Miaka 55 ya uhuru kimya kimya.

Miaka 55 ya uhuru kimya kimya.

dustless

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
796
Reaction score
712
Nimekuwa nikitafakari, kumbe lili gwaride la kimya kimya lilibeba maana halisi ya tukio la leo uwanja wa taifa. Watu wamesherekea kimya kimya na wametawanyika kimya kimya.

Hata kwenye chapisho langu mpite kimya kimya.
 
Mie mbona nimesikia vishindo vya gwaride
 
Back
Top Bottom