Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Nina tumaini wote tu wazima wa afya,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Matukio yanaendelea nchini Tanzania, hasa katika kipindi hiki tunapoelekea uchaguzi; mambo mengi ni meusi, yanafichika na kuendelea kwa kweli!
Chama Cha Mapinduzi kimeisha toa ratiba yake, moka ya agenda ni uzinduzi wa ilani ya uchaguzi. Mimi kama Mtanzania, najiuliza, hivi mnayoenda kusema mnatatufanyia nini? Nani alikwambieni tunayataka?
Hivi mnashindwaje kumfahamu mwananchi wenu, mlipa kodi wenu, kujua angependa kufanyiwa nini kupitia kodi zake? Ubaya uko wapi?
Hivi miaka 60 ya uhuru, bado mnamchukua mzee wa miaka 80, Steven Wasira, kumfungia ndani na kumtaka andike kwa mazoea kila siku dhidi ya ilani yenu?
Mheshimiwa Rais, najiuliza maswali mpaka naumia moyo: miaka 60 ya uhuru, kweli CCM inatengeneza mazingira ya kuifanya Chadema kuwa chama cha upinzani kwa kuibomoa? Kweli hamwoni dhambi?
Yaani, kweli chama cha Rungwe kiwe chama kikuu cha upinzani Tanzania? Kifanywe na sheria (Act)?
Hii ni aibu.