Mkuu,
Unachopaswa kujua ni kwamba wengi wanaoandika hapa kuwatetea waarabu ni walewale uliowaita waarabu koko!Walewale ambao hawataki mapinduzi hayo yaitwe matukufu kwa kuwa mamia ya waarabu waliuawa na wengine kuikimbia Zanzibar!
Yawezekana kabisa Wazanzibar wazalendo hawana hata access na JF,au wanaamini kuwa hawa ndio wasemaji wao wa mambo ya Zanzibar wakati hata hiyo historia wanaipotosha!
Mapinduzi haya yalikuwa ni matukufu kwa kuwa yaliondoa nguvu kutoka kwa mkoloni mwarabu aliyekuwa akibaka watumwa,akitesa watu weusi na kunyang'anya haki zao.
Haiwezekani yasiwe matukufu eti kwa kuwa waarabu waliuawa wakati miaka yote takribani 500 waarabu wamekuwa wakibaka,kupiga na kuua watumwa!
Wengine hapo ni zao lilelile la ubakaji wa watumwa lakini kutokana na 'fikra za kitumwa' wanaendelea kuogopa ukweli wa historia,wanatamani usultani urudi ili angalau waendelee kufaidi hadhi ya 'dugu ya sultani!
Hakuna kitu kibaya kama UTUMWA WA FIKRA!
Asante!
Kwa hiyo lugha ulotumia hapo juu na hizo tashtit...basi weye lazim utakua ni mtoto wa wale muitao ndo Wahaya huko Tanga-nyikwa...au na wewe pia ndo
Msu-K.U.M.A kama huyo
Pasikali aka
Pasco!? Teeh! Teeh! Teeh!
Hizo kashfa na matusi yako hapa hayatasaidia kitu...nyinyi mnajaribu kuja kumuokoa mgalatia mwenzenu alochemsha kwa kutumia matusi na tashtit bila ya hoja!?
Sasa ati "Waarabu-koko" ndo nini!?...mbona pale Ngara,Biharamulo na Kamachumu wamejazana watoto wa kigoa na Makalasinga...sasa ndo nini kile!?
Tafadhali usintafute nikujibu wewe mchovu wa maisha ,ikanilazim kutukana na wangine ninaowastahi japo kiduchu!
Weye na Wenzio nyoote hamna mjualo!...kwalo itakua sisi ni kupoteza wakti wetu ati kulumbana nanyi kuhusu history ya Zanzibar au dasturi za Wazanzibary kiundani!
Sasa kabla sijakwacha ili ukaendelee na yale makhanatha yenu ya Chadema...nakuliza suali kiduchu!
Tutajie watu wowote japo kumi tu kwa ushahidi thabit...uliowahi kusikia ati waliuwawa au hata kuwekwa ndani/kizuizini bila ya kufunguliwa mashtaka au bila ya hatia na Sultan wa Zanzibar kabla ya hayo Mapinduzi yenu ya kidhalimu/mauaji...atleast from
1961 to 1964!?
Nitajie mtu yeyote/family ndani ya ile Unguja ambayo iliwahi kudhulumiwa/kunyang'anywa mali zake/zao...japo hata
mkoba wa mbata!? Teeh! Teeh! Teeh!
Nitajie Mawaziri/Viongozi wowote wa Serikali ya Sultan ambao/ambaye waliuwawa bila ya hatia na Serikali ya Sultan kabla ya hayo muitayo nyinyi ati ndo "mapinduzi matukufu"!? kudadeki zenu
Watanga-Nyikwa!! Teeh! Teeh! Teeh!
Nyinyi munadai yakuwa Sultan alikua ati ndo "Mgeni" na yule Karume Mnyasa ndo "Mwenyeji" sio!? Teeh! Teeh! Teeh!
Sasa yawaje huyo nyinyi mujaribu ati kumuita ndo "mgeni" au "Muarabu" ana generations takriban nne pale Unguja na kwa ushahidi wa walipozikiwa Wazazi Wake wa awali...na huyo Mnyasa alokuja pale mtoto wa mgongoni ndo kweli ati awe yeye ndo "kwao" pale!?
Kwa kifupi,nisingalipenda kunena mangi kupitia kwako usojua lolote/chochote...itakua tu ni kutowatendea
haki ndugu na jamaa zetu wasio na farka nasi wala tafran!
Hayo yoote msemayo wewe na wenzako hapa jukwaani ni
racism ya hali ya juu mno! Dah!
Lakini sistaajabu...nakhis hata
exposure yenu kwayo ni kiduchu mno!
Wewe si tu mlemavu wa fikra utumiaye zile
Colonial connotations lakini pia hujui usemacho maskini! Dah! Teeh! Teeh! Teeh!
Salaam zao!
Ahsanta.