Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #161
Mkuu Zomba, mbona nilikujibu?!. Rejea kwenye ile posti yako kisha angalia jibu langu, ua ulitaka jibu unalotaka wewe?, ukiulizwa unajibu jibu ulilonalo wewe na sio lazima jibu la muuliza swali ndio maana hata maudhui ya uzi huu yameulizwa swali lililohitaji jibu fulani, mpaka sasa majibu ndio haya nayo ni majibu pia!.Nimekuuliza hivi; Abeid Amani Karume "mtwana" alimuoa lini Fatma "muungwana"? bado hujajibu.
Kenya Weekly News Dec 1963
It must be realized that for at least130 years Zanzibar has had a civilized and peaceful existence under an organized Goverment where racial and religious harmony has been the keynote and that ideas being tried out in neighbouring territories have been established practise in Zanzibar for many years.
End of qoute
What happened that Zanzibar backslided?
Wacha kupotosha katukanwa wapi yeye ndiyo analeta matusi na kejeli, ingia kwenye mnakasha msaidiane hapa ni hoja tu.Pole Pasco, kumbuka hapa unapambana na watoto hadi vitukuu wa waliodai kunyang'anywa tonge mdomoni mwaka 1964...loo! hiyo ghadhabu yao utaiweza? Kuna watu wameamua ku"rewrite history" based on sources zilizotawaliwa na visasi, they will stop at nothing; watakubeza, watakutukana na watakulaani kwani chuki zao haziwezi kuwapa mwanya wa kufanya vinginevyo. Porojo za Ghassany na ngano za Mohamed? No, not worth my time and effort. Nakumbuka Sultani kijana Jamshid bin Abdullah alivyoduwaa baharini na boti lake asijue akimbilie wapi baada ya Kenyatta kumwekea ngumu kukanyaga Malindi, Kenya hadi Nyerere alipompa hifadhi ya muda Tanganyika...am out.
Mkuu Zomba, kumbe nawe ni Swala Tano?!, huelekei!. Sisi wengine kuamka Jumamosi zetu huanzia saa 4, hapa nimejitahiji na kwenye supu bado sijapita!, nasisitiza hoja zitapanguliwa zote!.Pasco vipi, jana usiku uliahidi "kesho sina kazi, nitazipangua hoja moja baada ya nyingine!, hakibaki kitu hapa!."
Ukatutia hamu, leo baada ya swalat' fajr tukakukalia hapa na uji wetu wa kunde tunakusubiri ujitutumuwe japo "kiduchu" lakini
naona upo kimya, umepatwa na kazi ya ghafla? au maji yamekuzidi kimo?
Mkuu PascoMkuu Zomba, mbona nilikujibu?!. Rejea kwenye ile posti yako kisha angalia jibu langu, ua ulitaka jibu unalotaka wewe?, ukiulizwa unajibu jibu ulilonalo wewe na sio lazima jibu la muuliza swali ndio maana hata maudhui ya uzi huu yameulizwa swali lililohitaji jibu fulani, mpaka sasa majibu ndio haya nayo ni majibu pia!.
Yale maswali ya jua huwa linachomoza upande gani na kuzama upande gani, huwa siyajibu!, hayo ni majibu hivyo ukiona kuna kitu sijajibu, hilo ndilo jibu langu!.
Nakaribia kukamilisha kuzijibu hoja zote nifungue uzi wa pili.
Pasco
Pole kwa msiba na machungu ya Mapinduzi Matukufu ya 1964!. Endelea kujifariji ni wabara na wagalatia kina Pasco il;i roho yako itulie.Ni ufisadi wa hawa wanaojiita ndugu zetu wa Tanganyika na chuki zao dhidi ya Waarabu. Yaani hawa wameteswa na wareno wajerumani na waingereza lakini chuki zao mpaka leo hapa Bongo ni Uarabu na hawa wagalatia kina Pasco ni Uislam and so ni dini ya Waarabu.
Mkuu Zomba, mbona nilikujibu?!. Rejea kwenye ile posti yako kisha angalia jibu langu, ua ulitaka jibu unalotaka wewe?, ukiulizwa unajibu jibu ulilonalo wewe na sio lazima jibu la muuliza swali ndio maana hata maudhui ya uzi huu yameulizwa swali lililohitaji jibu fulani, mpaka sasa majibu ndio haya nayo ni majibu pia!.
Yale maswali ya jua huwa linachomoza upande gani na kuzama upande gani, huwa siyajibu!, hayo ni majibu hivyo ukiona kuna kitu sijajibu, hilo ndilo jibu langu!.
Nakaribia kukamilisha kuzijibu hoja zote nifungue uzi wa pili.
Pasco
Mkuu Zomba, kumbe nawe ni Swala Tano?!, huelekei!. Sisi wengine kuamka Jumamosi zetu huanzia saa 4, hapa nimejitahiji na kwenye supu bado sijapita!, nasisitiza hoja zitapanguliwa zote!.
I will leave no stone unturned!.
Pasco
Pole kwa msiba na machungu ya Mapinduzi Matukufu ya 1964!. Endelea kujifariji ni wabara na wagalatia kina Pasco il;i roho yako itulie.
Pasco
Mkuu zombaAlhamduliLlah mimi ni Muislaam na sipigwi chenga kuswali swala tano.
Tunangoja hizo hoja uzipangue lakini naona kila unapojaribu unazidi kujishindilia kwenye kina ambacho kimekuzidi.
Nakuuliza tena, Zanzibar ulikwenda lini mara ya kwanza na kwa sababu zipi? au na hili nalo inabidi uwe mwanasayansi kulijibu?
Umenikumbusha, muasisi na baba wa taifa huru la Zanzibar ni Mganda Okello ingawa wazenji wamemsahau tu!
Unaelewa dhanna yako nzima ya "utwana" na "uungwana" wa Zanzibar kabla na baada ya Mapinduzi inauliwa na swali hilo. Wala sitegemei kupata jibu kutoka kwako, cha muhimu ni kuwa umelielewa swali na limekuingia.
Kwakuwa umedhihirisha upeo wako ni mdogo sana nilitaka likuingie tu akilini mwako. Ntakukumbusha tena mjadala unapoendelea, nnayakini kuwa ntaipata fursa tena kutokea kwako, utakwepa vipi na uwezo wako ndio huo tuuonao hapa.
Pole kwa msiba na machungu ya Mapinduzi Matukufu ya 1964!. Endelea kujifariji ni wabara na wagalatia kina Pasco il;i roho yako itulie.
Pasco
Ni ufisadi wa hawa wanaojiita ndugu zetu wa Tanganyika na chuki zao dhidi ya Waarabu. Yaani hawa wameteswa na wareno wajerumani na waingereza lakini chuki zao mpaka leo hapa Bongo ni Uarabu na hawa wagalatia kina Pasco ni Uislam and so ni dini ya Waarabu.
Mkuu Ritz, ziko series 5 zinatakiwa ziwe zimeisha kabla ya January 12, nimedhamiria kuzivurumisha kabla ya mwisho wa mwaka ndipo nitie timu Zanzibar kwenda kuyashrehekea hayo Mapinduzi Matukufu.
Poleni sana!, poleni wote!.
Pasco,
Wewe huwajui wa kuwapa pole.
Mbona kitabu unacho kama unavyojigamba?
Au wewe mvivu wa kusoma?
Hujasoma na kujiuliza?
Wale watu waliua hakuna aliyejua.
Allah aliwasitiri.
Iweje ghafla wanamkimbilia Dk. Ghassany nakueleza jinsi walivyowaua akina
Kassim Hanga, Othman Shariff na wengineo?
Soma na sikiza maneno yao ya kujuta.
Hawa ndiyo wa kupewa pole.
Umemsoma Sheikh Baramia anasema nini kuhusu mauaji ya Karume?
Mimi nitakusaidia Pasco.
Nakuwekea hapa attach. Taazia niliyomwandikia Ali Nabwa alipokufa.
Soma utakuwa mwerevu kuliko ulivyokuwa jana.
Kitu kimoja nataka ujue na nakitanguliza kabla maana huenda usisome
kwani sipati picha kama wewe ni mtu wa kusoma.
Jaha Ubwa na Abdulaziz Twala walikuwa rafiki wa baba yangu.
Hawa walidhulumiwa roho zao.
Baba yangu alikuwa akitembelewa na jamaa kutoka Zanibar akiuliza habari
za wajane wao na mzee alikuwa akiwataja hawa rafiki zake alikuwa akinong'ona.
Wape pole hawa na mfano wa hawa pamoja na baba yangu.
Sinapindu ahsante sana mimi ni Samitungo Muyukwa Mwekapopo siyo Semitungo.