Miaka 55 ya BAKWATA: Tujikumbushe Historia Yake na Yaliyotokea October - December 1968

Clip iliwapendeza sana walioisikia.
Wewe unakuja na haya ya mimi nihamie Somalia?
Kwa kuwa unaona tusio waislamu hatufai kuishi Tanzania. Maana kila jema wadai wslifanya wazazi wako wa Kariakoo na Kipata
 
Stux...
Mada yetu hapa ni historia ya uhuru wa Tanganyika.

Ukitaka tuzungumze MUM niko tayari fungua uzi mpya.
Jibu hapahapa tukukabili. Huo uzi mwingine wa kazi gani? Kama una hoja kuhusu mafanikio ya MUM unashindwaje kuziweka hapa?
 
Yehoda,
Ungefungua uzi wa MUM tukajadili hapa uzi huu si mahali pake.
Funguka hapa hapa Mzee Said,kwanini chuo cha kiislam Morogoro kimeshindwa kustawi kwa miaka 20 sasa? Imekuaje waislam wameshindwa kuji-organise waweze kuwekeza kwenye afya na elimu? Nyerere mpaka leo bado amewanyima vibali?

Hakuna hospital kubwa za waislam,mashule,vyuo,bank nk. Waislam sio minority Tanzania ni almost 50% ya raia,hata Zanzibar hapo ambapo hakuna mfumo Kristo changamoto ni kama bara.
 
Jibu hapahapa tukukabili. Huo uzi mwingine wa kazi gani? Kama una hoja kuhusu mafanikio ya MUM unashindwaje kuziweka hapa?
Stux...
Itapendeza MUM wenyewe wawepo wakipenda ndiyo nasema fungua uzi.
Hapa ni BAKWATA na historia yao.
 
Ipya...
Funguka hapa hapa Mzee Said,kwanini chuo cha kiislam Morogoro kimeshindwa kustawi kwa miaka 20 sasa? Imekuaje waislam wameshindwa kuji-organise waweze kuwekeza kwenye afya na elimu? Nyerere mpaka leo bado amewanyima vibali?

Hakuna hospital kubwa za waislam,mashule,vyuo,bank nk. Waislam sio minority Tanzania ni almost 50% ya raia,hata Zanzibar hapo ambapo hakuna mfumo Kristo changamoto ni kama bara.
Funguka hapa hapa Mzee Said,kwanini chuo cha kiislam Morogoro kimeshindwa kustawi kwa miaka 20 sasa? Imekuaje waislam wameshindwa kuji-organise waweze kuwekeza kwenye afya na elimu? Nyerere mpaka leo bado amewanyima vibali?

Hakuna hospital kubwa za waislam,mashule,vyuo,bank nk. Waislam sio minority Tanzania ni almost 50% ya raia,hata Zanzibar hapo ambapo hakuna mfumo Kristo changamoto ni kama bara.
Ipya...
Mimi sina taarifa hizo kuwa chuo hakina ustawi.

Wewe unazo.

Fungua uzi mpya wa hii mada bila shaka kuna maswali utaulizwa na utapata fursa ya kueleza hayo.
 
Hata website yao haifanyi kazi .
 
Hata website yao haifanyi kazi .
Ipya...
Ahsante kwa taarifa.

Katika miaka 5 iliyopita nimealikwa mara 3 MUM kuzungumza na wanafunzi.

Mwaka wa 2018 nilifanya mhadhara kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika mwezi June kisha nikaalikwa tena mwezi October katika Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Kifo Cha Abdul Sykes baada ya mhadhara nilkzungumza na waandishi wa habari.

Ukumbi ulijaa wanafunzi na starehe kubwa ilikuwa katika maswali na majibu kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.

Usiku nilifanya mahojiano MUM FM kipindi ambacho kilkikuwa mubashara na kulikuwa na maswali na majibu.

Sikuona kitu chochote cha kuonyesha kuwa chuo hakikuwa sawa.

Mwaka wa 2021 nilialikwa tena MUM kuzindua kitabu changu: ''Rajabu Ibrahim Kirama: Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam.''

Ukumbi ulijaa wanafunzi na kama kawaida kipindi cha maswali na majibu kilinichangamsha sana.

Sikuona chochote ambacho kiliashiria kuwa chuo hakiendeshwi vyema.

View: https://youtu.be/hPnI84v2r0g

1703713359015.jpeg

Prof. Mussa Assad akizindua kitabu cha Maisha ya Rajab Kirama

Funguka hapa hapa Mzee Said,kwanini chuo cha kiislam Morogoro kimeshindwa kustawi kwa miaka 20 sasa? Imekuaje waislam wameshindwa kuji-organise waweze kuwekeza kwenye afya na elimu? Nyerere mpaka leo bado amewanyima vibali?

Hakuna hospital kubwa za waislam,mashule,vyuo,bank nk. Waislam sio minority Tanzania ni almost 50% ya raia,hata Zanzibar hapo ambapo hakuna mfumo Kristo changamoto ni kama bara.
Ipyax,
Hebo soma hayo hapo chini:

TUJIKUMBUSHE

Waislam wa Tanzania na Tatizo la Udini Katika Wizara ya Elimu.

Ndugu Waziri,
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na maswali mengi wakijiuliza Waislamu, moja likiwa inakuwaje katika maeneo yenye Waislamu wengi ambapo idadi ya wanafunzi Waislamu inakuwa zaidi ya asilimia 70, lakini wanapochaguliwa kwenda sekondari, idadi ya watoto wa Kiislamu huporomoka na kuwa chini ya asilimia 20.

Swali na kitendawili hiki kimekuwepo kwa muda mrefu bila kupatiwa majibu.

Hata lilipofikishwa Bungeni mwaka 1999 na aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni, Mzee Kitwana Selemani Kondo, bado halikupatiwa jibu.

Akihoji juu hali hiyo, Mzee Kitwana Kondo alitoa mfano jinsi hali ilivyokuwa katika shule ya Pembamnazi iliyokuwa na Waislamu watupu na kwa miaka mingi mfululizo kulikuwa hakuna hata mtoto mmoja aliyekuwa akichaguliwa kwenda sekondari kutoka katika shule hiyo.

Aidha alisema kuwa, katika mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, takwimu zinaonyesha kuwa idadi ya watoto wa Kiislamu katika shule za msingi ilikuwa zaidi ya asilimia 70 lakini inapokuja kuchaguliwa kwenda sekondari, idadi ya Waislamu iliporomoka na kuwa chini ya asilimia 20.

Akizungumza Bungeni tarehe 2 Februari, 1999 alisema kuwa katika watoto waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka 1998, idadi ya Waislamu ilikuwa asilimia 71 na Wakristo 29%. Hata hivyo akasema, ilipotoka orodha ya waliochaguliwa kwenda sekondari, idadi ya Wakristo ikawa asilimia 79 (79%) na Waislamu 21%.

Je, hiyo ilikuwa na maana kuwa watoto wa Kiislamu kwa asili yao hawana akili?

Alitaka kujua Mzee Kitwana Kondo. Lakini hakuweza kupata jibu.

Mheshimiwa Waziri,
Ni wazi kuwa Waziri wa Elimu au Waziri Mkuu ambaye ndiye msimamizi wa mambo ya serikali Bungeni asingeweza kutoa majibu ya uhakika kwa sababu swali lilihitaji kufanyika uchunguzi huru wa kina na makini kwanza.

Mheshimiwa Waziri,
Mwaka 1987 aliyekuwa Waziri wa Elimu, Profesa Kighoma Ali Malima, aliweka utaratibu mpya wa ufanyaji wa mtihani wa darasa la saba ambapo namba zilitumika toka kufanya mtihani, kusahihisha na kuchagua wanafunzi wa kwenda kidato cha kwanza.

Namba zilivishwa majina baada ya taratibu zote hizo kukamilika. Mwaka huo idadi ya watoto wa Kiislamu waliokwenda kidato cha kwanza iliongezeka kwa asilimia 40 ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

Hata hivyo, mara aliondolewa Waziri Malima katika wizara hiyo na utaratibu wa zamani ukarejeshwa ambapo yalikuwa yakichaguliwa majina na idadi ya Waislamu ikaporomoka na kurudi chini ya asilimia 20.

Mheshimiwa Waziri,
Hali kama hii hapana shaka inazua maswali mengi ambayo yanahitaji majibu na majibu hayo hayawezi kupatikana bila ya kufanyika uchunguzi.

Labda tuongeze mifano ili kuliweka wazi zaidi jambo hili.

Mwaka 1983 mwanafunzi aliyekuwa akiitwa Kopa Abdallah akisoma katika shule ya msingi Kichangani, Kilosa, alikosa kuchaguliwa kwenda sekondari.

Yeye binafsi, wazazi wake na hata walimu wake hawakuamini matokeo yale kutokana na alivyokuwa akifanya vizuri kuliko wanafunzi wote.

Baadae ilikuja kugundulika kuwa nafasi yake alipewa mwanafunzi aliyekuwa akiitwa Antoni Samirani ambaye alikuwa na uwezo mdogo sana ikilinganiswa na Abdallah.

Kilichofanyika ni kuwa jina la Abdallah lilifichwa na baadae Antoni akapewa jina hilo kimya kimya na kwenda kusoma sekondari akitumia jina Abdallah wakati yeye ni Antoni.

Taarifa zinasema kuwa Kopa Abdallah alipogundua hakuweza kufanya kitu akaishia kuwa dereva.

Hali kama hiyo ilimkuta pia Adam Ramadhani aliyekuwa akisoma shule ya msingi Rutihinda jijini Dar es Salaam na kumaliza darasa la saba mwaka 1999. Yalipotoka matokeo ya mtihani wa darasa la saba na kuonekana kuwa Adam hakuchaguliwa, baba yake hakuamini kuwa mtoto wake anaweza kufeli kutokana na uwezo aliokuwa nao na zaidi akitizama walivyochaguliwa watoto ambao Adam alikuwa mwalimu wao shuleni na mitaani.

Katika kufuatilia suala hilo wizarani, ilikuwa aibu kwa wizara baada ya kuonekana kuwa walichaguliwa watoto wa Kikristo wenye alama za chini kabisa huku akiachwa Adam Ramadhani aliyekuwa na alama za juu kuliko wote.

Mheshimiwa Waziri,
Mifano kama hii ni mingi mno na ipo katika ngazi zote kwa maana kutoka elimu ya msingi kwenda sekondari, kutoka kidato cha nne kwenda kidato cha tano na kutoka kidato cha sita kwenda Chuo Kikuu.

Kwamba hata kutoka kidato cha nne kwenda kidato cha tano, wapo watu waliopata kushuhudia majina ya wanafunzi wa Kiislamu yakiwekwa pembeni japo walikuwa na sifa za kuchaguliwa.

Mheshimiwa Waziri,
Ukiacha hujuma katika kuwaacha wanafunzi Waislamu wenye sifa kuendelea na masomo, matatizo huanzia kwenye kuamua nani amefaulu na nani kafeli.

Tuhuma zilizopo ni kuwa wapo wanafunzi wanapewa madaraja ya juu wakati alama zao ni za chini na wapo wanaopewa madaraja ya chini wakati alama zao ni za juu.

Na hii ni kwa masomo yote.

Mheshimiwa Waziri,
Kumekuwa na utamaduni katika nchi hii wa kukataa ukweli.

Kufuatia uchunguzi uliofanywa na Kamati za Bunge, tumeshuhudia wizi na ufisadi wa kutisha ukifichuliwa Bungeni hivi karibuni hali iliyopelekea mpaka Mheshimiwa Rais kubadili Baraza lake la Mawaziri.

Sasa baada ya kuyasema yote hayo, tunasema kuwa Baraza la Mitihani la Tanzania, limekuwa likilalamikiwa kwa zaidi ya miaka 30, lakini malalamiko hayo yamekuwa yakipokewa kwa sikio la uziwi.

Imefikia mahali tunasema kuwa hatuna tena imani na Baraza hilo.

Mheshimiwa Waziri,
Ili kupata ukweli wa malalamiko na shutuma hizi, na ili kujibu lile swali juu ya watoto wa Kiislamu ambalo halikupata jibu Bungeni, tunaitaka serikali kufanya yafuatayo:

1. Tume huru iundwe kuchunguza Baraza la Mitihani la Tanzania na utendaji wake kazi kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita.

2. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA) ajiuzulu mara moja ili kulinda heshima ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaani na Baraza la Mitihani.

Watendaji wakuu wa kitengo cha mitihani na wanaohusika na mfumo wa Kumputa ya Baraza la Mitihani nao wawajibishwe mara moja.

3. Hatua za kisheria na kibinadamu zichukuliwe dhidi ya watumishi wa Baraza la Mitihani watakaothibitika kuhusika na kashfa hii.

4. Muundo wa Baraza la Mitihani uzingatie uwiano wa kidini, kitendo cha chombo nyeti kama hiki kujazana watu wa dini moja kunaliondolea Baraza la Mitihani sura ya kitaifa, kwani takwimu zinaonyesha Makatibu Wakuu Watendaji na Manaibu Katibu Wakuu wamekuwa Wakristo na Wenyeviti wa Baraza hilo ni Wakristo tangu lilipoanzishwa mwaka 1973, mpaka hii leo na takwimu tunazo.

Mheshimiwa Waziri,
Tunaomba ieleweke kuwa tunachotaka ni kupatikana haki na kufanyika uadilifu kwa watu wote.

Hatudai wala hatutaki upendeleo kwa Waislamu na wala hatutaki kuona mtu yeyote anaonewa au kuporwa haki yake, awe Mwislamu au mtu wa dini nyingine.

Tunachoamini ni kuwa kama Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi haina cha kuficha, basi itaunda Tume hiyo kwa haraka na kuhakikisha kuwa ni Tume ya kuaminika itakayofanya kazi yake kwa umakini, kwa kina na kwa uadilifu wa hali ya juu kabisa.

Lakini kama Wizara yako itaona kuwa haiwezi kuunda Tume ya uchunguzi, tunacho kuhakikishia ni kuwa sisi tutafanya kila liwezekanalo na kwa namna yoyote kuhakikisha kuwa Tume hiyo inaundwa.

Na ikigundulika kuwa kuna hujuma zinafanyika katika utendaji wa Baraza, basi itabidi uwajibikaji uanze kwenye Wizara kabla ya kuwawajibisha watendaji wa Baraza la Mitihani.

Ni imani yetu kuwa utayapokea madai ya Waislamu na kuyafanyia kazi kwa umakini na kwa haraka ili kujenga mustakbali mwema wa nchi hii na watu wake.

Tunaomba kuwasilisha,

Mwenyekiti,
Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu
 
Bado hauko sahihi, waislamu wengi wana iunga mkono BAKWATA, nenda kwenye ofisi za BAKWATA Temeke uone zilivyofurika waislsmu kwa ajili ya matatizo yao ya ndoa na mirathi, hakuna taasisi ya waislamu yenye nguvu zaidi ya BAKWATA, usipindishe ukweli
Duh inaonekana hauelewi mkuu

Watu kupata huduma pale haimaanishi ni kupenda inaweza kuwa sababu ni lazima pale hakuna kwingineko. Wewe ukihitaji visa saivi bila kwenda uhamiaji utaipata wapi kwingine?
 
Mkuu hoja za mzee zimejaa aibu na matusi dhidi ya umoja na amani ya nchi hii,hujui ni madhara gani au ni malengo gani makubwa aliyonayo huyu mzee dhidi ya umoja na amani ya nchi hii,anataka kuleta utengano na chuki za kidini baina ya watanzania.

Sio wa kuvumilia wala wa kuchekea,tunamjibu mpumbafu sawa na upumbafu wake

Hata hekima na maarifa sio umri,kuna wazee wajinga na wapumbafu pia.

Wewe unafikiri huyu Mzee mjinga kumbe ana akili yake ; huoni kuwa anafanya marketing ya vitabu vyake?
 
Bulesi,
Sijapata hata siku moja kufanya marketing ya vitabu vyangu.

Vitabu vilivyochapwa na Oxford University Press, Nairobi hapa nyumbani havipatikani kabisa lakini Oxford wana idara kubwa ya masoko hawahitaji mwandishi kukitangaza kitabu chake.

Kitabu cha Abdul Sykes hakinihitaji mimi kukitangaza.
 
Ipyax,
Hebo soma hayo hapo chini:

TUJIKUMBUSHE

Waislam wa Tanzania na Tatizo la Udini Katika Wizara ya Elimu.

Ndugu Waziri,
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na maswali mengi wakijiuliza Waislamu, moja likiwa inakuwaje katika maeneo yenye Waislamu wengi ambapo idadi ya wanafunzi Waislamu inakuwa zaidi ya asilimia 70, lakini wanapochaguliwa kwenda sekondari, idadi ya watoto wa Kiislamu huporomoka na kuwa chini ya asilimia 20.

Swali na kitendawili hiki kimekuwepo kwa muda mrefu bila kupatiwa majibu.

Hata lilipofikishwa Bungeni mwaka 1999 na aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni, Mzee Kitwana Selemani Kondo, bado halikupatiwa jibu.

Akihoji juu hali hiyo, Mzee Kitwana Kondo alitoa mfano jinsi hali ilivyokuwa katika shule ya Pembamnazi iliyokuwa na Waislamu watupu na kwa miaka mingi mfululizo kulikuwa hakuna hata mtoto mmoja aliyekuwa akichaguliwa kwenda sekondari kutoka katika shule hiyo.

Aidha alisema kuwa, katika mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, takwimu zinaonyesha kuwa idadi ya watoto wa Kiislamu katika shule za msingi ilikuwa zaidi ya asilimia 70 lakini inapokuja kuchaguliwa kwenda sekondari, idadi ya Waislamu iliporomoka na kuwa chini ya asilimia 20.

Akizungumza Bungeni tarehe 2 Februari, 1999 alisema kuwa katika watoto waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka 1998, idadi ya Waislamu ilikuwa asilimia 71 na Wakristo 29%. Hata hivyo akasema, ilipotoka orodha ya waliochaguliwa kwenda sekondari, idadi ya Wakristo ikawa asilimia 79 (79%) na Waislamu 21%.

Je, hiyo ilikuwa na maana kuwa watoto wa Kiislamu kwa asili yao hawana akili?

Alitaka kujua Mzee Kitwana Kondo. Lakini hakuweza kupata jibu.

Mheshimiwa Waziri,
Ni wazi kuwa Waziri wa Elimu au Waziri Mkuu ambaye ndiye msimamizi wa mambo ya serikali Bungeni asingeweza kutoa majibu ya uhakika kwa sababu swali lilihitaji kufanyika uchunguzi huru wa kina na makini kwanza.

Mheshimiwa Waziri,
Mwaka 1987 aliyekuwa Waziri wa Elimu, Profesa Kighoma Ali Malima, aliweka utaratibu mpya wa ufanyaji wa mtihani wa darasa la saba ambapo namba zilitumika toka kufanya mtihani, kusahihisha na kuchagua wanafunzi wa kwenda kidato cha kwanza.

Namba zilivishwa majina baada ya taratibu zote hizo kukamilika. Mwaka huo idadi ya watoto wa Kiislamu waliokwenda kidato cha kwanza iliongezeka kwa asilimia 40 ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

Hata hivyo, mara aliondolewa Waziri Malima katika wizara hiyo na utaratibu wa zamani ukarejeshwa ambapo yalikuwa yakichaguliwa majina na idadi ya Waislamu ikaporomoka na kurudi chini ya asilimia 20.

Mheshimiwa Waziri,
Hali kama hii hapana shaka inazua maswali mengi ambayo yanahitaji majibu na majibu hayo hayawezi kupatikana bila ya kufanyika uchunguzi.

Labda tuongeze mifano ili kuliweka wazi zaidi jambo hili.

Mwaka 1983 mwanafunzi aliyekuwa akiitwa Kopa Abdallah akisoma katika shule ya msingi Kichangani, Kilosa, alikosa kuchaguliwa kwenda sekondari.

Yeye binafsi, wazazi wake na hata walimu wake hawakuamini matokeo yale kutokana na alivyokuwa akifanya vizuri kuliko wanafunzi wote.

Baadae ilikuja kugundulika kuwa nafasi yake alipewa mwanafunzi aliyekuwa akiitwa Antoni Samirani ambaye alikuwa na uwezo mdogo sana ikilinganiswa na Abdallah.

Kilichofanyika ni kuwa jina la Abdallah lilifichwa na baadae Antoni akapewa jina hilo kimya kimya na kwenda kusoma sekondari akitumia jina Abdallah wakati yeye ni Antoni.

Taarifa zinasema kuwa Kopa Abdallah alipogundua hakuweza kufanya kitu akaishia kuwa dereva.

Hali kama hiyo ilimkuta pia Adam Ramadhani aliyekuwa akisoma shule ya msingi Rutihinda jijini Dar es Salaam na kumaliza darasa la saba mwaka 1999. Yalipotoka matokeo ya mtihani wa darasa la saba na kuonekana kuwa Adam hakuchaguliwa, baba yake hakuamini kuwa mtoto wake anaweza kufeli kutokana na uwezo aliokuwa nao na zaidi akitizama walivyochaguliwa watoto ambao Adam alikuwa mwalimu wao shuleni na mitaani.

Katika kufuatilia suala hilo wizarani, ilikuwa aibu kwa wizara baada ya kuonekana kuwa walichaguliwa watoto wa Kikristo wenye alama za chini kabisa huku akiachwa Adam Ramadhani aliyekuwa na alama za juu kuliko wote.

Mheshimiwa Waziri,
Mifano kama hii ni mingi mno na ipo katika ngazi zote kwa maana kutoka elimu ya msingi kwenda sekondari, kutoka kidato cha nne kwenda kidato cha tano na kutoka kidato cha sita kwenda Chuo Kikuu.

Kwamba hata kutoka kidato cha nne kwenda kidato cha tano, wapo watu waliopata kushuhudia majina ya wanafunzi wa Kiislamu yakiwekwa pembeni japo walikuwa na sifa za kuchaguliwa.

Mheshimiwa Waziri,
Ukiacha hujuma katika kuwaacha wanafunzi Waislamu wenye sifa kuendelea na masomo, matatizo huanzia kwenye kuamua nani amefaulu na nani kafeli.

Tuhuma zilizopo ni kuwa wapo wanafunzi wanapewa madaraja ya juu wakati alama zao ni za chini na wapo wanaopewa madaraja ya chini wakati alama zao ni za juu.

Na hii ni kwa masomo yote.

Mheshimiwa Waziri,
Kumekuwa na utamaduni katika nchi hii wa kukataa ukweli.

Kufuatia uchunguzi uliofanywa na Kamati za Bunge, tumeshuhudia wizi na ufisadi wa kutisha ukifichuliwa Bungeni hivi karibuni hali iliyopelekea mpaka Mheshimiwa Rais kubadili Baraza lake la Mawaziri.

Sasa baada ya kuyasema yote hayo, tunasema kuwa Baraza la Mitihani la Tanzania, limekuwa likilalamikiwa kwa zaidi ya miaka 30, lakini malalamiko hayo yamekuwa yakipokewa kwa sikio la uziwi.

Imefikia mahali tunasema kuwa hatuna tena imani na Baraza hilo.

Mheshimiwa Waziri,
Ili kupata ukweli wa malalamiko na shutuma hizi, na ili kujibu lile swali juu ya watoto wa Kiislamu ambalo halikupata jibu Bungeni, tunaitaka serikali kufanya yafuatayo:

1. Tume huru iundwe kuchunguza Baraza la Mitihani la Tanzania na utendaji wake kazi kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita.

2. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA) ajiuzulu mara moja ili kulinda heshima ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaani na Baraza la Mitihani.

Watendaji wakuu wa kitengo cha mitihani na wanaohusika na mfumo wa Kumputa ya Baraza la Mitihani nao wawajibishwe mara moja.

3. Hatua za kisheria na kibinadamu zichukuliwe dhidi ya watumishi wa Baraza la Mitihani watakaothibitika kuhusika na kashfa hii.

4. Muundo wa Baraza la Mitihani uzingatie uwiano wa kidini, kitendo cha chombo nyeti kama hiki kujazana watu wa dini moja kunaliondolea Baraza la Mitihani sura ya kitaifa, kwani takwimu zinaonyesha Makatibu Wakuu Watendaji na Manaibu Katibu Wakuu wamekuwa Wakristo na Wenyeviti wa Baraza hilo ni Wakristo tangu lilipoanzishwa mwaka 1973, mpaka hii leo na takwimu tunazo.

Mheshimiwa Waziri,
Tunaomba ieleweke kuwa tunachotaka ni kupatikana haki na kufanyika uadilifu kwa watu wote.

Hatudai wala hatutaki upendeleo kwa Waislamu na wala hatutaki kuona mtu yeyote anaonewa au kuporwa haki yake, awe Mwislamu au mtu wa dini nyingine.

Tunachoamini ni kuwa kama Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi haina cha kuficha, basi itaunda Tume hiyo kwa haraka na kuhakikisha kuwa ni Tume ya kuaminika itakayofanya kazi yake kwa umakini, kwa kina na kwa uadilifu wa hali ya juu kabisa.

Lakini kama Wizara yako itaona kuwa haiwezi kuunda Tume ya uchunguzi, tunacho kuhakikishia ni kuwa sisi tutafanya kila liwezekanalo na kwa namna yoyote kuhakikisha kuwa Tume hiyo inaundwa.

Na ikigundulika kuwa kuna hujuma zinafanyika katika utendaji wa Baraza, basi itabidi uwajibikaji uanze kwenye Wizara kabla ya kuwawajibisha watendaji wa Baraza la Mitihani.

Ni imani yetu kuwa utayapokea madai ya Waislamu na kuyafanyia kazi kwa umakini na kwa haraka ili kujenga mustakbali mwema wa nchi hii na watu wake.

Tunaomba kuwasilisha,

Mwenyekiti,
Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu
Haya yamekua yakitokea vipi wakati tumekua na miaka 20 ya Marais waisla (Mwinyi, Kikwete),tuna hii mingine ya Samia? Sasa hivi elimu biashara, uwekezaji wa taasisi za kiislam na waislam kwa ujumla kwenye huduma za kijamii ukoje?
 
Yametokea.
Serikali haiko tayari kutoa majibu.

Nina mengi naweza kukueleza muhimu ni wewe uwe tayari kusikiliza.

Marais Waislam hawakuchaguliwa kuchunguza watendaji Wakristo ndani ya serikali wana mchango gani katika matatizo haya yanayoelezwa na Waislam.

Endapo Rais Muislam ataingia madarakani na kuanza kuchunguza tatizo hili atakuwa anatengeneza tatizo kubwa zaidi linaloweza kuigawa nchi zaidi.

Hili la Waislam kuwekeza katika elimu hapa si mahali pake ila ningependa kukufahamisha kuwa baada ya kupatikana uhuru mwaka wa 1961 Mufti Sheikh Hassan bin Ameir alijiuzulu siasa na kuanzisha taasisi yake, "Daawat Islamiyya," yeye akiwa Mwenyekiti na Katibu wake Schneider Abdillah Plantan.

Sheikh Hassan bin Ameir akasema sababu ya yeye kujiuzulu siasa ni kuwaongoza Waislam katika kutafuta elimu kama alivyowaongoza katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

(Naamini inawezekana historia hii ninayokueleza ikakupa tabu kwani hujapata kuisoma popote kuwa Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir alikuwa mwanachama wa TANU na kapigania uhuru.

Schneider Plantan yeye ndiye aliyesimama mwaka wa 1950 kuutoa uongozi wa wazee katika TAA Rais ambae ni kaka yake, Thomas Plantan na Katibu Clement Mohamed Mtamila na kuingiza uongozi wa vijana Dr. Vedasto Kyaruzi kama President na Abdul Sykes Katibu).

Mwaka wa 1962 Sheikh Hassan bin Ameir akishirikiana na EAMWS wakaitisha Muslim Congress agenda kuu ikiwa elimu.

Hii Muislam Congress ndiyo iliyoweka mpango wa kujenga shule Tanganyika nzima na Chuo Kikuu na kazi ilianza mara moja.

Mwaka wa 1968 Rais Julius Nyerere akaweka jiwe la msingi kujenga Chuo Kikuu.

Miezi miezi michache baadae Rais Nyerere akaivunja EAMWS na kuunda BAKWATA.

Uwekezaji wa Waislam katika elimu na ujenzi wa Chuo Kikuu na shule ukakoma hapo.

Historia hii ni ndefu lakini naamini nimekujibu swali lako na umeelewa matatizo yanayowakabili Waislam.
 
Stunex,
Mimi silalamiki na laiti ningekuwa hivyo ningepata sifa ya ulalamishi.

Mimi nina heshima yangu katika utafiti wa historia ya Tanzania.

Kitabu nilichoandika cha Abdul Sykes kimebadilisha historia ya Julius Nyerere na historia ya uhuru wa Tanganyika.

Utafiti wa tatizo la elimu kwa Waislam limeonyesha yale ambayo waliokuwa wakifanya hujuma wamefahamika.

Nimeweka Research Papers hapa nilizowasilisha vyuo vikuu ndani na nje ya mipaka yetu bahati mbaya hajatokea mtu kati yenu aliyetaka kujadili paper hizi.

Kilicho chepesi kwenu ni uandishi wa jeuri na kejeli.

Stunex,
Mohamed Said kalamu yake haijadhalilisha Uislam.

Picha kutoka Maktaba yake zimethibitisha ukweli wa aandikayo.

Nimekuwekeeni hapa video clips mtazame.

Jukwaa zima likawa kimya.

Nimekuwekeeni clip hapa nazungumza Ikwiriri katika Bibi Titi Festival mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa naeleza yaliyotokea nyumbani kwa Ally Sykes Mtaa wa Kipata Nyerere alipokwenda kutoa taarifa kuwa Waingereza wamekataa kusajili TANU kwa kisingizio kuwa chama hakina wanachama.

Hiki kilikuwa kikao cha watu wanne siku ile: Mama mwenye nyumba Bi. Zainab mke wa Ally Sykes. Huyu Ally Sykes kadi yake ya TANU No. 2, Abdul Sykes kadi ya TANU No. 3 na Julius Nyerere kadi ya TANU No. 1 ya Territorial President wa TANU.

Katika kikao hiki cha kujadili usajili wa TANU nikamleta Said Chamwenyewe.

Huyu ndiye Mohamed Said.

Waziri Mkuu alipozungumza kufunga Bibi Titi Festival alisema historia ya kweli isomeshwe wanafunzi wawajue wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika.
Shida ipo huko huko kwenu
We jiulize tanzania viongozi
Wengi ni waslam ,wapo waislam
Wameshika nyadhifa kubwa na nyeti nchini
Haya,ukija kwenye orodha ya mabilionea waislam ndy wanaongoza
Sasa shida iko wapi
Kote huko mko vzr lakini bado unawalaumu wakristo

Wakati viongozi ambao walikuwa wakristo waobinafsi wamewafanyia
Waialam mambo mazuri tu
Mfano mkapa na magufuli

Labda nkulize tu mzee wangu mzee said,nyie/wewe mnatakaje yaani

Ova
 
Wewe ambae unajikuta unajua Sana unatuletea hadithi za abunuasi zisizokua kua na maana, unakuja kusema wali dhurumiwa ili iweje sasa[emoji848][emoji848] haya maandiko yako hayana maana hata kidogo kwenye ulimwengu tulio nao sasa hivi kakusanye wafia dini wenzio ukawahadithie hizo hadithi zako za abunuasi, tena unapaswa kuupuzwa kabisa huna maana
Walidhulumiwa au walijidhulumu wenyewe Mali zao hao

Ova
 
Mrangi,
Umeghadhibika sana.

Katika hali hii uliyonayo ya kutoa ufedhuli siwezi kufanya mjadala na wewe hadi ghadhabu zako zishuke chini.
Wala sijagadhabika mzee wangu
Ukweli tu nimeusema
Na hapo nlichosema najuwa ushauona ukweli

Ova
 
Historia ya waislam eeeeeh?Tutajie wasome watano wazalendo waliosomeshwa bure na taasisi za Agha Khan
Kwanini wasomeshwe bure?

Wewe unaonesha ulisomeshwa bure, au sivyo?

Mtu anaekupa elimu bure hakutakii mem, anakusomesha ujinga.
 
Back
Top Bottom