Suppose kweli wakae pembeni, kuna nani wa kui replaces CCM?.Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari?
Na huu ndiyo huwa utetezi legevu/kakichaka ka kujifichia.Kinapoelezwa chama kwani huwa unafikiria nini?Wengi mnaojinasibisha na CCM mmechoka kiakili hadi kudhani bila ninyi nchi itabebwa na kimbunga.Nchi kubwa hii ikose mbadala wa CCM?Utani wenu umevuka viwango na kuwa matusi sasa!Suppose kweli wakae pembeni, kuna nani wa kui replaces CCM?.
P
ChademaSuppose kweli wakae pembeni, kuna nani wa kui replaces CCM?.
P
Hata kama CCM haifai huwezi kuwaachia Akina Mbowe aiseeKwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari?
Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60?
Sukari!! Aibu naona mimi.
Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
Basi endelea kuwaachia akina Samia wanaouza bandari kwa mwarabu, Mwigulu na Makamba wanaonunua makasri Dubai na akina Makonda wanaoteka na kuwawekea sumu watu.Hata kama CCM haifai huwezi kuwaachia Akina Mbowe aisee
Tatizo la nchi hii sio CCM mleta mada bali ni aina ya watu wanaopatikana katika hii nchi ndo tatizo. CCM kama chama hakikujiumba kilianzishwa na watu kama mimi na wewe, kanuni, taratibu na miongozo yote ilioko CCM iliwekwa na watu wanaopatikana katika nchi hii. Watu walioko CCM ambao wengine walishafariki na wengine kuzaliwa ndo hawahawa watu wanaopatikana katika vyama vingine kama CHADEMA, ACT ,CUF nk. Jamani si kuna wimbi la watu walitoka vyama vya upinzani kwenda CCM na wengine walitoka CCM kwenda upinzani lakini hakuna kilichobadilika coz tatizo la msingi ni lilelile(WATU).Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari?
Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60?
Sukari!! Aibu naona mimi.
Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
Kwa ukatili wanatufanya CCM wapo Watanzania wengi wanaweza kuongoza nchi kuliko hawa mafisadi ya CCM.Suppose kweli wakae pembeni, kuna nani wa kui replaces CCM?.
P
kwani ulaya na marekani walivyokua wakilalama kuhusu uhaba na gharama za gesi ilikua miaka 70 eeh🐒Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari?
Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60?
Sukari!! Aibu naona mimi.
Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
We jamaa kiazi aisee,hivi bado watu mna hizi mentality za kitoto?Suppose kweli wakae pembeni, kuna nani wa kui replaces CCM?.
P
Nini kifanyike?Tatizo la nchi hii sio CCM mleta mada bali ni aina ya watu wanaopatikana katika hii nchi ndo tatizo. CCM kama chama hakikujiumba kilianzishwa na watu kama mimi na wewe, kanuni, taratibu na miongozo yote ilioko CCM iliwekwa na watu wanaopatikana katika nchi hii. Watu walioko CCM ambao wengine walishafariki na wengine kuzaliwa ndo hawahawa watu wanaopatikana katika vyama vingine kama CHADEMA, ACT ,CUF nk. Jamani si kuna wimbi la watu walitoka vyama vya upinzani kwenda CCM na wengine walitoka CCM kwenda upinzani lakini hakuna kilichobadilika coz tatizo la msingi ni lilelile(WATU).
Mbuzi hata ukimvisha tai na suti kutoka brand maarufu na ghali duniani ataendelea kuwa mbuzi tu.
Ona sasa mawazo yako hayoSuppose kweli wakae pembeni, kuna nani wa kui replaces CCM?.
P
Mkuu wewe kama Mtanzania ambaye hii nchi ni yetu sote; hebu toa maoni yako nini kifanyike ili kuleta uatawi wa Taifa letu.Hata kama CCM haifai huwezi kuwaachia Akina Mbowe aisee
Alafu kuna mtu Anazunguka mikoa kibao na misafara yenye magari lukukiMwafrika hajawahi fanya jambo likawa na tija hasa katika tawala za kikandamizaji.Leo hii ni miaka 60 ya uhuru lakini watawala Kutwa kupanda ndege kwenda kuomba omba ughaibuni.
Mmeshindwa kutengeneza matundu ya vyoo uko kwenye mashule mambo ya sukari na mfumoko wa bei mtaweza ?
Ni muda sasa mkoloni Mweupe arudi Afrika kuleta mageuzi ya kweli sio hawa wanunua majumba Dubai.