CCm akikikaa pembeni embu tuambie hicho chama chenye afadhali ukiacha ccm? Vyama vingine ni kama mali ya mtu unategemea kweli kuna kitu wataleta kwa mwananchi wa kawaida?Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari?
Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60?
Sukari!! Aibu naona mimi.
Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
chawa watakuambia wanajivunia ongezeko la watuKwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari?
Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60?
Sukari!! Aibu naona mimi.
Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
Ule ndio ushirikina wa CCM wanaoutegemea kuendelea kutawala mazuzu.kinacho nishangaza mpaka leo tunatembeza mwenge
CCM ikae pembeni halafu nani atawale? Nawe akili zako za Mende sasa taja Mende gani atawale baada ya CCM kukaa pembeni? Nchi haiwezi kuishi kàma mende bila ya kuwa na chama tawala.Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari?
Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60?
Sukari!! Aibu naona mimi.
Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
Swali la kichawa hili. Grow Up Mkuu.Suppose kweli wakae pembeni, kuna nani wa kui replaces CCM?.
P
Sometimes mpunguze upumbavu humo vichwani mwenu. Wapinzani Gani washawahi kuendesha hii nchi mpaka watiliwe shaka !? Mbona huyo ajuza asiyejua lolote anaongoza nchi!? Ndiyo ashindwe Mbowe!?Hata kama CCM haifai huwezi kuwaachia Akina Mbowe aisee
Chama chochote kitakachochukua nchi ndio kitakuwa chama tawala. Au unaona kama ccm ni miungu watu!? Ni genge TU la watu TU Tena wengine wajinga TU.CCM ikae pembeni halafu nani atawale? Nawe akili zako za Mende sasa taja Mende gani atawale baada ya CCM kukaa pembeni? Nchi haiwezi kuishi kàma mende bila ya kuwa na chama tawala.
Ethiopia umewacheki?Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari?
Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60?
Sukari!! Aibu naona mimi.
Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
Sawa sawa. Gesi inalimwa kama Miwa. Kweli hii nchi imejaa wapumbavu.kwani ulaya na marekani walivyokua wakilalama kuhusu uhaba na gharama za gesi ilikua miaka 70 eeh🐒
CCm akikikaa pembeni embu tuambie hicho chama chenye afadhali ukiacha ccm? Vyama vingine ni kama mali ya mtu unategemea kweli kuna kitu wataleta kwa mwananchi wa kawaida?
Kwamba bila hicho kikundi cha wakoloni weusi ccm Watanzania hawawezi kujisimamia na kujitawala?!! Hata wakoloni wa mwanzo walimwambia hivyo Nyerere!CCM ikae pembeni halafu nani atawale? Nawe akili zako za Mende sasa taja Mende gani atawale baada ya CCM kukaa pembeni? Nchi haiwezi kuishi kàma mende bila ya kuwa na chama tawala.
Mimi sio chawa ila ndio uhalisia, ukiongelea wakoloni , si bora hao wazungu wangekuwepo hadi leo tungekuwa mbali kama wenzetu southafricaKwamba bila hicho kikundi cha wakoloni weusi ccm Watanzania hawawezi kujisimamia na kujitawala?!! Hata wakoloni wa mwanzo walimwambia hivyo Nyerere!
Ushabiki unawapofusha sana nyie machawa
Ccm ni shetani katika sura halisi katika dunia hatuhitaji chama Cha kuchukua nafasi ya ccm tunataka watu wenye uzalendo wa kweli kwa ajili ya nchi, uamsho wa kufanya mabadiliko ya kweli ya kiuongozi na kiuendeshaji watu wanaweza kupambana kwa machozi jasho na damu kwa ajili ya nchi, hizo sifa nilizotaja hapo huwezi kuzipata ndani ya wazee na vijana wa ccm, watu wa ccm ukiondoa vichwani kwao rushwa, ufisadi,mabavu, na mambo yao mengine ya hovyo linabaki fuvu tuu linalowaza ufisadiSuppose kweli wakae pembeni, kuna nani wa kui replaces CCM?.
P
Wananchi ndio wanaopaswa kuamua nani aibadili CCM. Na sio CCM tu. Hata atakayebadili huo mbadala and so on and so on. Nje ya hapo ni kupiga ramli; ni ushirikina.Suppose kweli wakae pembeni, kuna nani wa kui replaces CCM?.
P
Hivi unafikiri kukiwa na Tume huru ya uchaguzi hao ccm wanaweza kushinda?Mimi sio chawa ila ndio uhalisia, ukiongelea wakoloni , si bora hao wazungu wangekuwepo hadi leo tungekuwa mbali kama wenzetu southafrica
ndezi na nyumbu bana mkipigwa cha ubapa 🤣Sawa sawa. Gesi inalimwa kama Miwa. Kweli hii nchi imejaa wapumbavu.
TATIZO KUBWA NI CCM, period. Si vizuri wala si haki kuwabeza Watanzania kiasi ulichoandika hapa.Tatizo la nchi hii sio CCM mleta mada bali ni aina ya watu wanaopatikana katika hii nchi ndo tatizo. CCM kama chama hakikujiumba kilianzishwa na watu kama mimi na wewe, kanuni, taratibu na miongozo yote ilioko CCM iliwekwa na watu wanaopatikana katika nchi hii. Watu walioko CCM ambao wengine walishafariki na wengine kuzaliwa ndo hawahawa watu wanaopatikana katika vyama vingine kama CHADEMA, ACT ,CUF nk. Jamani si kuna wimbi la watu walitoka vyama vya upinzani kwenda CCM na wengine walitoka CCM kwenda upinzani lakini hakuna kilichobadilika coz tatizo la msingi ni lilelile(WATU).
Mbuzi hata ukimvisha tai na suti kutoka brand maarufu na ghali duniani ataendelea kuwa mbuzi tu.
Ndio tatizo la Machawa. Ni wajinga kiasi cha kushindwa kutambua hata hizi dhuluma zinazofanywa kwenye uchaguzi si kwa ajili ya faida ya wananchi bali faida yao mafisadi wa ccm.Hivi unafikiri kukiwa na Tume huru ya uchaguzi hao ccm wanaweza kushinda?
Hatuwezi kuendelea kwa kukumbatia kikundi cha watu walioshindwa miaka nenda rudi.
Watanzania wanajitambua.
Ndiyo maana ni makosa kusema bila ccm haiwezekani kujitawala..
View: https://youtu.be/cMBS4qMPJ8M?si=4-L8x9zJrPF28mVv
Huyu aliyejipa uenyekiti wa milele ndio tumpe nchi? Kuweni serious basiSometimes mpunguze upumbavu humo vichwani mwenu. Wapinzani Gani washawahi kuendesha hii nchi mpaka watiliwe shaka !? Mbona huyo ajuza asiyejua lolote anaongoza nchi!? Ndiyo ashindwe Mbowe!?