Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Zijana za madrasa zimechefushwa,
Sasa vijidagaa na pweza leo mtaliwa mnaona,
Papa zimechanua pezi, gusa uchanwe,
Cheza na Madrasa wewe....!
Teh teh teh... usichopoke Pasco uliyataka mwenyewe.
Duh!
cc: Ritz
 
Last edited by a moderator:
Zomba,
Huyu Pasco -------- sana huyu.
Hakufunzwa kwao?

Tushamwambia kuwa huyo bint ushamdhalilisha vya kutosha.
He left it to our imagination...

Bado kashikilia palepale...
Huyo bint nilimwambia ni mfano wa mama yake.

Akimfedhehesha ni sawa kamtukana mama yake.
Ana kichwa kigumu sana mtu huyu.
Maalim Mohamed Said, binti gani nilemdhalilisha?,
Hasira zote hizi ni kwa sababu ni binti wa Kiarabu?, hivi nimetaja mahali kama tulifanya jambo lolote?, ama hasira zenu ni pale niliposema ningetaka kuoa na kumbadili dini?!. Nimesema mara nyingi mbona wenzetu wengi wamesilimishwa kwa sababu ya binti zenu nasi hatuna neno?.
Bara Zanzibar si ni dugu moja?!, Tena kuna wakati nilisoma mahali kuhusu uhaba wa wanawake Pemba na hao hao Wapemba wanaponea wapi?.

Maalim Mohamed Said, siku zote nilikuwambia napenda simulizi zako jinsi ulivyo na kipaji cha kuhadithia kama Shahazrade kwa Dinazrade kule kwenye zile "Siku Elfu Moja na Moja" tatizo langu ni moja tuu! "Ill Motive Behind!".

Nimmekuomba utumie ukubwa dawa wako kuwathibiti wafuasi wako humu wanaoleta kejeli za kidini!, sijasikia ukikemea!. Mtume amedhihakiwa mara moja tuu humu nimekemea na imerekenishwa, wewe waonekana una enjoy hiki kinachoendelea?!.

Kusema nimempenda binti wa Kizanzibar wa asili ya Kiarabu, wewe unaita nimetukana na kulinganisha na kumtukana mama yangu?!. Hivi kukiri kupenda kumbe dhambi!, kumbe ni kutikana!, kumbe ni kufedhehesha!, hivyo kutoa haki kwa wafuasi wako kutukana!, kukejeli maandiko matakatifu?,

Turuhusu na upande wa pili walete vifungu vya kitabu chenu na maisha ya kiongozi wenu?.

Kama hii mada ni baridi tuu ndio yamekuwa haya, hiyo ya pili ambayo ni moto zaidi itakuwaje?.

Nafanya tafakuri kama hizi mada ziendelee au zitoshe, tuje tuu tusheherekee Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu bila Tafakuri ya kina kuhusu maswali ya Mapinduzi taso majibu?!.
Pasco.
 
Zile kanzu umesema za "Uarabuni", si ndio?

Uarabuni ipi? swali ndio liko hapo. Hata Igunga kuna Uarabuni, hata Bujumbura kuna Uarabuni.

Unajuwa hata Pengo ni mpenzi wa kanzu sasa sijui kwa kulazimishwa tu kama vazi la kazini au kupenda kwake? hilo nakuachia wewe.

Zile kanzu nilizoziona pale ni za ki Oman. Magwiji wa kanzu, na ukipitia kidogo historia utakuta kanzu za Oman ndizo akizipenda Mtume Muhammad SAW. Si hasha hata ukijisomea zaidi utakuta hata ma Papa wa Vatikano ni wavaaji wazuri wa kanzu, unaweza kutujuza kwanini?

Ndiyo maana Tanzania hii, ukienda kwa Wahaya ni vazi lao rasmi, Wahehe hali kadhalika, pwani ndio usiseme. Huko visiwani ndio sina haja hata ya kukueleza kwani unasema ukienda huko kwa rafiki zako wenye hoteli tangu ungali mdogo.

Sijui kwenu? ni wachungaji wenu tu au hata nanyi mwazivaa?
Mkuu Zomba, asante na kwa hili la kanzu, kumbe ni za asili kabisa, yaani kunyumba alikotokea Sultan!.

Mimi mwenyewe nimekaa kidogo Doha, Dubai na India nikitamani kununua kanzu, ili sikuwahi, ila katika pita pita zangu jijini, nikakutana na kanzu nzuri pale Msikiti wa Magomeni, nikanunua moja nzuri pale Msikiti wa Magomeni, na nina watoto wangu wa kiume wote pia nimewanunulia kanzu hapo, huzivaa siku za iddi na maulid, ila zizijui zimetoka wapi, usikute nazo pia ni za Oman!.

Hata Yesu alivaa kanzu, makasisi wetu huvaa kanzu, mastita wa Katoliki huvaa hijab tukiziita leso etc.
Hizi hoja kama za kanzu na zile zulia, nadhani ndizo hoja zilizobakia kujadili kwenye mnakasha huu na ili kuutendea haki, lazima tuunganishe na mada kuwa itakuwa ni ama Waziri Mkuu licha ya kuvaa suti pale UN pia alibeba na kanzu yake na Msala wa Persia!.

Ahasanta.
Pasco.
 
Naona umewekwa uchi hapa hadi unatia huruma aisee,,

Then kuna siku ulipokaja Mtwara kwenye msafara wa wazir mkuu Pinda nilikuona nikashangaa kweli kweli.

Yan wewe ndie unaejiita mwandish wa habari wa kujitegemea na kujigamba kuwa huchukui vibahasha hali ya kuwa unaonekana ni mchovu wa maisha kias kile??

Umezoea sana kuongopea watu,ona leo umekutana na madume yamekuvua kila kitu na kukuacha uchi,siku nyingine ujipange,

HII INAITWA JF,nenda kawasimulie jamaa zako wanaokuweka mjini kwamba HOJA HII IMEKUMALIZA MOJA KWA MOJA,

WAKUTAFTIE KAZI NYINGINE
.
Mkuu The Big Show!, nikweli nilikuja Mtwara!, ila sikuja na Msafara wa Waziri Mkuu!, Nilikuja kivyangu na PM alikuja na msafara wake wakanikuta Mtwara, na walipomaliza shughuli yao, waliniacha Mtwara nikiendelea na yangu.

Kumbe ulishangaa kuniona mchovu?, mwanzo ulinidhaniaje kabla hujaniona?, hivyo ulivyoniona ndivyo nilivyo, mimi Pasco wa jf ni mtu mchovu sana!.

La mwandishi wa kujitegemea, sio najiita, ni kweli mimi ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, sijaajiriwa na yoyote, siwajibiki kwa yoyote, siandikii chombo chochote maalum, wala simtegemei yoyote!. Wengi wa waandishi wa kujitegema yaani freelance journalist, wanaandikia chombo maalum ambacho huwalipa kila wapoandika!, mimi ni wa kujitegea kwa kujitolea, yaani silipwi na media yoyote, nikiandika natoa story bure, bila kihitaji malipo yoyote!.

Hili la kujigamba eti sichukui bahasha!, ila kutokana na uchovu ulioniona nao, basi unaamini nitakuwa nachukua bahasha!. Ukweli sio kujigamba kuwa sichukui bahasha!, la hasha!. Bahasha nimeishazichukua sana wakati ule nikifanya newsroom. Kwa sasa hizo bahasha!, mimi ndio msambaza!. Kama nimekuambia siandikii media yoyote rasmi, nichukue bahasha ya mtu ili iweje?..

Hili la waandishi na bahasha, nimelihalalisha siku nyingi, hadi kuna watu humu wamenipachika jina la "mzee wa vijibahasha!", na nimeliandikia rasmi hapa unaweza kunisoma Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa .
Pasco
 
Huyu Pasco kumbe kiasi ayaite yale mauwaji ya 64 matakatifu na pia kusifu wanamaponduzi kuwaowa wanawake.wa.kiarabu kwa nguvu kumbe sababu yanaruhusiwa katika Maandiko yao ya Biblia:
Dini ya Pasco inaruhusu unyama dhidi ya wanawake namna hiuo happ juu!!
Mkuu Kahawarizimu, hiyo 1964 mimi sikuwepo mapinduzi yalipotokea, yaliyotokea yameandikwa, kama hao waliofanya mapinduzi, kisha kuwalazimisha wanawake wa Kiarabu kuolewa kwa nguvu na Wamatumbi, waliyafanya hayo kufuatia mafundisho kwenye vitabu vitakatifu, mimi sijui, bali nasoma tuu kilichoandikwa!. Nimesoma mahali yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyoung'oa Usultani dhalimu!. Waliopindua wameapa kuyanda kwa kauli "Mapinduzi Daima!". Sasa yametimiza miaka 50!, tunajiandaa kuja kuyasherehekea!. Japo nakiri, kwenye mapinduzi yale, kulitokea umwagaji damu mkubwa!, hivyo kwenye kila familia ambako mtu wao aliuawawa, kwao yale sii mapinduzi bali ni mauaji ya 1964!. Kwa hilo nawapeni pole wahanga wote wa Mapinduzi Matukufu yale ambayo kwa wengine ni mauaji!.

Pasco,
Sasa ndiyo umesema kitu gani?

Unakuja kujua kuhusu dhulma leo baada ya kutoa jeuri siku zote?
Unadhani huiu msimamo wako mpya utakunisuru?

Nikuulize.

Umesoma taazia ya Ali Nabwa?
 
Hii ni analysis inayoitwa Evil Bible naleta excerpts hapa
Mkuu Kahawarizimu, kwa heshima na taadhima, kwa kuzingatia imani na dini za wengine, niko chini ya miguu yako, nikikuomba edit post yako hii, uliondoe hilo neno nililobold!.

Hiki ni kitabu Kitakatifu kwa baadhi yetu, please don't provoke us kwenye maeneo hayo ili kuepusha kujibu mapigo kutokapopelekea hii thread kufungwa!.
Nilimuomba Maalim Mohamed Said atumie ukubwa dawa wake, haikusaidia, hivyo nimechukua jukumu la mimi mwenyewe kukuomba kwa heshima na nyenyekevu mkubwa!, please don't cross the line!.
Siye wengine sio watu wa shari, tukionaona tunaelekea kusiko, ama hujinyamazia tukayaacha ya pite, ama huongea kuepusha shari!.
Natanguliza shukrani za Ahasanta kabisa!.
Pasco.
 
Maalim Mohamed Said, binti gani nilemdhalilisha?,
Hasira zote hizi ni kwa sababu ni binti wa Kiarabu?, hivi nimetaja mahali kama tulifanya jambo lolote?, ama hasira zenu ni pale niliposema ningetaka kuoa na kumbadili dini?!. Nimesema mara nyingi mbona wenzetu wengi wamesilimishwa kwa sababu ya binti zenu nasi hatuna neno?.
Bara Zanzibar si ni dugu moja?!, Tena kuna wakati nilisoma mahali kuhusu uhaba wa wanawake Pemba na hao hao Wapemba wanaponea wapi?.

Maalim Mohamed Said, siku zote nilikuwambia napenda simulizi zako jinsi ulivyo na kipaji cha kuhadithia kama Shahazrade kwa Dinazrade kule kwenye zile "Siku Elfu Moja na Moja" tatizo langu ni moja tuu! "Ill Motive Behind!".

Nimmekuomba utumie ukubwa dawa wako kuwathibiti wafuasi wako humu wanaoleta kejeli za kidini!, sijasikia ukikemea!. Mtume amedhihakiwa mara moja tuu humu nimekemea na imerekenishwa, wewe waonekana una enjoy hiki kinachoendelea?!.

Kusema nimempenda binti wa Kizanzibar wa asili ya Kiarabu, wewe unaita nimetukana na kulinganisha na kumtukana mama yangu?!. Hivi kukiri kupenda kumbe dhambi!, kumbe ni kutikana!, kumbe ni kufedhehesha!, hivyo kutoa haki kwa wafuasi wako kutukana!, kukejeli maandiko matakatifu?,

Turuhusu na upande wa pili walete vifungu vya kitabu chenu na maisha ya kiongozi wenu?.

Kama hii mada ni baridi tuu ndio yamekuwa haya, hiyo ya pili ambayo ni moto zaidi itakuwaje?.

Nafanya tafakuri kama hizi mada ziendelee au zitoshe, tuje tuu tusheherekee Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu bila Tafakuri ya kina kuhusu maswali ya Mapinduzi taso majibu?!.
Pasco.

Pasco,
Ni nini khasa?

Mambo kama haya hunyamaziwa ukishakanywa.
Mtu alishsatengeneza page copy ampe yule binti.

Akanitaka ushauri nikamkataza nikamwabia atafedheheka sana.
Sasa Bwana Pasco nyamaza.

Mambo haya si ya hadharani labda kama wewe ni msungo.
Hata kama alipika chakula akakupa kwa mapenzi ule.

Muungwana hatoki akahadithia.
 
Pasco,
Sasa ndiyo umesema kitu gani?
Unakuja kujua kuhusu dhulma leo baada ya kutoa jeuri siku zote?
Unadhani huiu msimamo wako mpya utakunisuru?
Maalim Mohamed Said, wa kuuliza nimesema kitu gani utakuwa wewe?, narudia tena ili na wewe uealewe!,
Wakati wa Mapinduzi yale Matukufu ya 1964, mimi sikuwepo, tena sio sikuwepo Zanzibar, bali sikuwepo duniani!, hivyo sihusiki kwa namna yoyote na kilichotokea!. Nimefanya kusoma tuu baadhi ya maandishi, na nina maswali yangu kadhaa yanayotaka majibu!, ndilo lengo kuu la uzi huu!.

Nimewasoma wanaoyasifu Mapinduzi yale na kuaita Matukufu na wameapa kuyalinda daima "Mapinduzi Daima!", na ndio kwenye mipango ya kuyasherehekea miaka 50 ya mafanikio yake!.

Pia nimekiri Mapinduzi Matukufu yale, yalisababisha umwagaji damu mkubwa!. Roho za watu zilidhulumiwa kikatili na wanawakwe kubakwa zikiwemo ndoa za lazima!. Maadamu huu uzi ni kuhusu maswali bila majibu, mimi nazungumzia maandalizi ya sherehe huku wale waliodhulumiwa wanakumbuka machungu ya dhulma hiyo huku wengine tukiyaita Mapinduzi, wengine wakiyaita mauaji!.

Nadhani wakati wa maandalizi ya sherehe hizo kule Zanzibar, nadhani hakuna marufuku yoyote kwa waliodhulumiwa kuandaa hitma ya kumbukumbu ya miaka 50 ya muaji yale na kuilaani dhulma ile kubwa waliotendewa binadamu wapendwa wao!.

Tena kwenye sherehe hizo kwa vile nitakuwepo Zanzibar, nitaripotia jf live kutoka uwanja wa Amaani na ikibidi nitawaletea picha za sura za bashasha za kupongezana za baadhi ya viongozi, ila pia nitaekeza nitakafikia pamoja na kutoa mawasiliano yangu, ili pia nialikwe hitma (tena nitakwenda na kanzu yangu) ili baada ya sherehe, pia niiripotie hiyo hitma!.

Narudia wito wangu kwangu Maalim Mohamed Said, wasihi vijana wako wapunguze munkali wasi cross the line kwa kuuleta udini na kukashifu dini za wengine kisa ni machungu na madhila waliotendwa ile 1964!.
Naomba kusisitiza hapa, sio kuwa natafuta suluhu, no way, hoja yangu bado inasimama ila sipendi twende kule ambako siko!.
Pasco.
 
Pasco,
Ni nini khasa?

Mambo kama haya hunyamaziwa ukishakanywa.
Mtu alishsatengeneza page copy ampe yule binti.

Akanitaka ushauri nikamkataza nikamwabia atafedheheka sana.
Sasa Bwana Pasco nyamaza.

Mambo haya si ya hadharani labda kama wewe ni msungo.
Hata kama alipika chakula akakupa kwa mapenzi ule.

Muungwana hatoki akahadithia.
Inshaalah Maalim Mohomad Said nimekuelewa!.
Kiukweli tunatofautiana sana staha kati ya baadhi ya sisi wabara na watu walistaarabika!
Nakumbuka nikiwa mdogo kuna wakti nilikunikiambiwa "Kuwa Mtaarabu kama Mwarabu!".
Kiukweli mimi na huyo binti wa Kiarabu hatukuvuka mpaka wowote!, kinyume cha maadili!.
Watu wananisakama bure, kunitusi, na mengine chungu nzima!, haya hayanitatizi, natatizwa na wale wanaingiza dini moja kujustify udhalimu uliofanyika na kuitumia mistari ya dini ile kama reference as if ule udhalifu ndio ulifanyika kufuata mafundisho hayo!.
Wakanye viijana wako, tuufunge huu mnakasha, niufungue ule wa sehemu ya pili ambao wewe ndio un akuhusu khasa!.
Pasco.
 
Mkuu Zomba, asante na kwa hili la kanzu, kumbe ni za asili kabisa, yaani kunyumba alikotokea Sultan!.

Mimi mwenyewe nimekaa kidogo Doha, Dubai na India nikitamani kununua kanzu, ili sikuwahi, ila katika pita pita zangu jijini, nikakutana na kanzu nzuri pale Msikiti wa Magomeni, nikanunua moja nzuri pale Msikiti wa Magomeni, na nina watoto wangu wa kiume wote pia nimewanunulia kanzu hapo, huzivaa siku za iddi na maulid, ila zizijui zimetoka wapi, usikute nazo pia ni za Oman!.

Hata Yesu alivaa kanzu, makasisi wetu huvaa kanzu, mastita wa Katoliki huvaa hijab tukiziita leso etc.
Hizi hoja kama za kanzu na zile zulia, nadhani ndizo hoja zilizobakia kujadili kwenye mnakasha huu na ili kuutendea haki, lazima tuunganishe na mada kuwa itakuwa ni ama Waziri Mkuu licha ya kuvaa suti pale UN pia alibeba na kanzu yake na Msala wa Persia!.

Ahasanta.
Pasco.

Haya nipe majibu yangu sasa, Karume "mtwana" alimuoa lini Fatma muungwana? au unataka kuongelea mapinduzi na Muungano na utwana na uungwana na mfano hai unao unaupiga chenga.

Nilkuasa humu uache ujeuri ukakataa na bado naona unaendeleza lugha zako za kejeli. Nakuasa tena, watu lugha hizo hizo twazijua vilivyo, tuendelee.

Vipi kuhusu kubadilika kwa taa za neon, unaonaje ukianzisha hiyo biashara kwa dada zetu kwani umebadilika sana kwenye picha.
 
Pasco nani kakwambia mie nna watu JF?
Maalim Mohomed Said, unaweza kuwa wewe hujijui, ila heshma kubwa uliojijengea hadi kina sisi wakti wote tunakuita Maalim, kunapelekea michango yako kuwa na ufuasi mkubwa. Niliwahi kukuambia una "powers" fulani hivyo kitu ukisema sicho, wotw wanaamini sicho!, usingejitokeza wewe kwenye uzu huu, wala huku tulikofika tusingefika, ningeisha zihitimisha hija zangu kwa kukosekana majibu, saa hizi tungalikuwa sehemu ya pili zamani!.

Unajua fika kuwa you comda very high respect kwa wachangia wa mrengo fulani!, ukiona wanafanya sivyo, ukisema wewe wataacha!. Ukiona wanakwenda ndivyo sivyo, ukinyamaza ndio kwanza watazidi!. Uwezo wa kuwadhibiti, unao, labda liwe ni suala la uamuzi uwadhibiti au la!.

Ila mi mi pia ni mwelewe sana, hata ukiamua kuchukua uamuzi wa kutowadhibiti, pia bado nitakuelewa dhamira yako hivyo badositatiziki kabisa kwa sababu tofauti kubwa kati yetu ni "the motive behind!".

Mkuu Zomba, la Karume na Fatma niliisha lijibu kule wala silijibu tena!, jibu ndilo lile!.
Hili la taa za neon, mtu inabidi uwe ulimiona kwa macho kabla, ukamuona kwenye screen , then ukamiona tena kwa macho ndipo utaweza kufanya conclusive kuwa amebadilika rangi!. Kama ni Pasco mimi wa jf, sijawahi kubadili rangi yangu hata mara moja!. Ukiondoa climatic change ninapoishi kwenye mazingira ya baridi, kuna wakati niliishi six months Uswisi wakati wa baridi, niliporudi walinishangaa nimekuwa mweusi, rangi yangu ya asili mimi ni maji ya kunde, sijawahi kujipaka kitu chochote labda nikiwa Arusha au Dodoma hutumia vaseline kidogo kuepusha kichwa kutoka magamba ya dehdration!. Kama unanidhania uliniona zamani nikiwa mweusi sasa mweupe, utakuwa umenichanganya!.

NB hata yule mwenezi wa chama fulani, naamini ule weupe ni climatic change ya kukaa ofisi ye nye AC, gari yenye AC, na nyumba yenye AC!, mimi usafiri wangu ni boda boda daima dumu, nikibadili ni bajaj!, ofisi yangu ni kitaa, nyumbani joto linizidia natumia gazeti!.
Pasco
 
Inshaalah Maalim Mohomad Said nimekuelewa!.
Kiukweli tunatofautiana sana staha kati ya baadhi ya sisi wabara na watu walistaarabika!
Nakumbuka nikiwa mdogo kuna wakti nilikunikiambiwa "Kuwa Mtaarabu kama Mwarabu!".
Kiukweli mimi na huyo binti wa Kiarabu hatukuvuka mpaka wowote!, kinyume cha maadili!.
Watu wananisakama bure, kunitusi, na mengine chungu nzima!, haya hayanitatizi, natatizwa na wale wanaingiza dini moja kujustify udhalimu uliofanyika na kuitumia mistari ya dini ile kama reference as if ule udhalifu ndio ulifanyika kufuata mafundisho hayo!.
Wakanye viijana wako, tuufunge huu mnakasha, niufungue ule wa sehemu ya pili ambao wewe ndio un akuhusu khasa!.
Pasco.

Ukiufunga ukifunguwa mwingine, sisi tupo hapa. Labda uje kwa staha na si kutufanyia mzaha na kejeli za kireja-reja. Hii lugha wewe pengine ni ya pili kwako, ya nyumbani ni nyingine, wengine tumezaliwa na Kiswahili, Unafikiri unapotukejeli kireja reja hatuoni? au bado tu haija ku click ni watu wa aina ipi unaoongea nao humu? Tukianza na sisi kuweka list ya dada na mama zako utapaona pachungu hapa, tena kwa picha.

Ndio maana ukaambiwa wewe intellect yako ni nil. Hata neno "ustaarabu" basi halikustuwi mishipa yako ya fahamu ukatanabahi limetokana na nini mpaka ufafanuliwe na wazee wako? amma kweli, huyu ndie mwandishi wa Kitanzania.

Na ulipowataja mabinti wa gerezani ulipokuwa RTD nayo ilikuwa si kuvunjia watu heshima kireja-reja huko?

Na uliposifia watu kubakwa na kuwa ni moja ya "utukufu" uuonao wewe, yote hiyo ulikuwa hujui kuwa umeanza ku provoke watu kwa makusudi kabisa?
 
Maalim Mohomed Said, unaweza kuwa wewe hujijui, ila heshma kubwa uliojijengea hadi kina sisi wakti wote tunakuita Maalim, kunapelekea michango yako kuwa na ufuasi mkubwa. Niliwahi kukuambia una "powers" fulani hivyo kitu ukisema sicho, wotw wanaamini sicho!, usingejitokeza wewe kwenye uzu huu, wala huku tulikofika tusingefika, ningeisha zihitimisha hija zangu kwa kukosekana majibu, saa hizi tungalikuwa sehemu ya pili zamani!.

Unajua fika kuwa you comda very high respect kwa wachangia wa mrengo fulani!, ukiona wanafanya sivyo, ukisema wewe wataacha!. Ukiona wanakwenda ndivyo sivyo, ukinyamaza ndio kwanza watazidi!. Uwezo wa kuwadhibiti, unao, labda liwe ni suala la uamuzi uwadhibiti au la!.

Ila mi mi pia ni mwelewe sana, hata ukiamua kuchukua uamuzi wa kutowadhibiti, pia bado nitakuelewa dhamira yako hivyo badositatiziki kabisa kwa sababu tofauti kubwa kati yetu ni "the motive behind!".
Pasco.

Man,

You must be so so craizy,,

Sisi hatujaletwa na Moh Said humu JF,ukiangalia hapo juu moh said yupo humu tokea 2008 sisi wengine tumeingia na kujiunga humu hivi majuz tuh,so unapokuja na maneno yako ya kushindwa shindwa na kufail kusimamia hoja zako usilete umaruhun wako wa kumwambia Moh Said awakanye vijana wake...!!

Kila mtu kaja kujuinga JF jamii forum kwa mapenz yake,au wewe unadhani sisi tumejiunga JF kwa mission maalum kama wewe,ya kubwabwaja bwabwaja na kuchuku unga wa dona kwa familia yako??sisi tumekuja humu bila kushikiwa akili na mtu yeyote...

Na hii wewe sio wa kwanza sana nakuskia ukilisema kwamba ongea na vijana wako ongea na vijana wako,vipi misumali imekuwa ya moto sana hadi unaamua kumwaga chozi??wewe ndie wa kwanza kutoka nje ya mada kuu na kuanza kulete kejeli na matusi,,

Yan unaambiwa ulichotuambia kisha unakimbilia polisi??

Acha mambo yako ya kitoto wewe,wewe hoja zimekuishia umeanza kuleta viroja??wewe hata ukishitaki kwa nani sisi tutakula sahan moja na wewe,,,hadi tukomeshe biashara hii ya utumwa ya vikaragosi kama nyinyi...

Wewe kama unaona majiti ya moyo tunayokupa ni makali na umeshindwa kuvumilia usikmbilie kwa Moh Said,

Mods wapo,nenda karipoti sheria ichukue mkondo wake,ila kama unadhani sisi tutakaa kimya kuacha watu stupid kama wewe mkifanya upotoshaji na kujigamba kwa ujinga wenu YOU BETTER THINK TWICE...!!
 
Ukiufunga ukifunguwa mwingine, sisi tupo hapa. Labda uje kwa staha na si kutufanyia mzaha na kejeli za kireja-reja. Hii lugha wewe pengine ni ya pili kwako, ya nyumbani ni nyingine, wengine tumezaliwa na Kiswahili, Unafikiri unapotukejeli kireja reja hatuoni? au bado tu haija ku click ni watu wa aina ipi unaoongea nao humu? Tukianza na sisi kuweka list ya dada na mama zako utapaona pachungu hapa, tena kwa picha.

Ndio maana ukaambiwa wewe intellect yako ni nil. Hata neno "ustaarabu" basi halikustuwi mishipa yako ya fahamu ukatanabahi limetokana na nini mpaka ufafanuliwe na wazee wako? amma kweli, huyu ndie mwandishi wa Kitanzania.

Na ulipowataja mabinti wa gerezani ulipokuwa RTD nayo ilikuwa si kuvunjia watu heshima kireja-reja huko?

Na uliposifia watu kubakwa na kuwa ni moja ya "utukufu" uuonao wewe, yote hiyo ulikuwa hujui kuwa umeanza ku provoke watu kwa makusudi kabisa?

I asked Pasco,who taught him to bleach his face so as he can resemble with a white lady??

Who taught him to dispise himself?

Eti anakimbilia kwa moh said na kumwaga chozi,sijui itamsaidia nini,,kwan ni uongo kuwa kachubua sura yake??
 
Mkuu Zomba, la Karume na Fatma niliisha lijibu kule wala silijibu tena!, jibu ndilo lile!.
Hili la taa za neon, mtu inabidi uwe ulimiona kwa macho kabla, ukamuona kwenye screen , then ukamiona tena kwa macho ndipo utaweza kufanya conclusive kuwa amebadilika rangi!. Kama ni Pasco mimi wa jf, sijawahi kubadili rangi yangu hata mara moja!. Ukiondoa climatic change ninapoishi kwenye mazingira ya baridi, kuna wakati niliishi six months Uswisi wakati wa baridi, niliporudi walinishangaa nimekuwa mweusi, rangi yangu ya asili mimi ni maji ya kunde, sijawahi kujipaka kitu chochote labda nikiwa Arusha au Dodoma hutumia vaseline kidogo kuepusha kichwa kutoka magamba ya dehdration!. Kama unanidhania uliniona zamani nikiwa mweusi sasa mweupe, utakuwa umenichanganya!.

NB hata yule mwenezi wa chama fulani, naamini ule weupe ni climatic change ya kukaa ofisi ye nye AC, gari yenye AC, na nyumba yenye AC!, mimi usafiri wangu ni boda boda daima dumu, nikibadili ni bajaj!, ofisi yangu ni kitaa, nyumbani joto linizidia natumia gazeti!.
Pasco

Naona umekuwa mpole sana,sisi wengine wala hatuna haja ya kukuuliza maswali,tutakutia majiti ya moyo na kukudharayu tuh,kwan kama ni kudharaulika ulishadharaulika tayari,huna hoja,huna mrejesho wa ulichoulizwa...

Umebakia na ngonjera zako tuh,huna adabu,na watu wajinga kama nyinyi mkikaliwa kimya bila kuchanwa watu huwa wanadhani kama ni waerevu kumbe ni wehu wehu flan hivi na wachovu wa maisha,,,,

Shukuruni sana JF nyinyi macheckbob,sijui mngepata wapi nafasi ya kuweka vkao na wanaume wa shoka namna hii..

You must be thankful,ila naona mnaitumia vibaya sana nafasi hii
 
Back
Top Bottom