Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Umemaliza? hunipeleki huko. Swali langu hujajibu. Jee, mara yako ya kwanza kwenda Zanzibar ilikuwa lini na kwa sababu zipi?
Mkuu Zomba huyu kitimoto wa kisukuma hawezi kujibu hili swali nimesoma uharo wake humu jf sioni la maana mimi naona anajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe hana jipya lakini sio makosa yake akili yake iko masikioni kama kasuku kila analolisikia analisema.
 
Naona hata hotuba za jana hukuzisikiliza umekurupuka tu.

Hivi nyie wachaga mmeacha kudai nchi yenu? mlikuwa wa kwanza kwenda UN kudai mashamba kutoka kwa ma settlers. Umesahau?
Tanzania ni nchi yangu,wewe ulitaka wazungu peke yake wafukuzwe halafu mababu zenu waachwe?Wangewapenda sana wangefungasha virago na nyie,unless mlizaliwa baada ya kuondoka kwao?poleni sana.
 
Hivi wewe Mchaga umeshaanza kuzungumza Kiswahili siku hizi!? Teeh! Teeh! Teeh!

Wewe wafahamu maana ya neno Tukufu/Utukufu!? Dah!

Ahsanta.
Mkuu unashangaa, wachaga siku hizi wamekuwa wachawi na ndio wamekuwa waalimu siku hizi hata wanawake sio magogo tena teh teh teh!
 
Hivi wewe Mchaga umeshaanza kuzungumza Kiswahili siku hizi!? Teeh! Teeh! Teeh!

Wewe wafahamu maana ya neno Tukufu/Utukufu!? Dah!

Ahsanta.
Mkuu wewe ndo uliyesahau ile siku ukawa unatumia id ya "THE BIG SHOW",halafu unamlaumu Pasco kuwa ana id mbili,nyani haoni kundule!

BTW Kiswahili lugha ya kitumwa,basi tu,tunaganga yajayo!!
 
Tanzania ni nchi yangu,wewe ulitaka wazungu peke yake wafukuzwe halafu mababu zenu waachwe?Wangewapenda sana wangefungasha virago na nyie,unless mlizaliwa baada ya kuondoka kwao?poleni sana.

Naona hata hotuba za jana hukuzisikiliza umekurupuka tu.

Hivi nyie wachaga mmeacha kudai nchi yenu? mlikuwa wa kwanza kwenda UN kudai mashamba kutoka kwa ma settlers. Umesahau?
 
Naona hata hotuba za jana hukuzisikiliza umekurupuka tu.

Hivi nyie wachaga mmeacha kudai nchi yenu? mlikuwa wa kwanza kwenda UN kudai mashamba kutoka kwa ma settlers. Umesahau?
Hii ni duplicate,unatype kama robot bila kujuwa umerudia?
 
Kwa hiyo lugha ulotumia hapo juu na hizo tashtit...basi weye lazim utakua ni mtoto wa wale muitao ndo Wahaya huko Tanga-nyikwa...au na wewe pia ndo Msu-K.U.M.A kama huyo Pasikali aka Pasco!? Teeh! Teeh! Teeh!

Hizo kashfa na matusi yako hapa hayatasaidia kitu...nyinyi mnajaribu kuja kumuokoa mgalatia mwenzenu alochemsha kwa kutumia matusi na tashtit bila ya hoja!?

Sasa ati "Waarabu-koko" ndo nini!?...mbona pale Ngara,Biharamulo na Kamachumu wamejazana watoto wa kigoa na Makalasinga...sasa ndo nini kile!?

Tafadhali usintafute nikujibu wewe mchovu wa maisha ,ikanilazim kutukana na wangine ninaowastahi japo kiduchu!

Weye na Wenzio nyoote hamna mjualo!...kwalo itakua sisi ni kupoteza wakti wetu ati kulumbana nanyi kuhusu history ya Zanzibar au dasturi za Wazanzibary kiundani!

Sasa kabla sijakwacha ili ukaendelee na yale makhanatha yenu ya Chadema...nakuliza suali kiduchu!

Tutajie watu wowote japo kumi tu kwa ushahidi thabit...uliowahi kusikia ati waliuwawa au hata kuwekwa ndani/kizuizini bila ya kufunguliwa mashtaka au bila ya hatia na Sultan wa Zanzibar kabla ya hayo Mapinduzi yenu ya kidhalimu/mauaji...atleast from 1961 to 1964!?

Nitajie mtu yeyote/family ndani ya ile Unguja ambayo iliwahi kudhulumiwa/kunyang'anywa mali zake/zao...japo hata mkoba wa mbata!? Teeh! Teeh! Teeh!

Nitajie Mawaziri/Viongozi wowote wa Serikali ya Sultan ambao/ambaye waliuwawa bila ya hatia na Serikali ya Sultan kabla ya hayo muitayo nyinyi ati ndo "mapinduzi matukufu"!? kudadeki zenu Watanga-Nyikwa!! Teeh! Teeh! Teeh!

Nyinyi munadai yakuwa Sultan alikua ati ndo "Mgeni" na yule Karume Mnyasa ndo "Mwenyeji" sio!? Teeh! Teeh! Teeh!

Sasa yawaje huyo nyinyi mujaribu ati kumuita ndo "mgeni" au "Muarabu" ana generations takriban nne pale Unguja na kwa ushahidi wa walipozikiwa Wazazi Wake wa awali...na huyo Mnyasa alokuja pale mtoto wa mgongoni ndo kweli ati awe yeye ndo "kwao" pale!?

Kwa kifupi,nisingalipenda kunena mangi kupitia kwako usojua lolote/chochote...itakua tu ni kutowatendea haki ndugu na jamaa zetu wasio na farka nasi wala tafran!

Hayo yoote msemayo wewe na wenzako hapa jukwaani ni racism ya hali ya juu mno! Dah!

Lakini sistaajabu...nakhis hata exposure yenu kwayo ni kiduchu mno!

Wewe si tu mlemavu wa fikra utumiaye zile Colonial connotations lakini pia hujui usemacho maskini! Dah! Teeh! Teeh! Teeh!

Salaam zao!

Ahsanta.
 
Mkuu wewe ndo uliyesahau ile siku ukawa unatumia id ya "THE BIG SHOW",halafu unamlaumu Pasco kuwa ana id mbili,nyani haoni kundule!

BTW Kiswahili lugha ya kitumwa,basi tu,tunaganga yajayo!!

Ahahaaa!! Ya must be a silly comedian!

Hili jamvi wala huliwezi asilan...nenda kule kwenye ile misukule wenzio wa Chadema...tafadhali nakusihi!?

Ahsanta.
 
By herbertcharles

hapana mkuu,mapinduzi mengine ni haramu haya ni matukufu

Wewe huna hadhi wala taadhima ya kubainisha baina ya Halali na Haramu...sababu wewe ni baina ya Najsi! Teeh! Teeh! Teeh!

mimi sikushangai mauaji,chinjachinja unaita utukufu,huyu mungu wetu anayehalalisha mauaji ya watu wasio na hatia kisa rangi yao.duuuuukweli una uhalali wa kuyaita matukufu mimi sina na wala kamwe sitayaita mapinduzi ya umwagaji damu matukufu,asilani
 
Maulana Al Habiby Zomba,

Wa Marhaba Al Akhiy!

Shukran kwa bayana zako zilo adilifu na losheheni mangi yenye mafundo...lakini kwa wale/sisi tu wenye kujua!

Nimekufahamu kwa utuvu ulo mwingi yoote losema.

Japo hapa si pahala pake,lakini nami takujuza japo kiduchu humu humu kwenye bayana yangu hii;

Nothing clearer than the tragic fact that Chadema,like most of the so called opposition parties/Criminals and opportunists in Afrikan Politics...has only the illusion of being in power,undemocratic,corrupt coupled with toxic tribal and religious ideologies/Islamophobia!

Chadema is still as hypocracy and nepotism enshackled as it ever was,in some respect more so!

Basically,Chadema is sickening and highly outrages!

And the worst is they are not willing in anyway to understand anything!? Dah!

Ahsanta.

CC;jMushi1
 
Ahahaaa!! Ya must be a silly comedian!

Hili jamvi wala huliwezi asilan...nenda kule kwenye ile misukule wenzio wa Chadema...tafadhali nakusihi!?

Ahsanta.
Duh!Wapi huko kwenye misukule?Yani wewe unanifukuza hapa?Acha vituko.
 
mimi sikushangai mauaji,chinjachinja unaita utukufu,huyu mungu wetu anayehalalisha mauaji ya watu wasio na hatia kisa rangi yao.duuuuukweli una uhalali wa kuyaita matukufu mimi sina na wala kamwe sitayaita mapinduzi ya umwagaji damu matukufu,asilani

Nafikiri nilishakuaga kitambo...sie kila mja mie humpa fursa ya makhanatha,Ok!?

Huo utoto wa kukatakata bayana zangu/yangu bila ya majawaba yenye kujitosheleza haitakusaidia kitu,abadan!

Huu mnakasha huumudu na wala huuwezi asilan,nakuhakikishia...na wala sikufanzii dharau!!

Mara kwa nyangine tena...Salaam zao!

Ahsanta sana.
 
Sina ubavu wa kusema tofauti kwasababu ndilo linaamuwa mwelekeo wa Taifa.Ndani yake hata wasiuamini muungano wako.Na kauli ya "bunge tukufu" hutumika!

Bora umeamua kuwa mkweli kama ni mtu wa NDIYO,

Sasa kejeli ziache dhidi ya wale wateteao haki zao zilizopokwa kwa muda wote huo,

Kosa lao ni lipi hadi muwakejeli kwa kila walisimamialo?
 
Ahahaaa!! Ya must be a silly comedian!

Hili jamvi wala huliwezi asilan...nenda kule kwenye ile misukule wenzio wa Chadema...tafadhali nakusihi!?

Ahsanta.

Teh teh teh Dah! yaani leo nimecheka mpaka watu wamenishangaa eti ulikuwa unatumia ID ya "The Big Show" makubwa anyway huyu jamaa inaonekana anamsongo wa mawazo.
 
Bora umeamua kuwa mkweli kama ni mtu wa NDIYO,

Sasa kejeli ziache dhidi ya wale wateteao haki zao zilizopokwa kwa muda wote huo,

Kosa lao ni lipi hadi muwakejeli kwa kila walisimamialo?
Sijamkejeli mtu,ukitaka bunge lisiwe tukufu,fanya kwa vitendo!Bungeni si mko?CUF nk?Na viapo si mmekula kulinda katiba?,na bado hamtaki muungano!

Actions speaks louder than words!
 
Sijamkejeli mtu,ukitaka bunge lisiwe tukufu,fanya kwa vitendo!Bungeni si mko?CUF nk?Na viapo si mmekula kulinda katiba?,na bado hamtaki muungano!

Actions speaks louder than words!

Sasa acha umbwela umbwela jibu masuali haya ili twende kwa uzuri na wana jamvi faida waipate,

1: Wewe ni Mtanzania?
2: Nchi hii ina dini au haina?
 
Sasa acha umbwela umbwela jibu masuali haya ili twende kwa uzuri na wana jamvi faida waipate,

1: Wewe ni Mtanzania?
2: Nchi hii ina dini au haina?
Wananchi wana dini.Una maana gani nchi kuwa na dini?Yes mimi ni mtanzania.
 
Duh! Kweli hii shughuli pevu na imekuzidi kimo!? Teeh! Teeh! Teeh!

Yaani leo imefikia Pasikali aka Pasco wa JF anakimbia/anaogopa kuchangia...yaani unajifungia na kuvizia usiku wa manane ndo unaingia jamvini tena kwa kunyemelea!? Teeh! Teeh! Teeh!

Kwa kifupi,pole mno kwa hao ulofikiri ati inzi...hasha!,hao mbona ni nyuki,na unao hao yaani hawakwachi asilan!? Teeh! Teeh! Teeh!

Lakini hata kama labda ni inzi kama ufkiriavyo...basi sidhani kama watakwacha asilan kwa huu uharo umwagao hapa jamvini! Si wajua inzi kwa uharo Al Sahib!? Teeh! Teeh! Teeh!

Kwa kifupi,punguza/acha kumwaga uharo hapa jamvini kijana Pasikali aka Pasco,Ok!?

Ahsanta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…