetawala, matusi na kashfa, ngono na misifa imejitokeza..ushauri wangu kwa Pasco...omba mods waufunge na naomba tuzidi kuvumiliana na kuheshimiana na kusameheana tulikokwaruza...
Ben Mugashe
Naonba uondoshe maneno yako ya kumwambia Pasco awaombe mods kufunga huu Uzi,
Badali yake mwaleze yeye ndo aondoshe maneno yake ya kifidhuli na kibaradhuli ili huu uzi tulokuwa tukiufuatilia tupatejua ukweli wake.
Kwa kumtaka ati mods waufunge si kutibia tatizo, kwani aezafungua tena huo mwengine auitao wa pili na akafanya ujuha kama huu huu ama wewe mwenzetu uishaijua dhamiri yake?
Pasco
Waeza azima ustaarabu japo kwa mjda ili tuzidie kuchimbuliwa LULU zilizo fichwa kwa yakriiban miaka 50 hadi sasa au bado lengo lako hujalipata?