Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Asante kwa links hizo, kumhusu Dr. Ghassany, naomba fungua hii link hapa, soma tarehe ya hii thread, angalia nilisema nini kumhusu Dr. Ghassany, by the time nachangia hapa nilikuwa nimeishasoma kitabu siku nyingi na nilipewa na dada yenu, Mtoto wa Kiarabu hapo Zanzibar!, tena mnabahati sisi haturuhusiwi kuoa zaidi ya mara moja!, ningembadili dini na leo hii ningekuwa shemeji yenu!. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar; Una Faida gani na kwa ...
Leo nimekiweka ili wengi zaidi wakisome, ili nitakapoanza kukibomoa, tuweze kwenda sambamba.
Pasco

Kwa hiyo uache uongo wa kutamba kuwa eti "mimi ndio nilokiweka humu JF", wakati umekibandika leo hii na wenzako wamekiweka humu toka 2010.

Hiyo link nimeifunguwa na ulichokiandika ni hiki hapa:

Hata mimi hii ya 3 ndio naisikia rasmi. Kuna mwandishi sijui kama ndio huyo huyo Ghasany eti alifanya mahojiano na vibarua wakata mikonge wa Tanga walikodiwa wakapandishwa mitumbwi Bagamoyo wakaenda kuipindua serikali halali ya Zanzibar. Sasa leo ndio naisikia hii ya majeshi ya uvamizi ya Tanganyika Rifles!.

Mimi nimefuta kidogo ujinga kwenye somo la historia, karibu historia kubwa ya Mapinduzi ya Zanzibar iliandikwa na waandishi wakizungu.

Nyingine nilisoma kitabu cha Okelo. Hao wasomi wa Umma wanaojidai walishiri wameandika nini?.

Nani aliyeshiriki mapinduzi hayo ameandika kilichotokea haswa?. Kila ninachosoma kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar najikuta naachwa na maswali mengi kuliko majibu.

Jambo moja la hakika ni kuwa Mapinduzi yale yalitokea, watu walichinjwa na majambia na waliowawa kinyama.

Hivyo licha ya kuwepo kundi linaloyatukuza Mapinduzi yale, pia lipo kundi la wahanga wa mapinduzi hayo ambalo wamekuwa wakiumia na kugumia maumivu ya makovu ya Mapinduzi yale kwa miaka mingi, sasa ndio wanapata nafasi angalau ya kuanza kupumua na kutoa nje frustrations zao na machingu yao kwa kuusingizia Muungano.

Muungano huu ni dhima iliyofungwa na Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abedi Amani Karume ambao wote waneshatangulia mbele ya haki. Wote wenye kuubeza Muungano kwa nia ya kuuvunja, laana ya waasisi wake itawashukia.

Lazima tukubali Muungano una matatizo. Turekebishe matatizo hayo na kusonga mbele kuwa nchi moja!.

Pia ianzishwe Tume ya ukweli upatanisho na maridhiano ili Wanzanzibari waambiane ukweli wa kilichotokea ile Januari 11,1964. Waponyeshe makovu ya Mapinduzi yale kwa kuombana misamaha, washikane mikono wapeane pole na kupatana kufungua ukurasa mpya wa Zanzibar mpya.

Kwa fikra zangu naamini waandishi kama kina Ghasany ni vizalia vya wahanga wa Mapinduzi yale hiyo anawakilisha kizazi cha wahanga wenye machungu na Mapinduzi yale, ili kupunguza machungu hayo, hasira zao wabazielekeza kwenye Muungano kama scapegoat wa kujifariji!,

Hahahahah hahaha, sasa unatamba umekisoma kitabu chake halafu hata hujui kaa mwandishi ndio huyo huyo? huo kama si upunguani ni nini.

Halafu unasema Okelo ana kitabu? hivi Okelo alikuwa anajuwa kuandika?

Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaahaha, una uwezo wa kukibomoa kitabu cha Dr. Harith Ghassany? kwa kipi zaidi ulichonacho cha historia ya Zanzibar? Ikiwa hata Makomred Huwajui.

Jee, unamjuwa Komred Toni?
 
Mkuu Pasco

Kuna viporo vingi sana vinakusubiri majibu kutoka kwako hili tuendelee na Mnakasha.
I will leave no stone unturned!. Viporo vyote vitajibiwa!, naona watu povu linaanza kuwatoka, tena wengine wanaanza kuyapandisha!, saa hizi nalala, kesho sina kazi, nitazipangua hoja moja baada ya nyingine!, hakibaki kitu hapa!.
Pasco
 
Pasco,
Wewe huna lako jambo katika historia ya Zanzibar.

Unataka kucheza mpira bila kuwa na uwezo hata wa kupiga danadana.

Umeyavamia mambo na ikiwa umefanya hivyo kwa kutumwa basi

nakuhurumia.
Bora ungebaki na yale ulozoea.

Haya ni mazito sana na kwa hakika si makamo yako.

Hapo chini ni mimi nafanya mahojiano ya TV na Salim Rashid
kuhusu mapinduzi ya Zanzibar.

Alosema hayana tofauti na haya ninayokuambia wewe.
Naamini unamjua Salim Rashid na nafasi alizoshika Zanzibar.

20121124_174037.jpg

Nangoja Pasco ajibu swali ulilomuuliza.
 
Last edited by a moderator:
I will leave no stone unturned!. Viporo vyote vitajibiwa!, naona watu povu linaanza kuwatoka, tena wengine wanaanza kuyapandisha!, saa hizi nalala, kesho sina kazi, nitazipangua hoja moja baada ya nyingine!, hakibaki kitu hapa!.
Pasco

Unao uwezo huo?

Nangoja uje kujibu viporo vyangu huko juu. Halafu ujibu na hili:

Mara yako ya kwanza kwenda Zanzibar ilikuwa lini na kwa sababu zipi?
 
Wanabodi,

Zanzibar inajiandaa kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 1964 yalioufuta ule uhuru bandia wa mwaka 1963 chini ya serikali ya vibaraka ya Sultani Jamseed. Hizi ni series za mada zangu zenye maswali yasiyo na majibu.

Hii ni Hotuba ya Waziri Mkuu Kibaraka Shamte kwenye Umoja wa Mataifa akiitambulisha rasmi Jamhuri ya Watu wa Zanzibar hivyo kuuingiza rasmi Zanzibar ndani ya UN kama taifa huru.
Accession of the Sultanate of Zanzibar to the United Nations in 1963
and
The speech given by Prime Minister of the Sultanate of Zanzibar in the United Nations in 1963



Footage hii ni hisani ya mwana jf aitwae Badir​


Nchi kuingizwa ndani ya UN na kupata kiti cha UN is a process inafuata taratibu fulani.

Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuunda Tanzania, kuna utaratibu pia uliopaswa kufanywa na SMZ na Jamhuri ya Tanganyika kwenda UN ili kuviunganisha viti vya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika ili kuvifuta rasmi na badala yake kuwekwa kiti kipya cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nani anajua ni nini kilichofanyika hapa hadi kukifuta kiti cha Zanzibar kule UN?!.

Utaratibu ni kwa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, kumuandikia rasmi Katibu Mkuu wa UN Note Verbale, kumtaarifu kuhusu muungano na kueleza lile taifa huru lililojiunga hivi karibuni, ceased to exist anymore hivyo kiti chake kifutwe! na kupewa taifa jipya laTaifa la Zanzibar halipo tena!. Hili halikufanyika!.

Na Tanganyika pia ilipaswa kumuandikia Katibu Mkuu wa UN, Note Verbale kumtaarifu kuwa lile taifa la Tanganyika has seased to exist kufuatia muungano na Zanzibar hivyo kiti chake kifutwe na kukabidhiwa Taifa jipya la JMT. Hili pia halikufanyika!.

Kwa barua hizo mbili, viti vya Tanganyika na Zanzibar ndipo vingefutwa rasmi, na kisha kupelekwa Note Verbale ya 3 toka serikali ya JMT ikilitambulisha Taifa jipya la Tanzania na kupewa kiti cha taifa jipya!.

Kilichotokea ni kule UN ilipelekwa Note Verbale moja tuu toka serikali ya JMT kumtaarifu Katibu Mkuu kuwa Tanganyika na Zanzibar zimeungana kuunda JMT, hivyo kiti cha iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na kile cha iliyokuwa Tanzanyika, sasa vitakaliwa na nchi moja ya Tanzania wakati utaratibu wa submition ya union documentations zikiwemo zile Articles of Union ungefuatia, kitu ambacho hakikutekelezwa mpaka leo!.

Jee kiti halali cha nchi moja huru ndani ya UN kinawezwa kufutwa kirahisi rahisi hivyo with just a Note Verbale kutoka taifa jingine?!.

Mfano ikitokea Tanzania tukaungana na Kenya, hivi kweli mwenye jukumu la kutoa taarifa kwa Katibu Mkuu wa UN ni Kenya tuu kumtaarifu kuwa tumeungana na Tanzania hivyo kuanzia sasa kiti cha Tanzania kifutwe?.

Nikiwa mwandishi nilibahatika kuutembelea ubalozi wetu wa UN pale NY, nikapokelewa na shemeji yetu (Mke wa mwana jf mwenzetu ndie alikuwa receptionist wakati huo), nikapeleka maswali yangu haya kwa balozi we enzi hiyo, sikupata majibu.

Pia nilitembelea jengo la UN ili angalau kuziona zile docu za muungano, kilichopo kule ni ile Note Verbale tuu, nothing more, nothing less!.

Wenye majibu naombeni msaada wenu!.

Pasco.




Wacha ukanjanja wako! Jee baada ya Mapinduzi ilibidi Zanzibar ijiunge tena UNO? Uhuru ulikuwa uhuru na Mapinduzi ni mapinduzi hakuna kitakachofuta chengine.
Muungano wa Tanzania ulikuwa wa Jamhuri mbili zenye viti umoja wa Mataifa na kile cha Zanzibar kilisimikwa siku hiyo unayoiponda.
 
Last edited by a moderator:
Pasco kwani ujishikilie umekiweka wewe kitabu cha Dr. Ghassany hapa JF as if kama vile umefanya favour au umeombwa hali kitabu kiko free online kwenye tovuti yake na FB page.

Wewe huwajui Makomredi hujui chochote kuhusu Zanzibar na.watu wake umejaa chuki na dharau na stereo typing.

Wewe kama wewe Mapinduzi yanakuhusu nini.
Unamwita Maalim Muhammed Said mrongo hali wewe ukweli huujui.
Unamwita Dr. Ghassany Mwongo mbona hujatoa kitabu chako chenye rebutal ya huo uwongo wao?

Toa angalau one page bullet point utujulishe line by line hili ni urongo na ukweli ni huu. Ni kwa sababu huna materia you are just empty in your head.

Acha kuita watu warongo hali huna material kichwani.

Bora uwache hiyo tabia tafadhali jibu kwa hoja sio kuita watu warongo while you are ignorant of many things.

Na sijui.ilikuwaje ukapata shauku ya kuandika huu uzi, hukujuwa consequences zake?

Nimesema hizi mada kuhusu Mapinguzi ya Zanzibar, ziko 5 -series, hii ni ya kwanza. Sijamuita yoyote mrongo, nimesema wameandika urongo!. Kama jina la anayeandika urongo ndio mrongo.. them wewe wasema.

Nilimjibu vizuri Maalim Mohamed Said, nawaomba msiupindue uzi huu ili series ya pili niwaletee urongo wa Dr. Ghassany. Urongo wa Maalim tumeishauchambua sana humu hatuna haja kuurudia, kwa faida yako pitia haya majibu yangu kwa makini!.
Mkuu Maalim Mohamed Said,
  • Kwanza asante kwa kuja, nitakuhitaji zaidi katika mnakasha utakaojitegemea kuhusu uongo wa Dr. Ghassany ambao ameutumia utangulizi wako, kutoka ule uongo wako wa Wazee wako wa Gerezani!. Hii sio mada husika hapa!, someni mada, kama mna majibu jibuni, hamna nyamazeni kimya tuendelee na maandalizi ya kushereheka!.
  • Mimi siku zote nakukubali kuwa wewe ni Maalim na unakipaji kikubwa cha kusimulia hadhithi, vitabu vyako navisoma na kuvufurahia kama ninavyofurahia Elfu Lela U Lela au Hekaya za Abunuwas! japo pia nakiri kwa kiasi fulani ni literary work iliyochanganywa na utunzi makini wenye uongo ulivishwa vizuri na kufanana na ukweli!.
  • Hili la kuponda kazi za waongo, halihitaji umri!. Kwenye nyuzi zako naamini unapajua ninaposimami, na kama sikosea aliyemleta humu Ghassany mwanzo ni wewe na tulikuponda na kumponda with facts, nikimaanini mtu huhitaji kuwa ni wa makamo fulani ndipo uweze kuubaini uongo na kuuponda!. Nilitamani sana nami niwe ni mwandishi wa calibre yako au Ghasanny tutoe vitabu vyenye ukweli ili kuufuta upotoshaji wenu, wewe kuhusu uhuru wa Tanganyika na mwenzio kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Ningependa muumbuliwe mkingali hai, ili kuwapunguzia mzigo vizazi vijavyo kulishwa sumu ilioimwaga kwenye maandishi yenu!.
  • Hilo la kutofikia kiwango cha kukabiliana na wewe, nakubali, na kutongia kwenye fikra zako pia nalikubali!. Kiuanazuoni, aslan ziwezi kujilinganisha na wewe wala sistahili hata kufunga kidamu za tawalanda zako, ila angalau nimejaaliwa uwezo wa kuhesabu moja na moja ni mbili!. Maalim kama wewe utakaposema moja na moja ni moja au ni tatu!, ninauwezo sio tuu kukuambia ni mbili bali pia kukuonyesha, moja na moja ni mbili na sio moja, sio tatu!. Kule kwenye maandishi yako nilikueleza!.
  • Mimi ni miongoni wa hao ambao ukitoka, huja kusikiliza na kutokana na ustadi wako kuhadithia, hata babu yaku alikuwa mpiga hadidhi mzuri, akisimulia usingizi hukatika!. Ukiniona nimechangia ujue uvumilivu umenishinda kuunyamazia uongo wa wazi wazi ila pia kwa vile ni hadithi, kuna wakati najinyamazia ili hadidhi hadithi, ungo njoo, utamu kolea ipite!.
  • Sina tatizo kabisa na kazi kubwa za reaseach mlizofanya, wala sizidharau juhudi zenu mlizoweka katika maandishi yenu, natatizwa na tatizo moja tuu ndani ya maandishi yenu nyote wawili, ni "The motive Behind!" kaziu zenu zile!. Zote mbili zilikuwa na "ill motive!", naomba hapa nisiingie kwa ndani kwa sababu niliisha kueleza kule kwenye nyuzi zako na nisingependa huu ndio uwe mwelekeo wa mnakasha huu!.
Merry X-Mass
Pasco

For the sake ya mnakasha huu, mnazo hoja jibuni, hamna tulieni, nyamazeni, tuendelee mbele!
[/COLOR]
[/COLOR]
 
Unao uwezo huo?

Nangoja uje kujibu viporo vyangu huko juu. Halafu ujibu na hili:

Mara yako ya kwanza kwenda Zanzibar ilikuwa lini na kwa sababu zipi?
Zanzibar nimekuwa nakuja tangu mtoto nikisoma primary tukiwa na marafiki wa kizenji shuleni kwetu tukisoma nao bara, wakati wa likizo tukija kwao Zenzi wana hoteli kubwa enzi hizo!.

Nipongia uandishi tukaja ziara rasmi Zenzi tukapokelewa kwa kelele za kuitwa machogo!, tango hapo nimefanya zaidi ya sarri 100 Zanzibar!, nimeishalala Mwembe Madema!, nimeishaondolewa Zenj under escort na kupigwa marufuku nisikanyage tena!. Baadaye ban ikaondolewa!. Enzi za ujana pia nilishiriki sana na ndugu zetu sisi si ni dugu moja!.
Wiki ijayo nakuja kukaa siku 10 Zanzibar kushherekea Mapinduzi Matukufu na mimi ni wale Chapa Ng'ombe wa Kanda ya Ziwa, ugonjwa wetu unajulikana!. Wengi wa wabara sasa wakija Zenji ni kuja kuponda maraha, huu uzi unakoelekea siko, nikona vipi, nitaumalizia baada ya kutoka huko, sije endelea sana nikajikuta vile vichupa vya tindikali ndivyo vinanisubiri!. Hapo Zenj mpaka nina nyumba ya kufikia, anytime, nikiamua kulala hoteli ni kwa raha zangu tuu!. Zanzibar kwangu, Waarabu wangu, Wahadimu wangu, Watumbatu pia wangu!, na nyinyi bara yenu!.
Tunajenga nyumba moja Tanzania, kwa nini mnataka tugombee fito?. Kiukweli tukiona vipi, tunaamua tuu Nchi Moja, Serikali Moja!.
Pasco.
 
Huu ndio msimamo wa ASP 23 April 1960.
Sir
..........................
8.(a) It is the ASP strong opinion that as far as possible the new constitution should be based both in composition and function, on the British Constititution which has worked so successfully in Britain. No attempt should be made to adapt it local conditions.....................To adapt it before it is first applied will be tantamount to operating a case before ascertaining the disease. With this in view we beg to submit the following:-
i)position of present Dynasty. The Sultan of Zanzibar is a Constitutional monach.He is the head of our state,above and outside politics- the unifying factor in the constitution and ASP accepts the principle that the present dynasty should be safegurded and guaranteed...........

We honour to be,
Sir,
Your obedient servants
End of qoute
Huu ndio msimamo rasmi wa ASP kuhusu mfumo wa utawala.
With this
 
Pasco kuwa muungwana. Hata sie lugha hizo twaziweza. Ushemeji hauelemei upande mmoja. Kuwa na adabu.
La ushemeji, si nimesema ninge!, au hasira na kumbadili dini mtu?!. Mbona wabara wengi wamesilimishwa kwa ajili hiyo!. Bara Zanzibar dugu moja!. Hata mitaa yako hapo Gerezani, tumepita sana tuu, wakati huo nikiwa RTD, walikuwa wanakuja wenyewe!. Ujana nao una ushetani wake, basi tuu saa hizi ungekuta labda niliishasilimishwa zamani nikiitwa Mkwe!. Basi tuu!.
Pasco.
 
Pasco,
Huyo hapo chini ni Victor Mkello.
Mzee huyu sasa ni marehemu.

Picha hii imepigwa nyumbani kwake Nguvumali, Tanga.

Victor Mkello alifanya kazi kubwa sana katika kuivamia Zanzibar na
mamluki kutoka mashamba ya mkonge Sakura na Kipumbwi Zanzibar.

Hapa Victor Mkello alikuwa katika ''death bed.''
Mgonjwa sana.

Ilimchukua miaka mitatu ya nenda rudi panda shuka Dk Ghasssany akija Tanga
kufanya mahojiano na Mkello.

Ilichukua miaka mitatu ndipo alipokubali kueleza nafasi yake na ya wengine katika
kuivamia Zanzibar.

Ati unasema Dk Ghassany hakuzungumza na waliofanya mapinduzi...

Kazungumza Dk Ghassany mpaka na wale Wamakonde waliovushwa na Mkello kutokea
Kipumbwi wakiwa chini ya Mohamed Omari Mkwawa.


CPouovOhcYaMLt-XH13tABXsjyYGOv0Kccjn8IstvFs=w291-h207-p-no


Pasco,
Nilikuonya toka awali kuwa angalau jifunze adabu.

Bado hujafikia makamu ya kuingia kwenye mnakasha kama huu wa Zanzibar.
Mkuu Maalim Mohamed Said, asante nakushukuru, nimemfahamu komred Victor Mkello, sasa tunaweza kurejea kwenye mada?!.
Pasco
 
Pasco,
Kumbe unavamia mambo wala huijui historia ya Zanzibar.

Umetumwa?

Mkapa akiwa juu ya jukwaa Zanzibar alitoa hotuba kisha akawakejeli Waarabu
wa Oman.

Wengi katika wale waliokuwa katika jukwaa kuu waliinamisha vichwa chini na
mmoja wapo ni Amani Karume na mkewe Bi. Shadya pamoja na waheshimiwa
wengine.

Jioni kwenye chakula cha usiku Mkapa akaelezwa kuwa wale uliokuwa unawakashifu
ni wazee wa wengi wa watu wa Zanzibar na mmojawapo ni babu yake First Lady.

Pasco fanya hii homework.
Tafuta habari za Salim Jinja...

Hii itakusaidia kuelimika.
Na huu nimekupa mfano mmoja tu.

Iko mingi.

Usitukimbize ati tusimtaje Abeid Amani Karume na Mama Fatma.

Wewe ni mbaguzi na ndiyo maana umepelekwa huko ili ujue kuwa hujui kitu.
Wewe unaimbishwa na unaitika unachoimbishwa.

Kama alivyoimbishwa Mkapa na akaimba na katika ile nyimbo yake akajikuta
anawatukana Wazanzibari wengi na wengine mawaziri katika serikali yake.

Jibu la Mkapa baada ya mkasa ule alisema,''Sitokuja kuielewa Zanzibar.''
Lakini Zanzibar si ngumu kuielewa ikiwa kichwa chako kimetulia.

Pasco wa kukaa kimya ni wewe usiejua kitu.
Tupe nafasi sisi tukupe darsa kuhusu historia ya Zanzibar.

Wewe huna moja unalojua.
Ukijifunga kwenye mapinduzi na ukadhani kuwa hiyo ndiyo historia ya Zanzibar...

Huyo Muarabu aliyekuwa anamtafuta Mkapa na ndiyo huyo Muarabu unaemsaka
wewe.

Huyo Muarabu hayupo Zanzibar na hatakuwapo kamwe.

Nakuachia na hili la Salim Jinja.

Ukimaliza hilo nitakupa darsa mimi mweyewe kuhusu makomredi na In Sha
Allah tutaanza na marehemu Badawiy Qullatein.
Mkuu Maalim Mohamed Said, kiukweli nilitumwa!, nimeimbishwa na sasa naenda kumuuliza alienituma kama tuendelee na huu mnakasha au tuufunge maana hatukutegemea mtu kama wewe ungeingia humu na ukiingia pahali, shughuli yake pevu!.

Ni kweli sina moja ninalojua ndio maana nimeuliza?!.

Pia ni kweli siwajui kabisa komred Salim Jinja wala komred Badawiy Qullatein, naomba unieleweshe wanahusika na nini katika mada yangu kuu ya uzi huu!. Ndio hao waliomsindikiza Shamte kule UNO au ndio waliopeleka yale malipo ya miaka kadhaa mbele au ndio waliofanya nini haswa maana mada yangu kuu hapa ni jinsi kiti cha Zanzibar kilivyopotea kule UNO hadi sasa Zanzibar kubaki jina tuu ikiitwa nchi ili hali kiuhalisia sio nchi bali ni sehemu tuu ya JMT yenye mamlaka yake kamili kushughulikia mambo yake ndani. Ingekuwa ni Nyumba, ni yale madogo madogo ya jikoni, chumbani na maliwato,yale makubwa ya kibarazani na sebuleni ni wenyewe!.
Pasco.
 
Pasco,
Hapo chini ni mimi nafanya mahojiano ya TV na Salim Rashid
kuhusu mapinduzi ya Zanzibar.

Alosema hayana tofauti na haya ninayokuambia wewe.
Naamini unamjua Salim Rashid na nafasi alizoshika Zanzibar.

20121124_174037.jpg
Mkuu Maalim Mohamed Said, kiukweli nimekuona kwenye hayo mahojiano ya TV na Salim Rashid, tena kwa vile na mimi huwa nafanya vipindi vya TV, nakiri hao wenzetu wataalumu kweli!, huwezi hata kuona vipaza sauti au japo hata kivuli cha kamera!.

Na jinsi mnavyoonekana kiukweli mmependeza, kanzu zinang'aa kweli kweli!, hivi hizi kanzu ni za hapa kweli hizi sio zile za kutoka Uarabuni?!. Ila hilo zulia hata kwa macho tuu naliona ni Persian!. Naomba unikumbushe kidogo hivi Salim Rashid ni nani vile?!, katika mukhtadha wa mnakasha huu kuhusu kiti cha Zanzibar, Salim Rashid aliplay role gani vile?!.
Endelea kutuelimisha!
Pasco
 
Mkuu Maalim Mohamed Said, kiukweli nimekuona kwenye hayo mahojiano ya TV na Salim Rashid, tena kwa vile na mimi huwa nafanya vipindi vya TV, nakiri hao wenzetu wataalumu kweli!, huwezi hata kuona vipaza sauti au japo hata kivuli cha kamera!.

Na jinsi mnavyoonekana kiukweli mmependeza, kanzu zinang'aa kweli kweli!, hivi hizi kanzu ni za hapa kweli hizi sio zile za kutoka Uarabuni?!. Ila hilo zulia hata kwa macho tuu naliona ni Persian!. Naomba unikumbushe kidogo hivi Salim Rashid ni nani vile?!, katika mukhtadha wa mnakasha huu kuhusu kiti cha Zanzibar, Salim Rashid aliplay role gani vile?!.
Endelea kutuelimisha!
Pasco

kubwa zima umeishiwa hoja unaanza kuharisha na kubana pua eti "kanzu za wapi? sijui zulia la persian" sikiliza we kama vp waambie mods waufunge tuu hu uzi!!! eeenhhhh si maji shingoni,
 
Pole Pasco, kumbuka hapa unapambana na watoto hadi vitukuu wa waliodai kunyang'anywa tonge mdomoni mwaka 1964...loo! hiyo ghadhabu yao utaiweza? Kuna watu wameamua ku"rewrite history" based on sources zilizotawaliwa na visasi, they will stop at nothing; watakubeza, watakutukana na watakulaani kwani chuki zao haziwezi kuwapa mwanya wa kufanya vinginevyo. Porojo za Ghassany na ngano za Mohamed? No, not worth my time and effort. Nakumbuka Sultani kijana Jamshid bin Abdullah alivyoduwaa baharini na boti lake asijue akimbilie wapi baada ya Kenyatta kumwekea ngumu kukanyaga Malindi, Kenya hadi Nyerere alipompa hifadhi ya muda Tanganyika...am out.
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha, muasisi na baba wa taifa huru la Zanzibar ni Mganda Okello ingawa wazenji wamemsahau tu!
 
Nani alie muua Karume? Kwanini Nyerere alimtishia kuwa asipokubali Muungano atawaacha vijana wamshughulikie?...
 
La ushemeji, si nimesema ninge!, au hasira na kumbadili dini mtu?!. Mbona wabara wengi wamesilimishwa kwa ajili hiyo!. Bara Zanzibar dugu moja!. Hata mitaa yako hapo Gerezani, tumepita sana tuu, wakati huo nikiwa RTD, walikuwa wanakuja wenyewe!. Ujana nao una ushetani wake, basi tuu saa hizi ungekuta labda niliishasilimishwa zamani nikiitwa Mkwe!. Basi tuu!.
Pasco.

Pasco,
Sasa umehama kwenye mjadala wa mapinduzi ya Zanzibar umeamua kututukana?

Jua kitu kimoja.
Unapotukana kama hivyo unamtukana mama yako.

Huenda hii ikakushinda kuelewa.
Ikiwa utashindwa kufahamu sema.
 
Back
Top Bottom